wakili madeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka aachiwa huru bila masharti

    Wakili wa kujitegemea Peter Madeleka, ameachiwa jioni ya leo, Agosti 17, 2026 bila masharti yoyote. Akizungumza na NipasheDigital, kwa njia ya simu muda mfupi uliopita, Wakili na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu, William Maduhu, amesema Madeleka ameachiwa bila masharti na kwamba hana tuhuma...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunalitaka jeshi la polisi limuachie huru Wakili Madeleka

    Chama cha ACT Wazalendo kinakemea vikali kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka jioni ya jana Agosti 14, 2026, nje ya Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi akiwa anatekeleza majukumu yake. Polisi wamemkamata kwa kile wanachodai kudharau amri ya Mahakama Kuu. Kukamatwa kwa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Malisa: Wakili Madeleka amekamatwa na watu waliojitambulisha ni polisi

    Kwa madai ya Malisa aliyochapisha katika mtandao wa Istagram amesema Wakili Peter Madeleka amekamatwa muda huu na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi akiwa katika Mahakama ya uhujumu uchumi (maarufu kama Mahakama ya Mafisadi) Mikocheni, jijini Dar. Watu hao hawajaeleza sababu ya kumkamata na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Kinachofanyika sasa hivi ni kwamba ili tuwe na maridhiano lazima tuwe na ugaidi wa kisiasa

    Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Peter Madelekea amedai kuwa nchini kuna aina ya "ugaidi wa kisiasa" ambao unatumika kimkakati ili kutengeneza mazingira ya kulazimisha maridhiano ya kisiasa. Madelekea ametolea mfano Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Tume ya Jaji Lila haina mamlaka ya kisheria kupeleleza jinai

    Wakili Peter Madelekea amesema Tume ya Jaji Lila haina mamlaka kisheria kupeleleza Jinai. Akizungumza katika mahojiano maalum na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Madelekea ameeleza Katiba na sheria za nchi tayari zimeshatoa mamlaka kamili kwa Jeshi la Polisi pamoja na Tume ya Haki za Binadamu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Hatuhitaji kutumia hela kuunda Tume ya Jaji Lila wakati tuna Tume ya haki za binadamu na Jeshi la Polisi

    Wakili Peter Madelekea akizungumza kwenye mahojiano na Crown Media Julai 30, 2026 amesema kuwa nchi tayari ina Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora iliyoundwa kwa mujibu wa Ibara ya 129(1) ya Katiba, yenye mamlaka kamili ya kikatiba na kisheria kuchunguza ukiukwaji wa haki za binadamuambayo...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Sheikh Mwaipopo amepanga kuwang'oa watu meno bila ganzi na hajakamatwa

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika; "Yaani, MUNGU ainusuru nchi yetu. Maana, bila MSAADA wake, SHEHE SAIDI MWAIPOPO nae amepanga KUWANG’OA WATU MENO BILA GANZI, na mpaka muda huu HAJAKAMATWA" Soma pia PostGE2025 - Sheikh Mwaipopo: Waliopanga kuandamana...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Madeleka: Mimi namuamini Rais Samia kuliko Jaji Chande

    Wakili Peter Madelekea amesema akiambiwa anamuamini nani kati ya Rais Samia na Jaji Chande yeye atasema anamwamini Rais Samia Mimi siwezi kumuamini Chande kwa sababu vyanzo vya taarifa vya Chande haviwezi kuwa sawa na vyanzo alivyokuwa navyo Rais, watu wamevuka mpaka Rais anatuambia kutoka nje...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka aweka wazi ya DPP bila woga, ataka haki itendeke

    https://m.youtube.com/watch?v=CM45_lR3-DI Wendy William Ishengoma vs Republic (Economic Case No. 30853 of 2024; Miscellaneous Criminal Application No. 2751/2026) [2026] TZHC 629 (6 March 2026)
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Madeleka: Kesi ya Mange siyo halali ni kinyume na sheria

    Wakili Peter Madeleka akizungumza na DW leo Novemba 4, 2025 ameeleza kuwa kesi ya Mange inayohusu utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania ni kinyume na sheria kwa maana kwamba siyo halali akibainisha sheria ya uhujumu uchumi sura ya 200 huwezi kumshataki mtu ambaye...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Madeleka: Katiba mpya itajibu mahitaji ya sasa ya Watanzania

    Wakili Peter Madeleka, akiwa kwenye mjadala wa Jambo TV ulioangazia matukio yaliyotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, amesema tathmini yake inaonesha kwamba watu wengi wanaamini kuwa Katiba Mpya ndio inaweza kuwa chachu ya kupatikana kwa majibu ya changamoto...
  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Madeleka: Katiba inapiga marufuku Kupinga au kuhoji Matokeo ya Uchaguzi yanayotolewa na Tume

    Akizungumza akizungumza katika Mdahalo wa "Jicho la Wanasheria Uchaguzi Mkuu 2025" kipindi cha Star TV ameelezea mchakato wa uchaguzi na Matokeo ya uchaguzi ambapo Ibara ya 74 ibara ndogo ya 12 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapiga Marufuku kupinga au kuhoji Maamuzi au Matokeo ya...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Madeleka: Mahakama ichukue hatua dhidi ya Polisi kwa vitendo vya ukiukaji Sheria

    ‎Wakili Peter Madeleka ameiomba Mahakama kuchukua hatua kutokana na vitendo vinavyofanywa na Jeshi la Polisi kwa kufika maeneo ya mahakama, kukamata pamoja na kupiga raia na hata kumkamata Wakili Deogratius Mahinyila kwa kile alichoeleza kuwa ni kinyume cha sheria na utaratibu. ‎"Kwa siku za...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Madeleka: CHADEMA wanavunja sheria waende mahakamani

    Sehemu ya mazungumzo na Wakili Peter Madeleka ambaye ni Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria kupitia chama cha ACT-Wazalendo, na mgombea Ubunge wa Jimbo la Kivule 2025 - 2030 kuhusu sababu iliyomwondoa CHADEMA. CHADEMA walisema hawangeshiriki uchaguzi mkuu na kutoa wito wa mabadiliko fulani ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: CHADEMA siyo gereza wala kaburi nikiingia naweza kuamua kutoka

    Wakili madeleka amefunguka sababu ya yeye kutoka Chadema, ikiwa ni baada ya kuhama na kuwa mwanachama wa ACT Wazalendo
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakili Madeleka: Hatuwezi kupata mabadiliko kwa kususia uchaguzi

    Wakili wa Kujitegemea na kada wa Chama cha ACT Wazalendo Peter Madeleka leo, Jumamosi Mei 31.2025 amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kupeperusha bendera ya Ubunge wa jimbo la Kivule, Dar es Salaam Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkumba Wakili Madeleka kuwabeza wanaharakati?

    Jana baada ya kuhamia ACT Wazalendo chama kikuu cha upinzani alianza kuwabeza wanaharakati aliokuwa wanamsupport Kauli iliowashatua wengi kumwambia sativa auguze makovu aliyoyapata kwa washikaji Ukifatilia comments zake za jana na wachangiaji ktk account yake ni wazi kwamba brand ya kitapeli...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Danadana dhamana ya Dkt. Slaa; Wakili Madeleka ampongeza DPP kwa kutumia Sheria vibaya kukandamiza Watu

    MADELEKA: NI AIBU MAGEREZA KUKOSA GARI LA KUBEBA WATUHUMIWA DAR: Wakili Peter Madeleka akizungumzia kitendo cha Mwanasiasa Dkt. Wilbroad Slaa kukwama kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kueleza kuwa Jeshi la Magereza limeshindwa kumfikisha mshtakiwa huyo Mahakamani kwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya danadana mahakamani; Madeleka amuomba Wasira kuwapokea ili kutumia njia ya maridhiano kumsaidia Dkt. Slaa katika mashauri yanayomhusu

    Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Beda Nyaki amehitaji kupata muda wa masaa mawili kuweza kutafakari kama ataendelea na kusoma uamuzi aliotakiwa kuusoma tarehe 23 Januari 2025 juu ya shauri la Dkt. Wilbroad Slaa au lah. Hakimu Nyaki ameomba kupata muda huo wa kutafakari...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka ukipeleka mahakamani suala la uraia wa wachezaji SBS Usisahau Kibu wa Simba

    Wakili Madeleka ametangaza Nia yake kumpeleka pingamiza mahakama ya uraia wa wachezaji 4 wa Singida Black Stars ambao walipewa uraia wa Kimagumashi Nakukumbusha Madeleka huu uhuni watangulizi wake ni Simba na hapa Singida waliiga Kibu anadai alikuwa nchini Toka zamani mwaka 1998, lakini Kibu...
Back
Top Bottom