wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dunia haiko fair kabisa Waliotakiwa kuwa Jela ndo wako uraiani na ambao walitakiwa kua Uraiani ndo Wako Jela

    Ukiangalia mambo yana vyo kwenda kuna watu waolitakiwa kua Uraiani ila ndo hao wako jela ila ambao walistahili kua jela ndo hao wako uraiani. Dunia haiko fair kabisa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Fahamu Kiurahisi Kama Unatengeneza Hasara au Faida kwenye Ufugaji wako wa Kuku kupitia Fuga App 📱

    Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉 Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi pakuboresha shamabani kwako Cha kufanya Rekodi Matumizi yako na Mauzo yako alafu acha Fuga App ipige hesabu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Uzeeni ni heri uwe na mzigo wako wa kutosha unaukata taratibu au uwekeze kwenye biashara usubiri faida ?

    walengwa wakiwa ni waajiriwa zaidi. Uzeeni ni bora uwe na mzigo wa kutosha unaukata taratibu (Unaweza kuwa na vibiashara vidogo ili usikae sana ndani) Au ufungue biashara uwe unasubiria faida
  5. R

    JamiiForums Tanzania Heche ukirudi usalama wako nina mashaka nao

    Hawa siyo watu. Siyo watu kabisa. TAKE CARE PLEASE
  6. R

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU na Rushwa

    Rushwa ni adui wa maendeleo; Chagua mgombea asiyetoa rushwa. Piga 113 kutoa taarifa za rushwa. SWALI KWENU HAYA YANAYOFANYWA NA CCM HAMYAONI. ACHA KUCHEZEA AKILI ZA WATU
  7. JamiiForums Tanzania Wako wapi mabilionea wa PI?

    Vijana wa PI wamekua wapole sana sjawaskia mda mrefu
  8. JamiiForums Tanzania JK jitokeze Usema chochote, Polepole ni kijana wako uliyemtengeza Mwenyewe

    JK jitokeze useme chochote polepole ni kijana wako ulimtengeneza mwenyewe. Pamoja na kupishana mitazamo Polepole hiyo haiwezi kubadilisha chochote huyo ni kijana wako na mara nyingi nae Polepole amekua anubali mwenye kwamba Wewe ndo master wake Japokua polepole aliamua kua mjamaa wewe ni...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Uhuru wa Habari upo shakani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Malalamiko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania yameongezeka tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Vyombo vya habari vimekuwa vikikabiliwa na vikwazo vingi, ikiwamo kupewa maonyo, kuamriwa kushusha maudhui yasiyoifurahisha Serikali, na hata kufungiwa. Mfano...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 hatutachagua mtekaji. Damu hizi zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako

    Wewe unayeteka watu nakwambia hautachaguliwa kwa matendo Yako haya. Na hizi damu za watu wasio na hatia wana wa Mungu zitakulilia mpaka mwisho wa uhai wako. Huwezi kuteka watanzania hivi halafu ukalala usingizi. Mungu huyu wa mbinguni tunamuomba kila siku akutendee adhabu kwa kiwango Cha...
  11. JamiiForums Tanzania Wako wapi waliosema hawatasimama, maovu yakitawala?

    Ukute waliosema hawatasimama maovu yakitawala wameshanunua sofa kitambo wamekaa kabisa, na hawana habari! Au yawezekana haya ya sasa bado sio maovu, kuna makubwa zaidi ya haya?
  12. JamiiForums Tanzania Amsha hisia za uzalendo wako Ewe Mtanzania

    Ujumbe huu uamshe Hisia za uzalendo wa nchi yako Kwa jina la mwenyezi Mungu mkuu mwingi wa rehema mwenye kurehemu Mungu wa mbingu na Ardhi Watanzania wenzangu, watoto wa ardhi hii ya thamani, tunabeba uzito wa historia mabegani mwetu. Tumelindwa na milima, mito na maziwa, tumekuzwa na jasho la...
  13. JamiiForums Tanzania Sema watoto wa sikuizi

    Hello Jf members👋 Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya namna hii..... Ooh ndio nikakumbuka Kuna binti Jana aliniomba kama simu yangu inadakika ampigie dada...
  14. X

    JamiiForums Tanzania TAFADHALI piga picha na wazazi wako

    Piga picha au video na wazazi wako. I promise you siku moja utashukuru ulifanya hivyo. Kumbukumbu zetu na watu wa karibu hufifia akilini, lakini picha huhifadhi matukio hayo ya thamani milele. Picha ya leo ni kumbukumbu utakayobaki nayo kesho. Na usiishie kwa wazazi fanya hivyo kwa ndugu zako...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wajibu wako wewe Mtanzania

    Watanzania wenzangu, Tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu ya maandamano ambayo tunatakiwa kuungana kwa pamoja kuonyesha sauti yetu kwa watawala na mshikamano mkubwa. Maandamano haya ni jibu la mshikamano wetu wa kumwambia aliye madarakani, dunia, na viongozi wetu kuwa hatutakubali tena...
  16. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukigundua Rais anatembea na mke au mume wako?

  17. JamiiForums Tanzania Wanaume, Msijimalize kwa Madada Poa walioko Dodoma, wengi wako 'Kazini'.

    Msiseme Sijawaambia! Fanya ulichokifuata kwake. Ukimaliza mlipe ujira wake mliokubaliana. Kama ahitaji ujira, basi mpe asante kisha rudi nyumbani kwako. Kama wewe ni 'msafi' basi waweza anzisha utaratibu wa kuwa nae karibu zaidi kwa ajili ya huduma zake. Ila kama wewe unajijua ni 'mchafu'...
  18. JamiiForums Tanzania "Njia Bora ya kushinda ni kumdhoofisha mpinzani wako"

    "The best way to win is to weaken your opponent(s)". Hii ndio mbinu wanayotumia mataifa makubwa kama Urusi kupambana na maadui zao wakubwa kama Marekani kwa kuwapora majajusi wao Bora. Mbinu hii pia ilikua inatumiwa na viongozi wa Simba SC kipindi kile Cha Hans Pope na Manara kwa kupora...
  19. JamiiForums Tanzania Vijana wa itikadi kali wako obsessed sana with USA na Israel hadi wanasahau kile china inachowafanyia wenzao wa Uyghurs

    NO JEWS , NO NEWS NO US, NO CASE.
  20. JamiiForums Tanzania Vp mwana Man Utd, msimamo wako juu ya Amorim upoje sasa hivi? abaki au asepe?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…