wakili madeleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa kesi ya Dkt. Slaa Mahakama Kuu, leo Januari 24, 2025, Wakili Madeleka ataka Mahakama ifute kesi

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam leo, Ijumaa Januari 24.2025 shauri lililofunguliwa Mahakamani hapo na Mwanaharakati Dkt. Willbroad Slaa dhidi ya Jamhuri, akiiomba Mahakama hiyo kufuta kesi ya jinai aliyofunguliwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Ameeleza...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka aripotiwa kushikiliwa na Jeshi La Polisi muda mfupi baada ya kutangaza kupokea simu ya Faustine Mafwele

    Wakuu, Mwanaharakati na mwanamitandao maarufu nchini Martin Maranja Masese amedokeza Wakili maarufu Tanzania Peter anashikiliwa na Jeshi La Polisi. Wakili Madeleka anashikiliwa na Central Police - Dar es Salaam kwa tuhuma za makosa ya mtandao ambayo hajaelezwa. Mapema leo aliitwa polisi kwamba...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Kuna changamoto ya mifumo ya utoaji haki jinai

    Kesi ya jinai inayomkabili Afisa wa Jeshi la Polisi Fatma Kigondo, anayejulikana kama 'Afande', ikimhusisha na tuhuma za kuratibu ubakaji na ulawiti wa kundi dhidi ya binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam, imeendelea kupata changamoto baada ya kutolewa uamuzi mdogo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka acharuka 'Kesi ya Afande', ataka akamatwe kwa kukaidi kufika Mahakamani

    Wakili Peter Madeleka amecharuka katika kesi inayomhusisha Afande Fatma Kigondo, anayekabiliwa na tuhuma za kuratibu tukio la ubakaji wa kundi na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Madeleka ametaka mshtakiwa akamatwe mara moja kwa kukaidi kufika mahakamani. Kesi hiyo, ambayo...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Fremu zilizovamia Mikocheni B wahalifu watatakiwa kumlipa bilioni mbili kama fidia alifanyiwa uvamizi huo

    Wakili Peter Madeleka ambaye ni mwanasheria wa Juanna Chifunda amesema uharibifu uliofanyika kwenye fremu za maduka Mikocheni B ni uvamizi na wahusika watawawajibisha kwa mujibu wa sheria na ikiwemo mteja wake kidai fidia isiyopungua Shilingi bilioni mbili (2,000,000,000). Wakili Madeleka...
Back
Top Bottom