Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,688
Reaction score
17,981
Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe.

Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani?

Maisha haya nataka niyaandae hata kidogokidogo nifkie hapa 👇👇

images (18).jpeg

images (17).jpeg

images (16).jpeg

images (15).jpeg
 
Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe.

Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani?

Maisha haya nataka niyaandae hata kidogokidogo nifkie hapa 👇👇

View attachment 3529034
View attachment 3529035
View attachment 3529036
View attachment 3529038
Mkuranga kama unahitaji lipo zuri kwa kazi yako,
 
Maeneo yenye Nafasi kwa sasa nayosikia

1.Kimanzichana
2.Bungu

Huku Bungu bei mserereko mno ila hata kimanzichana ukienda ndan 20km zipo hadi heka 500k

Bungu 10km 500k

Sijui dalali wala Muuzaji Wala sio Mkazi wa hayo maeneo..

Mtu asiniulize more info kuhusu maeneo haya hizi n taarifa nilizochimba binafsi tu
 
Kutoka kimanzichana njiani hadi 20km bado ni 500k, mbona bado kubwa?
 
Back
Top Bottom