wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Wewe unayenihoji mie sikusema wakati wa awamu ya 5, wewe ulisema awamu ipi?

    Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi? Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea...
  2. JamiiForums Tanzania Ni position gani usipoifanya wakati wa tendo unahisi kabisa mchezo haujakamilika vizuri?

    18+
  3. JamiiForums Tanzania Ukijifanya kujua wakati ujui, ipo siku utaumbuka. Champagne ni nini?

    Ijumaa Karim. Mara kadhaa nimekuwa nikiona kwenye sherehe mbalimbali na hata wakati mwingine kusikia kwa waliona sherehe ambazo sikubahatika kuudhuria haidha kwa kutoalikwa au vinginevyo wakisifu ubora na ustadi wa sherehe husika huku wakichagiza kwa umwagikaji wa Champagne na vitu kadhaa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Heche: Kwanini ulale njaa wakati Tanzania peke yake ndio yenye madini ya Tanzanite?

    Akizungumza katika mahojiano na Radio Mjini FM leo Julai 25, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amehoji kwa nini Watanzania walale njaa wakati Tanzania ndio nchi pekee yenye madini aina ya tanzanite duniani na yenye hifadhi kubwa za wanyama duniani?
  5. JamiiForums Tanzania Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  6. JamiiForums Tanzania Marijan Rajab alivyojichukulia ujiko kwa wimbo wa Geogina wakati hakuutunga yeye

    Mpaka anafariki Jumanne Khalfani Uvuruge kilikuwa kinamuuma kuona wimbo alioutunga yeye lakini dunia nzima ilidhani umetungwa na Marijan Rajab Marijan alikuwa mtoto wa mjini sema alizaliwa kipindi muziki haulipi,ingekuwa sasa angekufa tajiri kwa huo wimbo. Wanamuziki wa zamani waliambulia...
  7. JamiiForums Tanzania Picha ya satellite ya Korea Kaskazini na Kusini wakati wa usiku (2016)

    The image above of the Korean peninsula was taken by NASA in 2016 and perfectly sums up why capitalism, for all it’s faults, is still a far, far better system than the communist alternative. Capitalist South Korea takes up the bottom half of the peninsula, and you can clearly see all the bright...
  8. JamiiForums Tanzania Inakuwaje polisi mseme mabaki yana miaka 11 haraka na kukamata watu wakati picha zinaonesha ni wakati huu

    Kuna mambo nawaza majibu rahisi ambayo polisi uchukulia. Mfano kesi ambazo wanapotea bado zipo kwenye uchunguzi mpaka zikawa giza. Leo hii kama taharuki mshawahi kutoa taarifa kujua miaka 11 ni wapi taatifa iliwekwa miaka 11 iliyopita. Yani mguu bado nyama zipo na bichwa macho yapo na kichwa...
  9. JamiiForums Tanzania Dini isiyokuwa na Kwaya wakati wa Ibada, inakosa Uhondo!

    Katika maisha ya ibada, mahubiri na mafundisho ni nguzo kuu za kukuza imani na kuwaelekeza waumini jinsi wanavyopaswa kuishi au kuenenda. Hata hivyo, muziki wa kwaya hutoa ladha ya kipekee inayogusa moyo moja kwa moja, mahali ambapo maneno pekee hayawezi kufika. Ibada bila nyimbo za kwaya ni...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi mpaka leo mitaala ya elimu yetu ni ile wanasoma Bunsen burner

    Leo nimejiuliza sana baada kuona mtoto mwenye umri wa miaka 12 akichapa programming python wakati mimi nimekuja kuijua umri ushakwenda tena kwa tabu. Yani mtoto huyu elimu wanazopata zinakwenda na mazingira ya dunia inavyotaka.Kwa nini kwetu bado tuna elimu zile zile ambazo sio msaada kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Mitandao ya Simu Inawatumikia Wateja au Serikali? Hoja Kuhusu Kuzimwa kwa Mitandao Wakati wa Matukio ya Kisiasa

    Katika siku za karibuni, tumeendelea kushuhudia hali ya wasiwasi na maswali mengi kutoka kwa wananchi kuhusu kuzimwa kwa mitandao ya kijamii kama Facebook, YouTube, na X (zamani Twitter), hasa pale ambapo kuna matukio ya kisiasa yanayowahusisha wapinzani wa serikali au wanaharakati wanaoikosoa...
  13. JamiiForums Tanzania Mhe. Mchengerwa Ataka Kukamilika kwa Ujenzi wa Barabara Jimbo la Ukonga kwa Wakati.

    Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati. Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hawa ndugu zetu wasabato wasahau kutoboa kwenye biashara, Wakati wateja wengi wako sokoni Jumamosi, wao wamepumzika

    Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao wengine huamia maduka mengine. Kuwafungia duka wateja Jumamosi ni kama kusema “hatuwahitaji”, Na...
  15. JamiiForums Tanzania RECORD: Madaktari bingwa wameongezeka kutoka 5 hadi 2,369 ongezeko la mara 464 wakati bajeti imeongezeka kutoka TZS900bn hadi TZS1.6Trilioni 2025|26

    Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi...
  16. JamiiForums Tanzania Wakati CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito ACT na CHAUMMA Huwa nao wanapoteana CCM ikipoa nao wanapata nguvu Kuna Nini hapo?

    Katika huu mwaka wa uchaguzi Kila kipindi CCM ikiwa inapitia hekaheka nzito vyama kama ACT na CHAUMMA navyo Huwa vinaingiza mkia nyuma lakini huko CCM kukipoa ACT na CHAUMMA utawasikia wanapata makali. Saiv usikii chaka to chaka usikii watu wakinadi sera zao lakini kipindi CCM wakipata afadhali...
  17. JamiiForums Tanzania Kipindi cha furaha simba huwa wakati wa usajili tu

    I salute you kinsmen. Kipindi cha usajili kinapofika tu basi simba ndio huwa wana furaha wao na azam lakini ligi ikianza tu. Yanga wanabebwa GSM anaharibu ligi Udhamini wa team nane Mangungu atoke Tshabalala msaliti Sasa nataka mjue simba imejaa uozo mkubwa sana. Na inaanzia kwa Mo mwenyewe...
  18. JamiiForums Tanzania Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania

    Polepole apigiwa Simu na Polisi wakati akizungumza na Watanzania
  19. JamiiForums Tanzania Je ni wakati wa kufuatilia Insta ya Jamii Forum na zile Zingine Zisizo toa Taarifa SAhihi!

    Imekuwa ikitokea habari za Upinzani Tanzania au habari ambayo watu fulani hawaipenda basi ile TV online na Insta page haziwekwi isipokuwa kwa jf pekee. Je, wadau, tu unfollow zile page ili tuwe na source moja ya jf. Tutajieni majina ya kuachana nao.
  20. JamiiForums Tanzania Mrisho mpoto anataka tuvae viatu vyake kwenye msiba wa mkewe wakati yeye anatembea peku

    Ina maana sisi maumivu yetu sio yake ila ya kwake ni ya kwetu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…