Yu wapi yule Robert Amsterdam Wakili maarufu?

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,128
16,098
Amekuwa kimya sana kila nikimpigia hapatikani, mwenye taarifa zake atupatie au ampe taarifa tunataka kujua yale mafaili yetu ya zile kesi alizofungua yamefikia wapi.

Ubaya hauna kwao.

Mwisho wa ubaya ni aibu.

Tumpigie kura mwakilishi wetu Diamond Platnumz aka Sadala.

1622640148438.png

 
Ndivyo walivyo mawakili,amechukua mpunga wake na kumetulia.

Suala la Amsterdam nalitizama kwa jicho jingine na naona kuna faida ilipatikana kwa kelele zake.Kwa chuki iliyokuwepo dhidi ya Lissu naamini waliokuwa na nia ovu walitishwa na kauli za Amsterdam na angalau wakawa na uoga. Uhusika wa Amsterdam ulionyesha kuwa dunia inafuatilia.

Katika chaguzi hizi za kwetu kuna funzo ambalo wote (washindi na washindwa) tunatakiwa tulijue na kulitilia maanani nalo ni kuwa nchi za magharibi hazina rafiki wa kudumu bali zina rafiki maslahi.

Kwa yaliyotokea Uganda na ukanyagaji wa demokrasia kwa kiwango kile usingetegemea hata balozi mmoja wa magharibi ahudhurie kuapishwa Museveni.Vyama vya upinzani viwekeze kwa wananchi wao na ushirika wao na Magharibi uwe ushirika wa mashaka.
 
Kuna muvi moja ya kihindi hata baada ya adui kufa kesi iliendelea na baada ya hukumu wakaenda kulizungushia minyororo kaburi lake baada ya muda wa hukumu kuisha wakaenda kufungulia kaburi.
 
Muovu wao ameshakufa na kuzikwa huko Chato mabatini, hawana haja ya kuendelea na hizo kesi. Now wanakula kuku kwa mrija huku wakidemka na utawala shupavu wa Mama.
Waambie warudi nchini kama unawajua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom