wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakati gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe tendo la ndoa? Tusaidiane wanandoa

    Wanandoa wengi sana hivi sasa wanapoteza haki za kupata unyumba Naomba kujua mda gani mwanamke anatakiwa kumnyima mumewe unyumba Na mda gani mwanaume anatakiwa kumnyima mkewe tendo la ndoa Ndoa nyingi hivi sasa zimekuwa na shida sana hasa tendo la ndoa M n mmoja wa wanakamati wa jamii...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ni Wakati wa Freeman Mbowe Kujiunga Chama Kipya Na G55..! Lakini lazima kipewe hatamu ya Uongozi...!

    Naweza kusema hii ni Bingo kwa Freeman Mbowe, G55, COVID-19 na baadhi ya wanachadema wasioridhishwa na mfumo wa sasa kuanzisha Chama Kipya cha kisiasa au kujiunga na chama kipya, lakini sharti Freeman Mbowe awe Mwenyekiti au Kiongozi Mkuu pamoja na safu yake yote. Kwasababu: Itakuwa ndiyo nguzo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wafanyabiashara wadogo, wakati na wakubwa

    Habari Tunajihusisha na utoaji wa mkopo Kwa wafanyabiashara kuanzia million Moja Hadi SHILING MILLION 40 Muda wa kurejesha MIKOPO ni miezi mitatu Hadi miaka Tano lakini Kwa mkopo unaoishia Milioni Tano muda wa kurejesha mkopo ni miezi 12 means maximum F Riba ni asilimia 3.5 Kwa kila mwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Unalalamikiaje uwepo wa viporo vya Simba wakati unajua ukweli huu?

    Ndugu zangu, wakati mwingine tuache kulalamika kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa. Mashabiki wa Yanga wanalalamikia TFF na Bodi ya Ligi kwa kuwapa Simba viporo vingi, wakilinganisha na viporo ambavyo Yanga ilikuwa navyo msimu wa 2022-23. Kuna mambo kadhaa ambao wanajisahaulisha, mojawapo ni...
  5. JamiiForums Tanzania Ufike wakati, bila kujali, wale waliokataa kusaini hati za maadili, wakae pembeni, wasijihusishe na siasa!

    Ipo haja kwa mamlaka zetu kuliona hili na kulifanyia kazi kwa dhati ya nguvu zote, watakaokaidi wakashindane mahakamani, wakashindane kwa sheria za vifungu huko huko mahakamani, ::Ushauri wangu binafsi, lissu akanywe dhidi ya kauli zake ya kwamba kwa kosa lingine la namna hii, dola haitakuwa na...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Marefa wa ligi kuu mtende haki wakati mnasimamia mechi mbalimbali za ligi kuu

    Jana nilishuhudia mechi baina ya timu ya Simba dhidi ya Mashujaa. Binafsi niliona kama timu ya Simba ikibebwa kwa asilimia 100. Iweje Refa anazidisha muda kiasi kile ili hali muda uliopangwa wa mechi umeisha?. Iweje penati kutolewa kwa Simba wakati Kapombe hakuguswa na mchezaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa tetesi za kifo cha Magufuli; CHADEMA badala wapenyeze agenda ya mabadiliko walikuwa bize wanasherekea mitandaoni

    Chadema chama ambacho ni kama kijiwe cha kupiga story kisichokuwa na strategy yeyote ile Namna chadema wasichojua wanachopigania angalia hiki kisa "kifo cha magufuli- baada ya tetesi za kuwepo kwa kifo cha magufuli week moja na nusu kabla haijatangazwa pale waziri mkuu kashitisha ziara mbeya...
  9. JamiiForums Tanzania Nimekatishwa mchezo wakati naelekea kufunga goli

    Hii sasa naona mambo yanaenda kuwa magumu Siku za karibuni nikiwa na mwenzangu tunafanya tendo Mara ile nakaribia nikakatishwa Ghafla kumuuliza nini shida akanijibu hivi Nanukuu' hivi ndivo wewe hunifanyia kila siku' mwisho wa kunukuu. Kwakweli mpaka sasa bado natafakari Mwanzoni mambo...
  10. JamiiForums Tanzania 25% ya nobel prize wameshinda Waisrael wakati dunia yote ni 75% tu! Hawa watu walichaguliwa na Mungu

    Hapa tunaongelea Ugunduzi na mchango wa technolojia zilizobadilisha maisha ya watu dunia. Waisrael wapo milion 15 tu duniani katika dunia yenye watu Billion 8. Lakini mchango wao kwenye hii dunia hasa wa uvumbuzi wa vitu na technolojia umekua n mkubwa kupitiliza….. kwa uchche wao ndio lakini...
  11. JamiiForums Tanzania mtu anayefanya mauwaji sababu ya madaraka ni chizi viongozi wa dini wanapaswa kuimarisha ulinzi wao wakati huu pale wanapo hamasisha haki

    Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili. Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini sikukuu ya wafanyakazi watu hawapiki pilau na kunywa vinywaji wakati kazi na Sio dini ndio huwapa kipato?

    Kazi hata kama unalipwa kidogo, ndio inayokuingizia kipato. Sikukuu ya meimosi ulipaswa kutumia kama fursa ya kumshukuru Mungu KWA kukupatia Kazi ambazo wenzako wanazutafuta Hadi damu. Sikukuu za Dini ilitakiwa watu wale kidogo tu na watumie muda mwingi kutubu na kitafakari. Ila hii ni...
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe wakati mwingine ngada inafanya mtu uwe na akili na maamuzi sahihi, Basi sasa ndio nimejua umuhimu wake.

    Amani iwe nanyi! Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate) Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
  14. JamiiForums Tanzania 30s: Wakati ambao akili inakuwa ya moto sana

    Mbona sijajenga? Mbona sijapata kipato cha uhakika? Mbona sina gari? Mbona sitengenezi faida ya uhakika? Mbona sijaoa/sijaolewa? Mbona sina mtoto? Mbona sina akiba? Mbona nachelewa? Mbona classmates wana nipita? Mbona sii-provide familia vya kutosha?
  15. JamiiForums Tanzania 1Timotheo 5:23 Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo.Ni wakati sasa Wakristo tukubaliane kuwa pombe ni halali.

    Iwapo wewe hutumii kitu basi usipande mibarini na kuanza kuhubiri watu kuwa pombe ni dhambi. Kila mtu kashajiwekea mipaka yake wapo wapagani kabisa hawajawahi kuambiwa na kiongozi yeyote wa dini kuwa pombe ni dhambi lakin automatic tu hawanywi hiyo ni mipaka yao wamesha jiwekea wenyewe mfano...
  16. JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli ni mtu ambaye analazimisha Mfumo umbembe wakati hana uwezo wa kiuongozi, CCM stay alert!

    To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary. Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu. Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli. Mirrad ayo unatumika vibaya.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wakati unafika, hela inakuwa sio sehemu ya shida zako ila unakua na shida ambazo hazitatuliki kwa hela!

    Hii stage ukiifikia basi ujue the only solution ya matatizo yako ni Mungu baba mwenyezi wa mbinguni pekee⛓️‍💥⛓️‍💥
  18. D

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa

    Wajumbe mko pouwaaa?Nimeona tushare pamoja juu ya hii dhana,ambapo inasemekana kwamba mwanamke anayekuvumilia wakati huna pesa ana mwanaume anayempa pesa ndiyo maana anakuwa mtulivu na hana bugudha na wewe.Hivi watafiti mnasemaje Yana ukweli haya au kutiana presha tu
  19. JamiiForums Tanzania Wakati umefika! Hatupaswi kuendelea kuvumilia upuuzi wa viongozi wetu

    Man, listen up! This thing is getting outta hand now! Hii nchi yetu Tanzania, nchi ya amani, nchi ya watu wastaarabu — imegeuka kuwa uwanja wa political games and dirty power struggles! Na siyo hapa tu, Afrika nzima viongozi wamekuwa slaves wa tamaa ya madaraka! Wanakula, wananywa, wanaiba, na...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

    Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac. Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok. Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho. Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…