wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakati Samia akisema Deni la Tanzania ni Sitahimilivu, Namibia wamaliza deni lao

    Rais wa Namibia mwanamama Netumbo Nandi-Ndaitwah ameiongoza nchi hiyo kufikia hatua muhimu ya kiuchumi kwa kukamilisha malipo ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola za Kimarekani milioni 23.9, hatua inayolenga kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuimarisha...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna wakati vijana waliishi kuendana na rythm ya maisha hata kwa ugumu kuna namna waliitafuta humour ila sasa hivi vijana wamekuwa sadists kupindukia

    Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted. Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija. Vijana wamechoka kula ugali mkubwa na samaki wa picha. Kama uongo kuna mtu ataandika tu comment ya matusi out of...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Devolved Feast: Mabilioni Yateketea kwa “Office Tea” Wakati Wananchi Wanateseka

    Report ya uchunguzi ya NTV Kenya ya Machi 2026, “Devolved Feast,” imeibua mjadala mkali baada ya kufichua matumizi ya kifahari katika baadhi ya serikali za kaunti. Uchunguzi unaonyesha mabilioni yanatumika kwa vitu kama “pencils na papers” lakini kwa uhalisia hizi ni inflated office expenses na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakati Uswiss katika kupunguza uchafuzi wa Mazingira wanajenga Reli kwenda Italia , Sisi tunakwamisha Miradi yetu ya Reli.

    Switzerland sustainability goals in usage of Rail transport more than road transport Switzerland has adopted an ambitious long-term climate strategy to achieve net-zero greenhouse gas emissions by 2050, with a core focus on shifting traffic from road to rail, particularly for freight and...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wenye makebo makubwa wanazidi kuongozeka kwa kasi tanzania? Kuna wakati wanawake waliokuwa nayo kawaida au flat kabisa

    Najjiuliza ni genetics, diet,? Ama nini? Kwa maana wadada wenye mishepu inazidi kuwa kwa kasi kulko miaka ya 90, 2000 huko
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!

    Wakati Dangote , Museveni na Rutto wakiongelea Uwekezaji Tanga! Samia yupo na tume ya mchongo!. Jana Daongote alikuwa anaongelea uwekezaji mkubwa wa kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga Tanzania mwenzetu Mama yuko busy kujarabu kuficha mauaji na kutafuta kiki za machawa. Hii inaonyesha Mama...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuacha pombe ya nini wakati hata za malaria tu watu wanahangaika kuzipata.

    Eti wanahangaika kuleta dawa za kuacha kunywa pombe. Huu ni kupoteza fedha za walipa kodi. Dawa za malaria ni tatizo kubwa huko vijijini.👇
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria kulazimishwa kushuka kwenye vituo vya chakula vyenye bei kubwa wakati wa safari

    Ndugu wana JF, Kuna jambo linazidi kuwa kero kwa wasafiri wengi wa mabasi ya mikoani. Ni hii tabia ya makampuni ya bus kusimamisha safari kwenye vituo maalum vya chakula ambavyo bei zake ziko juu kupita kiasi. Abiria tunashushwa hapo kana kwamba hatuna chaguo lingine, wakati ukweli ni kwamba...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Bei za mafuta zawakamua Watanzania wakati migogoro ya Mashariki ya Kati ukiendelea

    Kila asubuhi kabla ya jua kuchomoza, Herry Msese huwa anaendesha daladala yake na kupita mitaa yenye shughuli nyingi ya Dar es Salaam, Tanzania, akiwasafirisha abiria wengi katika barabara yenye msongamano mkubwa. Hata hivyo, katika wiki za hivi karibuni, mafuta yamekuwa yakimtia wasiwasi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Sudan yakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta wakati bei ikipanda

    Mji mkuu wa Sudan, Khartoum, unakabiliwa na mgogoro mkubwa wa mafuta. Mamia ya magari yamepanga foleni katika vituo vichache vya mafuta vinavyofanya kazi, huku madereva wakisubiri chini ya jua kali, na wakati mwingine wakisubiri kutwa nzima kununua dizeli au petrol. Ridhwan Ahmed Al-Nayer...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza ulipaji Kodi ya Ardhi kwa Wakati kuepusha usumbufu

    Serikali imewataka wamiliki wote wa ardhi nchini wakiwemo watu binafsi na taasisi zinazomiliki ardhi kuhakikisha zinalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati, ili kuepusha usumbufu utakaotokana na hatua zitakazochukuliwa kwa wale watakaoshindwa kutekeleza wajibu huo. Akizungumza jijini Dodoma...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

    Wanaume: 490 Wanawake: 28 Askari: 16 Watoto: 21 Kati yao, Miaka 15-17 walikuwa 15. Miaka 7-10 walikuwa 4. Chini ya miaka 5 walikuwa 2. Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani. Wengi...
  13. JamiiForums Tanzania Eti Kenya wana Nyambizi 150 wakati Tanzania kuna nyambizi 0?

    Hii ni ajabu. Kenya wametoa wapi nyambizi? Kama wana Nyambizi, basi Tanzania tujitafakari.. Samia acha kupamba na CHADEMA. kama una uwezo ondoa njaa Nchini Tanzania
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Nyoka aliyekuwa anafugwa auawa baada ya kuleta taharuki Mavimba

    wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
  15. JamiiForums Tanzania Bro, timiza unayoyaweza , Dunia wala haipo Kasi ni walimwengu tu

    Salaam jamiiforum. Ni April 19 leo mwaka 2026, Siku zinakimbia, yaani bado siku kadhaa tu iadhimishwe siku ya wafanyakazi,bado wiki chache kufikisha nusu mwaka. Ama kweli siku hazigandi. Cha ajabu maisha ni kama yamesimama ,mishe hazisogei,mipango haitimii, anyway kila kitu kina wakati wake...
  16. JamiiForums Tanzania Kuelekea AFCON 2027, Ulega asema Serikali imejipanga kuhakikisha inakamilika kwa wakati

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameweka bayana dhamira ya Serikali ya kuhakikisha miradi ya barabara inayohudumia Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 inakamilika kwa wakati, akisisitiza kuwa maandalizi ya miundombinu ni kipaumbele cha juu katika kuhakikisha Tanzania inakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania IMF: Wakati Tanzania Inatarajia Kufikia GDP ya $ Bilioni 💯 ,DRC Kuipita Ethiopia na Kuwa Nchi ya 5 Kwa Uchumi Mkubwa Africa 2026.

    My Take SSH ndio ataandika historia ya kukuza Uchumi kutoka Dola Bilioni 70 na Kufikia Dola Bilioni 💯 Kwa mara ya kwanza katika Historia ya Tanzania. https://www.threads.com/@africaviewfacts/post/DXPPfhxkaJ2?xmt=AQF0bBngHHIzlkgokmYGVVuwVBsecSwiOLLHMz28k-srvW3l8fXay2lmKA6cb0Hq9vuKSnY&slof=1
  18. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Nina wasiwasi na Wakili Kisabo juu ya maneno aliyosema yamesemwa na Lissu. Watanzania tusubiri kauli ya Lissu mwenyewe

    Nina wasiwasi na baadhi ya maneno uliyoandika mtandaoni kuhusu kauli ya Lissu baada ya wewe kutoka mahabusu. Msimamo wa Mkti Lissu mara zote kuhusu uhuru wake umekuwa wazi, kwamba kesi inayomkabili ni ya uongo na anapaswa kuachiwa huru bila masharti yoyote. Hajawahi, wakati wowote, kuweka...
  19. JamiiForums Tanzania Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima!

    🚗⚡ KWANINI ABIRIA WAKO WAKOSE CHARGE? Usikubali abiria wako wabaki bila charge safari nzima! Jipatie Car Fast Charger inayoweza kucharge hadi simu 6 kwa wakati mmoja 🔥 🔌 Type-C + USB (Fast Charging) 📏 Cable ndefu – inafika hadi siti za nyuma 💡 LED ya kisasa inayovutia 👨‍👩‍👧‍👦 Inafaa kwa dereva...
  20. JamiiForums Tanzania Historia ya Alexander The Great ni historia bora ya wakati wote

    Je, umewahi kusikia kuhusu kijana aliyekuwa na ndoto ya kutawala dunia na akaifanya iwe kweli Hii si hadithi ya kubuni, bali ni historia halisi ya Alexander the Great, mfalme kijana aliyetikisa dunia yote kabla hata hajafikisha miaka 33. Kutoka Macedonia hadi Egypt hadi India, alishinda vita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…