wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Na nyie vitu vya ndani huwa vinaisha kwa wakati mmoja kwa kufuatana?

    Kuna hili jambo la vitu kuisha kwa wakati mmoja, tena huwa vinaanza pale ambapo hata akiba ya pesa ipo kidogo. Mara Gesi imeisha, hujakaa sawa unga unakata, mchele, sukari yaani ni kama vinapeana taarifa ya kuisha unakuta ndani ya wiki moja vitu vitatu vinaisha ila ukiwa na hela vipo tu Hii...
  2. JamiiForums Tanzania Pongezi: Waziri Mkuu atatua changamoto ya kitaifa kwa wakati

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, Bi. Anastazia Tutuba, akimkabidhi Toroli Bi. Coleta Benedict ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, alilolitoa wakati wa Mkutano wa hadhara wa kusikiliza na...
  3. JamiiForums Tanzania Maskini Pacome. Kweli kuimba kupokezana. "Kama Simba hawataki Kuguswa wakacheze karata" Pacome leo kaguswa

    Kuna matches kadhaa nliona kuna teams zimetumwa kuumiza wachezaji wa Mikia. Zipo wala si suala la kubishana na nlisema tusifurahie. Tusifike huko. Kuna siku itatokea kwetu. Leo imetokea. Faulo ambayo imempata Pacome. Inaumiza sana. Nahisi huu mguu utakuwa umevunjika. Sijui wataalamu watasemaje...
  4. JamiiForums Tanzania Waislamu wanajuaje majina ya Kaini, Habili na Hawa wakati hayapo kwenye Quran?

    Kuna jambo linanichanganya Waislamu wanaposema Injili/Biblia na Taurati vimeharibiwa au kupotoshwa, Ikiwa Qurani inasema mambo mengine waulizwe wayahudi au watu wa Kitabu wakati Taurati na Injili zinapingana nayo, basi Quran inajipinga na hivyo ni ya uongo. Ikiwa Taurati na Injili zimeharibiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Huu sasa ni wakati wa Baraza la Mitihani(NECTA)kuanzisha huduma za online za upatikanaji wa vyeti.

    Kutokana na kukua kwa Teknolojia ni vyema pia hata baraza letu la mitihani(NECTA) likaanzisha huduma za online hasa kwa wahitimu wa miaka ya nyuma kuweza kujipatia vyeti vyao. Hapa kuna makundi mengine ya waliopoteza vyeti, kuharibikiwa n.k. Baraza lianzishe utaratibu huo kwa kuwa utaratibu...
  6. JamiiForums Tanzania Je, unadhani ni wakati muafaka sasa kuwe na sheria ya kuruhusu wenye dhamana za wananchi tu ndio wafanye mikutano ya hadhara ya kisiasa?

    Hii ikimaamisha, viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
  7. JamiiForums Tanzania This message is for all politicians, unapofika wakati wa mabadiliko usipigane na hayo mabadiliko don't do that.

    Kila kitu hubadilika ila mabadiliko ndo kitu pekee hakibadiliki. Mabadiliko yanapokuja au kutokea , Jaribu kuyaeleweka na kubadilika kutokana na hayo mabadiliko . Mfano mdogo ni platform za kufanya siasa. Ili chama kiwe relevant au mwanasiasa awe relevant inambidi awe relevant mtandaoni kwa...
  8. E

    JamiiForums Tanzania China; Mshirika Mkuu Ajaye katika Vita dhidi ya Ugaidi

    Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu, na mengi ya hovyo pia kama uporaji wa rasilimali na kuchochea vita maneneo mbali mbali duniani kwa manufaa...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ni kweli kuwa Kane alisema alipoteza udhibiti wa miguu yake wakati wa mechi dhidi ya Ghana?

  10. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Lameki Madilu ni mzima kichwani anapodai utegemezi wa taifa umepitwa na wakati?

    Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika. Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu. Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada...
  11. JamiiForums Tanzania Changamoto kubwa ya mtoto kutokukaa kwa wakati

    Wasalaam wataalam, Mtoto wangu mpendwa ana miezi nane ila mpaka sasa hajakaza kukaa mwenyewe kabisa ana uwezo wa kukaa dk mbili mpaka tano baada ya hapo anaanguka. Ndugu zanguni napata msongo Mkubwa wa mawazo kutokana na hali yake je ni kawaida au vp? NB: Alipata changamoto wakati anazaliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wakati kataa ndoa mnakomaa, wanaume kamili Wali enjoy Father's day

    Hivi huwa najiuliza what do men live for? Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame? Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment. Nothing beats a better family, a better wife, with children. No money, no accolades, no fame can ever buy it. Chekini real men wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli posho ya kikao kwa mmbunge ni shilingi laki nane? Yaani sawa na mshahara wakati wa mtumishi wa serikali?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa kweli Kwa jinsi viongozi wetu walivyo wazalendo, hawawezi ruhusu jambo hilo lifanyike katika nchi...
  14. JamiiForums Tanzania DENI LA TAIFA: Wakati Tanzania likiwa chini ya 50% ya GDP Rwanda kufikia 79% waamua kuachana kabisa na mikopo na kujikita kwenye PPP tu

    Wasalaam, Mnaohusikia na mambo ya Uchumi wa Tanzania someni hii stari kwa mstari, Sikuwa naelewa anachofanya Kafulila kupitia hii taarifa nimeanza kumwelewa. Katika bajeti ya Rwanda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Rwf 7.8 trilioni ($5.3 bilioni), sekta ya Ushirikiano wa Sekta ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ninyi mlio tayari kwa lolote wakati wowote mmetokea sayari gani?

    Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto...
  16. JamiiForums Tanzania DUNIA IMEBADILIKA KUTEGEMEA MISAADA KUMEPITWA NA WAKATI WAZIRI MKUU MWIGURU NCHEMBA AMEONGEA HAYO AKIWA ZIARANI..

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe. Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Wakati Sasa JF Kuanzisha Mfumo wa Kuwalipa "Content Creators" Wetu. Huu Ndio Ukweli wa Kisheria na Kiuchumi.

    Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini. Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Huwa nachukia sana 'Kelele' wakati wa Usiku na Asubuhi

    Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia. Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio. Napenda sana sehemu yenye ukimya. Napenda sana utulivu na kukaa sehemu iliyotulia muda mwingi nikiwa mwenyewe. Sauti pekee inayonipa furaha...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini wanywaji wengi wanapenda Serengeti Lager ndogo wakati kubwa ni rahisi zaidi?

    Hapa nilipo Serengeti Lager kubwa na ndogo zoto ni bei mmoja Tsh2500 ila ndogo ndio zinatembea zaidi, wanaokunywa kubwa wanahesabika!
  20. JamiiForums Tanzania Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…