Wakuu kunazidi kuchangamka
Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima.
Mmoja wa watu hao...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa.
Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa.
Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
Jana kwenye mkesha wa krismasi hapa kwetu wilayani Rombo tulikuwa bize na mkesha wa krismasi moja ya vitu ukiachana na mkesha huo wa krismasi tulikuwa tunamuombea Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan kusema ukweli Rais samia sisi huku wachaga wakatoliki pure
Tunakupenda na tutaendelea...
Daa Hawa vijana hawapoi, Baada ya D9 kufeli Gen Z wamefanya analysis na kuchagua siku ya alhamis ya tarehe 29 January 2026 kuwa siku ya maandamano ya kudai haki.
Wamechagua siku ya kazi, huu ni mtego kwa serikali maana maandamano siku ya kazi ni vigumu kuzuia movement za watu.
Na maandamano...
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista...
Wanasema kaa kimya kuficha ujinga wako ila kwa hawa masheikh naona wameamua kuanika ujinga wao,
Wanasema kwamba wakatoliki wanataka nafasi zote kubwa Serikalini ndio maana walimfanyia figisu Lowassa kwasababu hakuwa mkatoliki hadi akatema bungo uwaziri mkuu.
Hayo ndo madini ya wahadhiri wa Kiislamu wakidai kuwa Rais anapokuwa Muislam, wakatoliki hawapo tayari Makamu atoke nje ya Katoliki, au Makamu anapokuwa Muislam basi Rais asiwe Mkatoliki.
Kipindi cha utawala wa Hayati Rais John Pombe Magufuli (Novemba 2015 – Machi 2021), Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa matamko na waraka kulaani mauaji, utekaji nyara, kutoweka kwa watu, na kutoa maonyo makali kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu, hofu nchini, na hatari ya...
Naona mashambulizi yanatoka kila upande wa wavaa kobaz ,lakin naona wakatoliki wametulia hawana haraka wala hofu , wapo kimya kama hawasemwi na kushutumiwa na hao wauza madawa ya kulevya huu ni ukomavu wa hali ya juu sana na ndio faida ya kuwa na viongozi wa dini wasomi
For Our Common Good , our Enemy ni Mmoja.
Msituachie tu sisi Waumini wa Ufufuo na Uzima , nawaomba Tarehe 9 Kila Mmoja ajitokeze, Anguko la Watesi wenu ndio Uhai wetu sisi !!.
Dec 9 asibakie MTU nyumban.
Matukio ya Kihistoria Ambayo Kanisa au Wakatoliki Walihusishwa na Ghasia na Mauaji
(A) Mauaji ya Kimbari Rwanda – 1994
Hili ndilo tukio la hivi karibuni lenye uzito mkubwa sana.
Ingawa mauaji ya kimbari yalifanywa na serikali ya Rwanda na wanamgambo (Interahamwe na wengine), ni kweli kwamba...
Leo hii Padree Kitima, Katibu wa Balaza la TEC angekua mavumbini.
Mapdre wengi wameamua Kuishi kijasusi kuwakwepa Watekaji na Wauaji , yote hii ni sababu tu ya kushauri Mapenzi ya Bwana wetu YESU KRISTO !
Mapadre wengine wametekwa na Kupotezwa !!.
Hizi Hasira zooote Vijana wa Kiseminari ...
Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu.
Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ?
Au wakifunga vipi ?
Au ilikuwa kutisha nyau?
1: Viongozi wa Dhehebu hilo kukosolewa, kutukanwa, kubezwa na kukejeliwa. Kutokana na maonyo na ushauri wao kwa Serikali kwa ajili ya haki na amani ya nchi yetu.
2: Kutokea maamuzi ya ajabu ajabu nchini ili mradi watu wanakula mema ya nchi huku wengine wakililia haki na amani.
3: Wenye viburi...
Naomba hii novena isihusishwe na Mungu wala maombi bali ni namna ya kutoa hasira yaani mgomo. Mungu huwa hasikilizagi maombi ya mtu anayetaka kumkomoa mwenzake, never.
Ijulikane rasmi tuko kwenye mgomo ila sala inatumika kama njia ya kufikia haja zetu.
Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini.
Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.