wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Jimbo analotoka Rais au Makamu wake haliwezi kuongozwa na mbunge wa upinzani!

    Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa. Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema. Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha. Kazi Iendelee!
  2. Mke wa Bob Marley alipigwa risasi kichwani akimuokoa mme wake, Vipi aina hiyo ya wanawake wapo Leo?

    Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick dreadlocks minimizing the impact of the bullet. Aina hii ya Wanawake bado wapo Tanzania, ??.
  3. Licha ya ukimya wake kwa mda mrefu, Rayvanny azidi kumburuza Harmonize

    Katika Hali isiyotarajiwa na wengi, C.E.O wa Next Level Music Rayvanny aka vannyboy mtu mbaya amezid kumvuruta mmiliki wa label ya Konde gang Harmonize Mzee wa picha za utupu Rekodi mbali mbali zinaonyesha jinsi Rayvanny anavyomburuza konde boy kuanzia kwenye mziki mpak kumiliki watoto wa zuri...
  4. M

    Yanga SC yamtimua Nahodha wake Lamine Moro kambini Mtwara kwa Utovu wa Nidhamu ufuatao usiovumilika

    Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu. Chanzo: SportsarenaTZ Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada ya Kuviulizia Vyanzo vyangu aminifu ndani ya Klabu ya Yanga vimesema Nahodha huyo ametimuliwa kwa...
  5. Hatimaye Paula wa Kajala amepost wimbo wa Mme wake "Kelebe" aliomshirikisha Innoss b

    Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini.... Goma Hilo lililogonga views "kilo " na usheee ndani ya saa moja ,limechanja mbuga huko YouTube na sasa linatambaa pale...
  6. M

    Tunaomba Kanisa Katoliki na KKKT watusaidie kukemea uvunjaji wa Katiba unaofanywa na Spika wa Bunge na Naibu wake

    Kwenu Maaskofu, Amani ya BWANA iwe nanyi, Ni matumaini yangu, mnaendelea salama na kwa amani tele katika majukumu yenu ya kuwapa chakula cha roho kondoo wenu. Nimeonelea leo niongee nanyi ili kuwaomba wazee wetu mtusaidie sisi Wananchi wenzenu ambao wengi ni kondoo wenu katika tatizo hili...
  7. Uteuzi wa Biswalo ni kutonesha kidonda cha Umma, lakini akapumzike salama

    Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
  8. T

    Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

    Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
  9. Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

    Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma. Mheshimiwa Spika, ninaomba nikushukuru sana kwa kunipa fursa hii ya kusema maneno machache kwa...
  10. Taifa lolote linalofanya mauaji kwa kiongozi wake ambaye amejitoa kulinda maslahi yake hupata laana isiyofutika kirahisi

    Hivyo ndivyo ilivyo kwa taifa lolote ambalo litatoa uhai wa kiongozi wake ambaye anakuwa madarakani ili kulinda na kutetea mali za umma na maslahi ya taifa lake. Angalia laana iliyoikumba DR Congo mpaka leo laana hiyo inawaandama. Baada ya kumuua Lumumba, Mobutu na genge lake waligeuka mafisadi...
  11. Jirani yangu tajiri mwenye maringo anataka mimi nitembee kwenda kwake nitumie nauli yangu lakini yeye ananitumia vijakazi wake

    Nina tajiri mwenye jeuri anataka nitumie hela zangu za watoto wangu nikamtembelee yeye wakati ninakoenda kuna mtoto wangu anaweza kuniwakilisha. Kama anachofanya yeyee kutotembelea majirani zake ili atunze hela za watoto wake inabidi pia hata mimi nitume mtoto wangu aliyeko huko hakuna haja ya...
  12. Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  13. B

    Wizara gani unadhani Waziri wake Ni Mzigo?

    Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando. Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko...
  14. Tatizo la kupokea mamluki alilizalisha Mbowe mwaka 2015. Huyu mwenyekiti hafai

    Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli. Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
  15. Mwanamke aongea na simu ya Wanaume mbele ya mume wake

    Wakuuuu poleni na mfungo ndugu zangu na kazi iendelee. Ndugu zangu nimekuja kikaz Dar es Salaam ntakuwa kwa muda wa mwaka mmoja nimepata nyumba ya kupanga hapa sinza madukani . Nimepanga na jirani yangu akiwa na mkewe chombo sana lakini bado hawajapata mtoto. Mkewe jioni hupenda kujifunga...
  16. Amber Lulu aonesha sura ya mtoto wake kwa mara ya kwanza

    Video vixen na msanii Amber Lulu ampost kwa Mara ya kwa mtoto wake. Hiyo ni baada ya week chache zilizopita kujifungua, mtoto huyo ameanza kupokea deals za matangazo mbali mbali, Mtoto Huyo ambae baba ake ajulikani ameanza kula shavu za kuwa brand ambassador wa kampuni za bidhaa za watoto...
  17. Bill & Melinda Gates watalikiana

    Baada ya miaka 27 ya ndoa, wawili hao wenye ukwasi wa kutosha na ambao wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao wameweka pete chini. ===== Bill and Melinda Gates have announced their divorce after 27 years of marriage, saying "we no longer believe we...
  18. Ney wa Mitego aanza mchakato wa kujiondoa BASATA, asema atasambaza muziki wake Mitaani

    Hii ni baada ya masharti ya hovyo ya Sheria za Basata za kuruhusu wimbo upigwe redioni ama uonyeshwe kwenye TV . Ney amesema atatunga na ataimbia mitaani na ikiwezekana atasambaza mtaa kwa mtaa mwenyewe .
  19. Hakuna mama mkwe anaempenda mkwe wake 100%

    Wakuu Huwa sipendi kuficha Kwenye ndoa zetu hizi mama mkwe kumpenda mkwewe asilimia mia ni kitu ambacho hakiwezekani. Huwa wanawapenda ki-uongo tu na ki-nje nje. Sababu kubwa ni kuwa kutokana na upendo wa mama kwa mwanae huona Kama mtoto wake anapoenda kuoa inamaana yeye (mama) ni kama...
  20. Hii ya CCM kuwa inawafagia watendaji wake wote bila kujali mafanikio yao inaweza kuwa Taasisi ya kwanza kwa ubora Duniani

    CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara CCM inaamini kwenye mfumo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…