wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: JasusiTV: Hatimaye yamekuwa. Hoja ya kum - impeach VP Dr Emmanuel Nchimbi yaweza kusomwa wakati wowote katika bunge hili la bajeti!

    https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔 Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye.. ======================= Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
  3. JamiiForums Tanzania Una kumbu kumbu zipi juu ya hii kitu namna ilivyopelekesha mtaa wakati fulani hivi😁

  4. JamiiForums Tanzania Makala: Nini hufanyika kisaikolojia na kibaolojia wakati wa fumanizi?

    Kitendo cha kumfumania mwenzi wa ndoa au uhusiano wa karibu ni moja kati ya mapigo mazito zaidi ya kisaikolojia anayoweza kuyapitia mwanadamu. Katika jamii zetu, tumeshuhudia mara nyingi matukio ambapo fumanizi linageuka kuwa uwanja wa umwagaji damu, mauaji, au ukatili uliokithiri. Wakati...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa tumekulana wakati sikuwahi kufikiria jumla!

    NI jirani yangu, tumeheshimiana tangu kujuana, huu ni mwaka WA 3 tunaishi vema kabisa! Kama tar.20 May, aliazima kiasi kidogo cha pesa, kama 150k kwa ahadi kwamba angerudisha tar.30/05/2026. Nikampa. Ulifika tar. 30 hakunipa, na Mimi sikumuuliza, mara tumeanza mwezi June, mtu kimya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Ruto kapata zaidi ya $3B mwaka huu kutoka USA ! Samia anajiongezea PHD kapata $0

    Wakati Ruto kapata zaidi ya alipewa $1.6 B ya afya na sasa amepewa $1.7B kwasababu ya Ebola. Ebu tujiulize ni ajira ngapi zitapatikana ni zaidi ya $3B inaingia Kenya. Samia anajiongezea PHD huko Urusi kapata $0 anakuja na mashaga sijui yanasaidia nini Tanzania. Hii ndiyo tofauti ya nchi yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Chris Cyrilo: Omar Kashera amenitafakarisha wakati akimuhoji mkuu wa Polisi wa zamani Omar Mahita

    Kwanini Ndg. Omar Kashera alikuwa anachekekea simuliza za ukatili za Omar Mahita wakati wa mahojiano? Nimemfahamu Omar Kashera mitandaoni na nimekuwa mfuatuliaji mkubwa wa masomo yake ya Diplomasia na Uongozi. Nimekuwa namkubali sana. Lakini nilipofuatilia mahojiano yake na IGP wa zamani Omar...
  8. JamiiForums Tanzania Trump: Bila mimi kusingekuwa na taifa linaloitwa Israel wakati huu

    https://x.com/MOSSADil/status/2062123748199649439?s=20
  9. JamiiForums Tanzania Je, kuna wakati akili zetu huwaza ujinga?

    Kuna nyakati nyingi ambazo akili zetu huwaza mambo ya kijinga au yasiyo na mantiki, na hata kutufanya tuyandike au tuyazungumze Hali hii ni ya kawaida kibiolojia na kisaikolojia, lakini pia hugusa sana maisha yetu ya kiroho na kihisia. Ubongo wetu unapokosa utulivu wa ndani, unakuwa kama...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni jibu: Je, viongozi wa harakati za uhuru wanapewa sifa kubwa kuliko hali halisi ya kisiasa iliyokuwepo wakati huo?

    Nikisomaga historia za uhuru wa nchi za Afrika inaonekana kwamba ilikuwa ni mapambano makubwa sana yaliyohitaji juhudi za ajabu kutoka kwa viongozi kama Julius Nyerere, Jomo Kenyatta na wengine wengi. Lakini nikiangalia kwa karibu, miaka ya 1950 na 1960 ilikuwa kipindi ambacho tawala nyingi za...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili hata Mende hawaipendi! Imepitwa na wakati

    Yaani kuna ofisi watu wanalipwa na serikali kazi yao ni kuandikia barua Chadema! Wakati nchi ipo kwenye uangalizi mkubwa
  12. JamiiForums Tanzania Zitto: CCM ikitaka Chama kimoja kama China ikubali 'meritocracy' na kukataa uchawa

    "Ni kama watawala wetu wanatamani the Chinese way. Wanatamani eh mfumo wetu ungekuwa kama CCP, the Chinese Communist Party. Ninavyoona. Lakini wale China, pamoja na kwamba ni chama kimoja, eh kwanza hawana mchezo na ufasadi. Juzi mawaziri wao wawili wa ulinzi wamenyongwa. Mawaziri wawili wa...
  13. JamiiForums Tanzania MUNGU ni mwema wakati wote

    Shikamoon wakubwa zangu wote Wadogo zangu hamjambo. Leo ni siku nzuri Sana kwangu, Si kwamba siku nyingine huwa mbaya,hapanaa,bali ni kwamba jambo likija wakati mzuri huwa moyo unafarijika. Binadamu tunakosea, Tunasameheana Maria Mimi si mkamilifu Kwa mambo mengi,yapo nayofanya Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania NIC Lipeni mafao ya watumishi wastaafu Kwa wakati

    Kisheria,sera na taratibu Iko wazi pale mtumishi anapostaafu anapaswa kupewa stahiki zake zote kama vile michango ya bima ya ustaafu (pensave scheme) kwaajili ya kusaidia maisha baadae ya kustaafu kazi. Sasa hawa NIC wamekuwa ni kikwazo sana katika hilo,unakuta mtumishi kastaafu zake na...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wakati gani hasa utakua muafaka zaidi kwa Joseph Selasini kuanza kupewa heshima na kutambuliwa kama mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa?

    Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani? Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa? haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote...
  16. JamiiForums Tanzania Kuezeka kwa Vigae kumepitwa na wakati?

    Siku hizi watu/matajiri hawaezeki kabisa kwa vigae. Shida nini? "Pale penye nyumba ya vigae, nje kuna Prado na Musso" hapapo tena. Kwa maoni yangu vigae vina class yake ambayo haichuji. Sasa imekuwaje havitumiki tena?Kuezekea. Au kumepitwa na wakati? Juzi wakenya wameboresha ikulu yao...
  17. JamiiForums Tanzania Methali gani unaona imepitwa na wakati?

    Methali gani unaona imepitwa na wakati na ipi ilikuwa mbele ya muda yaani inafaa hata sasa? Mfano mie naona aliye Juu mngoje chini kama imepitwa na wakati maana asiposhuka itakula kwako,
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ninawapa tahadhari wachama wa MCC ,ni wakati wa kuwa sehemu sahihi kwa wakati sahihi,muda si wenu tena umepinduka na game is over

    MCC ni kwasasa ni kama maluweluwe ni kama mtu,mbuzi,nyoka ,mara kiwiliwili ni joka kubwa na upande wa juu ni binadamu anaye nena maneno ya Makufuru kila muda na kila dakika Kifupi MCC ni monster,liko tayari kusuck blood ya yoyote tena Lina penda fresh blood,lakini linawapambe kibao wanalipwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa watu walionipa msaada katika wakati sahihi, nawapenda sana

    Kuna watu thamani katika maisha yetu hapa duniani wapo na wanaweza wakawa ni wa muhimu katika negative way au positive way. Ukiachana na ndugu wa faida na wazazi bado kuna watu baki wanaweza kuibika katika nyakati flani ambazo uliwahitaji kwa udi na uvumba. Binafsi mimi kuna hawa watu wawili...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo: Wakati wa kuungana dhidi ya ukandamizaji ni sasa

    Mkwamo wa Kisiasa Nchini Wakati wa Kujenga Muungano wa Kitaifa Dhidi ya Ukandamizaji ni Sasa. Historia inaonesha kwamba hakuna mfumo kandamizi unaoanguka kwa sababu ya malalamiko yaliyotawanyika ya wale wanaokandamizwa. My Take. Nawakumbusha ACT, kulikuwa na UDETA na UKAWA wakasaliti, NO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…