wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zingekuwepo bado jamii(species) nyingine za binadamu zaidi ya kwetu ya Homo Sapiens dunia ingekuaje wakati huu?

    Kulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki moja tu iliyo survive ambayo ni ya kwetu ya Homo Sapiens, Sasa wangekuwepo akina Homo Neanderthals ...
  2. Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  3. Ongezeka la wanawake wasiopenda kuoga maji baridi inatisha hasa hawa GenZ

    Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa. Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi...
  4. T

    PreGE2025 Makalla: Lissu ni ndugu yangu yupo mbioni kuja CCM maana CHADEMA wanaendekeza rushwa wakati Lissu hapendi kabisa

    Akihutubia wananchi wa mkoa wa Kagera makala amesema chadema wameshindwa kabisa kujibu kiu ya Lissu ambapo Lissu amelalamikia rushwa na kukosekana demokrasia ndani ya CHADEMA lakini hawana mpango wowote kuyashughulikia. Ndugu Makalla amesema kutokana na ukweli huo alimsikia Lissu akisema...
  5. Uke mkavu wakati wa mizagamuano

    Ndugu wana Jf . Aliye elewa hii comment ya huyu mdau naomba afafanue zaidi.. Inshort : mimi naona amemaanisha unamwagia sperm mdani zaidi alafu unakua unatangwa . Uke ukikauka unasokomeza zaidi unavuta sperm zi sambae alafu unatwanga. Karibuni tueleweshane hii comment ya huyu mdau hasa hapo...
  6. U

    Sasa ni Wakati wa Karia kumuombea Max uraia, akipige stars

    Nafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star. Hapo Sasa, pia nimefikiria katika...
  7. Ni wakati turuhusu New Breed CHADEMA

    Kutokana na sintofahamu kwenye chama Cha CHADEMA inayoendelea sasa hivi ndani ya chama hasa Viongozi kuhongwa na suala la akina Halima Mdee kurudishwa kwenye chama huko mbeleni, nina ushauri maalumu. Ushauri wangu ni kwamba CHADEMA ijikite kwenye damu changa na siyo kuendelea kuhangaika na...
  8. Mambo muhimu ya kuzingatia wakati kuchagua kampuni utakayonunua hisa zake katika soko la hisa D.S.E

    Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake. na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya waliowekeza kwenye hili soko,wanakuja kujilaumu baadaye. Leo tuangalie mambo muhimu ya kuzingatia...
  9. A

    KERO Malalamiko Kuhusu Kutokufundishwa kwa Wakati Kupitia Zoom Lectures - Open University Tanzania

    Habari wadau, Ninaomba kutoa lalamiko langu kuhusu huduma za masomo kupitia Zoom lectures zinazotolewa na Open University Tanzania kwa wanafunzi wa sheria mwaka wa kwanza (bachelor of Laws) na wengine. Tatizo kubwa ni kutokufundishwa kwa wakati kupitia Zoom lectures. Mara ya mwisho...
  10. Kwa mtazamo wako unadhani huyu mtoto alikuwa anawaza nini wakati akimtazama huyo bibi

  11. K

    Mfumo wa Uajiri JWTZ umepitwa na wakati, ufanyiwe maboresho

    Nimejaribu kufuatilia michakato ya usajili na uajiri wa vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama. Kikubwa nilichokigundua ni kwamba mfumo wa uajiri wa JWTZ bado ni wa kizamani sana, jambo ambalo linaweza kusababisha kuwepo kwa mianya ya rushwa. Mpaka leo kwa taasisi kubwa kama JWTZ kuendelea...
  12. Ni wakati sasa serikali waweke barabara nne kwenye daraja la Mkaramo mlandizi

    Hili eneo limekua kero, na limeua watu wengi sana ndugu zangu, kwa mfano leo hii yenyewe ni foleni kubwa sana. Serikali fanyeni jambo,
  13. A

    Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.

    Habari za Wakati wanajamii; Napenda kufahamu Namna Gypsum (Calcium Sulphate) inavyotumika kupunguza Chumvi kwenye udongo shambani.
  14. Eeh Mungu, sijui kipi kinachofuata, natumaini ni chenye unafuu kidogo zaidi ya ugumu huu

    Nini maana ya maisha?, Nini sababu ya uwepo huu?, Ni ipi siri ya safari hii? Nini maana yangu? Nini sababu ya uwepo wangu? Ni ipi siri ya uundaji wangu? Ni ujinga wangu au ni hatma ya safari yangu? Ni mapungufu yangu au ni ubabe wao? Ni dhambi zangu au ni laana yangu? Je hii safari yangu hadi...
  15. Mtu hatoki ndani asubuhi hadi jioni lakini analipa kodi na bills zote kwa wakati

    Nimewahi panga Nyumba fulani hivi kuna jamaa alikuwa anashinda chumbani asubuhi hadi jioni na anakula vzuri anapendeza na analipa bills zote bila usumbufu hadi majirani na wapangaji wenzie hususani wanawake walikuwa wakihisi labda anajihusisha na uuzaji madawa au ndo wale wa ile pesa tuma kwa...
  16. Tuwapongeze Bibi zetu ( Wazazi wa Wazazi wetu) Kwa malezi yao bora na ya kudekeza wakati Mwingine.

    Mtu yeyote ambaye amekua katika maeneo ya vijijini hata mjini kwa kiasi kidogo anaweza kuelezea uzuri wa malezi ya bibi. Bibi ni mtu mwenye huruma sana hata mzazi akitaka kukuadhibu ukikimbilia kwa bibi basi utakuwa salama kabisa. Lakini Bibi ni mtu ambaye hutanguliza mbele wajukuu zake washibe...
  17. Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

    Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu. Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu...
  18. Kuna wakati sisi wanawake tulipaswa kuishi maisha haya. Dunia ingekuwa sehemu salama kabisa

    Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu. Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo. Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja. Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
  19. Usipokubali mabadiliko unapitwa na wakati

    Three stories to boot: 1. Nokia refused Android 2. yahoo rejected google 3. Kodak refused digital cameras Lessons: 1. Take chances 2. Embrace the Change 3. If you refuse to change with time, you'll become outdated Two more stories: 1. Facebook takes over WhatsApp and Instagram 2. Grab takes...
  20. S

    Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi yapi wakati mapinduzi yalishafanyila?

    Rais wa Zanzibar qnaitwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Swali ni je, hilo ni Baraza lipi tena wakati mapinduzi yalishafanyika mwaka 1964? Au kuna mapinduzi mengine ambayo bado hayajatimia? Inawzekana ufafanuzi uko katika somo la uraia au some la siasa enzi zile ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…