Life2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,387
- 4,880
Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo.
Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda.
Hata hawa mashetani wanaoibuka dhidi ya dini yenu Karne hizi watashindwa tena vibaya sana.Giza hajiwahi kushinda mwanga hata siku moja.
Wanachosema maaskofu/mapadre wa kikatoliki na ukweli 100% mbele za Mungu wametenda haki ila kwa wanadamu ukweli wao umekua ni chukizo kubwa sana.
Kama ni majaribu 50 hili ndo kwanza jaribu la 3, shetani na jeshi lake naye amejipanga sana, endelee kusali na kumlilia Mungu wa Haki ushindi utakua kwa watenda haki.
Siku zijazo watatumwa mawakala wengine wa shetani kwenda kwenye media na kuwachafua viongozi wenu kwa propaganda za ukweli hilo nalo litapita.
Mtakatifu mmoja alipata kusema kila kwenye Padri mmoja kuna mashetani 1000, kwa hiyo Padri mmoja kazungukwa na mashetani 1000 tuwaombee sana.
Utawala umeamua kupambana na ukweli, utawala huu umeamua kupambana na Haki, Utawala huu umeamua kupambana na kanisa la Mungu.
HAWATAWEZA.