Wajane walindwe kwa wivu mkubwa

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,046
8,622
Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Dr Kamatwa ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki.

Suala hili halivumiliki
 
Kwa maoni yangu Kylin kaonewa maana mzee Mengi was very particular kwenye wosia halafu anaibuka judge bila ushahidi anasema mengi hakuwa sawa kiakili wakati anaandika wosia.... Pathetic.

As for Vicky kama kweli mume wake alikua na ndoa ya kanisani basi haki zake ni za matunzo ya watoto kama anao maana yeye ni hawara tu sio mke halali na ukizingatia marehemu "mume wake" hakuacha wosia. Awe mpole watoto wapewe haki yao.
 
Sheria ya ndoa imetaja hawara? Mbona mnampa vyeo visivyo vyake Mheshimiwa Mstaafu?
 
Wale wa tafuta Hela,endeleeni ila Hawa vidume walio kata Uzi Wana different opinion huko walipo,no wonder wamewahishwa na hao hao madem.Thinks about it mtu umefanya Kila njia unapata Hela Ili ufe uzee mwema na mwanamke umpendaye,kumbe yy anataka uwahi Ili ale maisha na msela ampendae.Wanawake msituonee huruma kazeni hapo hapo.
 
Kwa maoni yangu Kylin kaonewa maana mzee Mengi was very particular kwenye wosia halafu anaibuka judge bila ushahidi anasema mengi hakuwa sawa kiakili wakati anaandika wosia.... Pathetic.

As for Vicky kama kweli mume wake alikua na ndoa ya kanisani basi haki zake ni za matunzo ya watoto kama anao maana yeye ni hawara tu sio mke halali na ukizingatia marehemu "mume wake" hakuacha wosia. Awe mpole watoto wapewe haki yao.
Huo ndiyo ukweli wake . Atunze tembo huko yatosha
 
Tumeshuhudia wajane wakidhalilishwa Kwa sheria zetu mbovu K- Lyn na Vicky Kamata ni wachache kati ya wengi. Ni wakati Sasa Sheria itungwe ili kuwalinda wajane baada ya Waume zao kufariki.

Suala hili halivumiliki
Sema madanga na magold diggers yalindwe kwa nguvu kubwa
 
Kwa maoni yangu Kylin kaonewa maana mzee Mengi was very particular kwenye wosia halafu anaibuka judge bila ushahidi anasema mengi hakuwa sawa kiakili wakati anaandika wosia.... Pathetic.

As for Vicky kama kweli mume wake alikua na ndoa ya kanisani basi haki zake ni za matunzo ya watoto kama anao maana yeye ni hawara tu sio mke halali na ukizingatia marehemu "mume wake" hakuacha wosia. Awe mpole watoto wapewe haki yao.
Kwa jacky hakuonewa alichukua mali za watu kiakili hakutumwa azae na mengi kinguvu nakuja kudai mali alikuja kuishi kwa mengi kama kusaidiwa baada ya nyumba kujaa maji kwake sasa unakuja kuchukua na mume na mali ambazo hujazivuna vuna ulichochuma kama ni umalaya ukauvune huo sio mali za watoto wawatu wazazi wao waliojitumikisha kuwawekea
 
Sheria ya ndoa imetaja hawara? Mbona mnampa vyeo visivyo vyake Mheshimiwa Mstaafu?
[/QUO
Kwa jacky hakuonewa alichukua mali za watu kiakili hakutumwa azae na mengi kinguvu nakuja kudai mali alikuja kuishi kwa mengi kama kusaidiwa baada ya nyumba kujaa maji kwake sasa unakuja kuchukua na mume na mali ambazo hujazivuna vuna ulichochuma kama ni umalaya ukauvune huo sio mali za watoto wawatu wazazi wao waliojitumikisha kuwawekea
Lakini mengi hana watoto wadogo ukiacha wale wa jack, ana uhuru wa kugawa mali zake anavyotaka na alifanya hivyo. Sioni ubaya.
 
Mwanamke mwenye akili hawezi kupambana achukue mali za mwanamke mwenzake aliyezichuma. Atapambana atafute za kwake na huyo anayemwita mume.

Kuna familia moja naifahamu mama na baba walikuwa na mali nyingi sana na watoto tayari walikuwa wakubwa. Mama akaja akafariki baada ya kufariki miaka ikapita yule baba akawa anahitaji kuoa. Lkn kabla hajao akakaa na watoto wake wakatafuta mwanasheria mali zote zilizochumwa wakagawana 50 kwa 50 kwa hiyo ile hamsini wakarithi watoto hamsini ikabaki kwa baba.

Baadae ndo akaja kuoa na kuanza kutafuta upya mali na yule mwanamke mpya.

Kwa hiyo familia inaendelea bila mgororo wala vita.

Wanawake tuache tamaaa. Na watu wahurumiwe pale kweli panapohitaji kuhurumiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Mstaafu Dr Kamatwa kapoteza pambano la Bilioni 4
 
Back
Top Bottom