wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Pwani ina laana ya mvua, imegoma wakati bara mvua zinanyesha?

    Msimu wa Christmas huwa ni mvua Tangu August hakuna mvua and therefore mwaka huu completely hapakuwa na mvua za Vuli. Kilikoni? Sayansi inatueleza ni sababu gani?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Nyerere na Mwinyi waandamanaji walifika Ikulu na hakuna aliyeuawa

    Kuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini. Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano kwenda Ikulu anastahili kuuwawa hapo alipo. Ukweli ni kwamba ktk jamhuri yetu maandamano yamewahi...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

    Mwanaume yeyeote atanielewa! Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana. Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani. Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso! Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Followers wa CHADEMA kwenye x.com ni 32K pekee wakati CCM wapo 882.9K

    CHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena. Check hapa: Wameshindwa hata ku verify account yao
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Sony wakati inaingia kwenye ushindani wa GAME, Playstation ilijiendesha kwa hasara mwanzoni ila sasa ndio yenye faida kubwa

    Ushindani michezo ya game miaka 80 -99 ulikuwa mgumu kwa kampuni ya sonny. Walichofanya wao katika kifaa chao walitengeneza kwa bei kubwa na kuuza bei ndogo. Kampuni za software za michezo zilivutiwa sana na ndio Playstation yenye michezo mingi ya game. Kipindi chote waliwezaje kumudu leo...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Nchi za Magharibi wakijiandaa na Christmas, Masheikh wa huko waamua kuivuruga

    Uislamu umevamiwa na Maislamists ambayo yanaongozwa na Katiba na Mikakati ya Muslim Brotherhood (MB). Hawa jamaa hawana interest ya kuwafikisha waislamu Ahera, bali wao interest yao ni Islamic Conquest ya Jamii nyingine ambazo si za Kiislamu. Aidha, hatima ya yote wanataka kusimamisha Dola ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hamza alikuwa mbele ya wakati, aenziwe kwa kufanya maandamano kila 25 August

    25 August 2021 mwamba mmoja aitwaye Hamza Mohammed aliifunga Dar kwa muda wa masaa 3. Akiwa na leso tu ya kujifutia jasho mkononi mwake, aliweza kuwanyang'anya bunduki polisi kisha kuisimamisha Dar kwa muda. Katika sakata hilo Hamza alifanikiwa kuwapeleka peponi polisi 4, na kuwajeruhi 6...
  9. pulex

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini watawala wetu wanalazimisha amani wakati hawanayo hiyo amani?

    Ukimsikiliza mkuu wa machawa mkumbo madelu akihimiza amani, unashangaa. Kunawezekana kuwa na amani bila haki? Je, amani inalazimishwa au inatokana na aina ya maisha ya wahusika? Je, hawa wanolazimisha amani wanayo amani? Wanaijua amani bila kuijua haki? Je, amani ni nini na inasababishwa na...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwalimu Nyerere wakati wa vita vya Kagera

    Wakati wote wa Vita vya Kagera Mwalimu Nyerere alikuwa anatoa hotuba kila baada ya muda fulani ili kuwajulisha wananchi maendeleo ya vita. Hotuba zote zimewekwa kwenye kakitabu haka. Kitabu unaweza kukisoma ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore. Hotuba No 1 2, Novemba, 1978. Ndugu...
  12. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Serikali imeishiwa pesa?! Yashindwa kuwalipa Mahakimu pesa za posho kwa wakati

    Inavyoonekana Serikali haina pesa na ndiyo maana leo ni zaidi ya Siku nne imeshindwa kulipa Mahakimu pesa za posho isivyo kawaida Ki kawaida pesa za posho kwa Mahakimu hulipwa kila tarehe 8-9 ya kila Mwezi. Ajabu leo ni zaidi ya siku nne hiyo pesa hawajalipwa Je, ni rasmi fuko la Hazina...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Padre aliyeongoza misa kumuaga Jenista Muhagama asikitika 'nilijiuliza ni kwanini kifo chake kitokee wakati huu?'

    Akizungumza wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu Jenista Mhagama, Padre Emmanuel Mtambo, Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledóchowska, Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma, leo Desemba 13, 2025, amesema alipokea taarifa za kifo hicho kwa huzuni kubwa...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yaomba wananchi watume taarifa za uvunjifu wa amani zilizotokea wakati wa uchaguzi

    Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32). Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo yatakayosaidia kufahamu ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Harmonize inakuwaje kusema wasanii tumewakosea wakati una album ya mtu aliyetukosea kabisa

    Huyu dogo umaskini ulikuwa haki yake na haki yake kabisa. Kukaa kimya watu wakufikirie bado unajikosha mbele ya maumivu ya watu walionyanyasika kwa kila aina ya maumivu. Kwa sasa dunia nzima ishawakataa mkaona kenya ni karibu,kumbe ghana nayo,ikaja naijeria na nchi nyengine. We si ndo ulikuwa...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

    Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani. Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
  17. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama alikuwa Waziri wa Afya wakati wa maandamano, kaondoka na siri gani?

    1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao? Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi? Je, hizi taarifa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukipiga simu sana leo D9 App ya true call inakwambia kuna mtu ameangalia namba yako wakati ufahamu hiyo namba

    Mnaotumia true call mnaweza kujiuliza leo tarehee 9 .App ya true call inaweza kukuonesha wanaokutafuta kama wataweka namba yako. Na kwa nini ili jambo limeanza leo
  19. Mafia Island Boy

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuzimwa kwa Intaneti wakati wa uchaguzi wa 2025, kuliumiza wengi, haki ya kupata taarifa iliminywa

    Tarehe 29 Oktoba 2025, Tanzania iliingia kizani kimawasiliano baada ya Mamlaka kuzima Mtandao wa intaneti (internet), upande wa pili Serikali ikidai kufanya hivyo kumeweza kuwadhibiti waandamanaji kuhamasishana kuandamana. Kuzimwa kwa Mtandao kulisababisha madhara mengi kwa Wananchi ikiwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
Back
Top Bottom