wakatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Simbachawene unagomea maandamano ya "Wakatoliki" hutaki mama asafishwe?

    Umeenda zako Zanzibar watu shwaaa wameandamana kwenda kwa Papa Vatican. Aliyekwambia kuwa serikali yako ina urafiki na katoliki ni nani? Hukuona mwaka jana mapolisi wanasimama na kusema Padre fulani hakutekwa bali alikuwa kwa mpenzi wake? Hukuona wakisema kuwa Padre fulani hakutekwa bali...
  2. Life2

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mjiandae majaribu yataendelea sana

    Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo. Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda. Hata hawa mashetani wanaoibuka dhidi ya dini yenu Karne hizi watashindwa tena vibaya sana.Giza hajiwahi kushinda mwanga hata siku...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic Najaribu tu kuwaza ingekuwaje kama vijana wa kikristo kujifanya waislam na kwenda pale BAKWATA Makao makuu kupinga...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Dr.Slaa: Msemaji wa Wakatoliki feki aliwahi kucheza deal na Waziri Mkuu wa sasa

    Akizungumza kwa njia ya mtandao kupitia club house Dr. Slaa amesikitishwa na yaliyo nyuma ya maandamano ya wakatoliki feki. Dr. Slaa ameenda mbali zaidi na kumtaja mtu aliyeongoza genge hilo kuwa waliwahi kucheza deal na Mwigulu Nchemba kuisingizia ugaidi Chadema. Dr. Slaa amesema...
  5. Msanii

    JamiiForums Tanzania Maigizo: Bilion 6 kwa Mchina, maandamano Wakatoliki feki

    Matukio ya utekaji, ufiraji, utesaji, kuua na mauaji ya Kimbari Oktoba 29 na kuendelea, yameshaanza kuonesha athari zake kwa wstawala ndani na nje ya nchi. Watamzania wameendelea kuikataa serikali iliyoingia madarakani kiharamu. Imebuniwa mikakati ya kuwaondoa Watanzania kwenye focus ya...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Barua iliyowasilishwa Ubalozi wa Vatican na kundi la 'Wakatoliki' imevuja

    Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Charles Kitima. Kwa Padri Kitima, waumini wanadai amejihusisha na siasa kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hahusiki kuratibu maandamano ya wakatoliki

    Wana Jukwaa, Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki. Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Sugu: Wakatoliki na vijora wapi na wapi? Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?

    Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?! Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana DRC mpaka Kabila akachemka. NB: Hawa wote MALOFA pamoja na waliowatuma,matako yenu😎
  9. Life2

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki mmewatambua watesi/maadui wa Imani yenu?

    Juu ya Mwamba huu ntalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu/shetani hatalishinda. Ni nyakati nyingine tena Kuzimu pamoja na Mashetani yake yameibuka tena wakitaka kupambana na Kanisa la Yesu mwenyewe. Waambieni watawala hawapambani na Wakatoliki bali wanapambana na Yesu Mfalme mwenyewe...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwa Wasabato; Kwanini mnatumia kalenda ya Wakatoliki, Warumi kuhesabu siku za ikiwemo kutambua siku ya Sabato? Kalenda ni sahihi kwenu?

    Wadau naomba ushauri wenu kuhusu hoja husika. Msimamo wa wasabato kanisa katoliki ni alama ya ant Christ kwa mujibu wa the book of revelation. Sasa inakuwaje kalenda yao wakatoliki na Warumi iwe sahihi na waitumie kujua kuwa Sabato ni siku fulani?
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Watakapoandamana Wakatoliki Halisi kulaani "kutaka kukatwa vichwa" Mwigulu uwalinde

    Watakapokuja Wakatoliki halisi wanaojua kusoma na kuvaa kwa heshima mbele ya Balozi wa Papa, wakasoma tamko lao kuwataka Polisi wamkamate aliyempiga Fr. Kitima, na wamlete aliyeteka mapadre na kuwadhalilisha, akawavisha wake za watu mavazi ya kitawa ili waonekane ni watawa walioshika bendera za...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania ‘Wakatoliki wa mchongo’ wakiwa kwenye foleni ya kuchukua posho baada ya kumaliza IGIZO lao pale Ubalozi wa Vatican

    Kipande cha video ambacho kinaonesha wanaodhaniwa kuwa ni waumini wa kanisa katoliki wakiwa kwenye foleni ya kuchukua fedha. Soma Pia: Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana Ambapo mapema leo Wanaodai kuwa...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wa kweli hawaropoki hadharani wanatenda kwa Sala!

    Huu ni ukweli muhimu na mchungu kwa wote walioonekana kwenye media kisiasa ...katika uzoefu wangu hakuna mkatoliki mwenye haiba ya kikatoliki awaye yoyote...Papa,Kadinali,askofu,paroko,katekista,mlei au mwanajumuiya wa katoliki anayeenda kwenye media kuongelea siasa. Wote waliofanya hivyo nina...
  14. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki washindwa kula mbuzi katoliki

    Nimepenyezewa hapa habari za ukweli kabisaa na mtu aliekua kwenye press ya wakatoliki leo, naskia nyuma ya camera kuna mtu si akaleta bwana sinia la mbuzi katoliki na ndizi kama kuwashkuru wakatoliki kuungana. Naskia bwana wale jamaa wengi wao wakasema wao dini yao hairuhisu kula MBUZI KATOLIKI...
  15. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Kwanini mpaka sasa Msigwa na TCRA hawajadhibiti habari za Wakatoliki feki kwa kigezo cha 'kubalance' na 'Kuzua Taharuki' Wala Polisi kuzuia maandamano

    Kuna wakati Gerson Msigwa alikuwa mstari wa mbele kuwasema waandishi wa habari kujikita katika kuleta habari zenye uhakika na zenye kuzingatia balance na uhakiki, na zisizo zua taharuki kwa jamii, Watanzania wazalendo tunashangaa si tu kwa press hizi za Wanaojiita wakatoliki ambao si tu kwamba...
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana

    Wanaodai kuwa Waumini wa Kanisa Katoliki, leo Januari 5, 2026 wamefika katika Ubalozi wa Vatican kuwasilisha barua rasmi ya malalamiko dhidi ya Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam, Jude Thaddaeus Ruwa’ichi pamoja na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Watu wàandamane kwenda ubalozi wa Saudia uone kama watapiga hatua mbili. Inteligensia itafanya kazi barabara,lakini kwa "Wakatoliki" fake imekufa

    Tuko pabaya, kama kweli serikali itawanyamazia hawa wahuni, kuna vita ya dini inapikwa! Simbachawene , IGP na Mulilo, wajibikeni kukemea hili
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wanaojiita 'Wakatoliki' wakiimba 'Mwamba Mwamba', huu ni wimbo wa Kanisa Katoliki?

    Naomba kuuliza wakuu na nipate majibu ya kistaarabu wimbo wa "Yesu ni Mwamba" unatumiwa na kanisa katoliki?.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki leo wamuombee Rais Nicolás Maduro

    Asili ya dini yake: Maduro alikulia katika familia Katoliki na anajieleza mara kwa mara kuwa ameokolewa ndani ya Ukatoliki Trump Trump alikulia katika familia ya Kikristo Protestant na alithibitishwa kwenye Kanisa ya Presbyterian akijihusisha rasmi na dini hiyo utotoni.
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje marais wetu wote wakawa wakatoliki na waislamu tu?

    Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
Back
Top Bottom