Takwimu za kidunia zinaonesha kuwa idadi ya Wajane ni takriban millioni 258 kati ya hao, Wajane 115 millioni wanadhulumiwa, wanafanyiwa ukatili, wanakabiliwa na umaskini na kutengwa na jamii.
Tanzania ina idadi ya Wajane 1,396,262 sawa na 4.4% ya Wanawake wote nchini (Sensa ya Watu na makazi...