Kwamba Urais ni taasisi?
Hii ni doctrine ngeni iliyoasisiwa katika awamu ya tano katika kutafuta kuhalalisha yasiyo halali.
Uliwaambia vyema polisi, pasipokuwa na ushahidi wasikamate maana mwisho wa siku lawama ni kwako.
Sauti hizi zinahusu haki, amani na maridhiano toka kwa wahanga wenyewe...