https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac
Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo...
Wameanza kujidanganya na wanamdanganya kuwa hili litapita kama mengine yalivyopita, wana buy time ili jamii isahau, wanasema tugange yajayo.
Nawaambia kuwa wasipowajibika wao tutahakikisha watoto wao au wajukuu zao wanaowarithisha uongozi wanawajibika.
Matendo yao yako documented, tutatunza...
Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki.
Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ?
Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati
"lazima umma ujue tutakuwa ni...
Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!.
Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
Wananchi wenzangu, poleni sana kwa unyama tunaoupitia kabla na baada ya uchafunzi mkui.
Bila kupoteza muda nawaomba tuwataje wale wote wanaohusika na uvunjwaji wa haki za Binadamu. Lengo ni kiwasaidia wanasheria na watetezi wa haki za binadamu kuwajumuisha kwenye kesi inayotarajiwa mahakama ya...
Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao.
Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na wahamiaji haramu. Polisi wa ngazi ya chini hawana ujanja tena zaidi ya kulinda wanamtandao.
Polisi na...
Inawezekana. Mauaji mengi yalifanywa na wahusika wa Mtandao kipindi cha Magufuli au Walimshawishi naye hakuwa smart kugundua. Mnakumbuka mauaji ya Kibiti?yalikuwa organized na watu wa juu sana ndani na nje ya Serikali.
Polisi walishindwa kuyathibiti sababu taarifa zilikuwa zinavuja kila...
Baada ya kuanika huu uovu ambao mwenyewe umekiri kuhusika kuuandaa ingawa ulisema uliandaliwa kwa malengo mazuri tofauti na sasa, elewa utashambuliwa sana mitandaoni na pia itatumika propaganda kubwa kutaka kuaminisha watu kuwa ulichoongea hakiwezekani na ni uongo ingawa hawatakubali uchunguzi...
Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani.
Hakuna madhara kwako wakipost wanachotaka kupost. Ni mambo ya kupita katika siasa
Hayapendezi
Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk.
1. Manyanya
2. Mke wa manyanya
3. Mlevi mme wa sindi
4. Sindi mwenyewe
5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
Naona kama huu mgogoro wa wanaondamana kila jumapili kwa ajili ya kufanya ibada unaanza kuzoeleka.kitu ambacho kwa maoni yangu ni kuendelea kuiletea doa nchi yetu.Kwa nini serikali isikae ikafanya mazungumzo na kuwasikiliza hao waandamanaji na kuweka utaratibu mzuri wa kufanya hiyo ibada kwa...
Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni uwajibikaji gani huo? Pesa hizo zinalipwa lini?
Dear .......... your loan item TU TZs 1,000,000.0 has been...
Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano.
Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji.
Wahusika waharibiwe.
Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500
Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani
Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini
Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa
Else mambo ya...
Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo...
Hakuna mtu mjinga hata kompyuta iwezi kudanganywa kuwa ijahusika wakati ndio inatenda.
Hapa tanzania kama unafanya ujambazi au wizi uwezi kufanya kama yanayo fanywa mfano uwezi kusimamisha basi ukachukua mtu tena sio porini ni jiji kubwa alafu gari mnazotumia ndio hizo hizo mnazotamba nazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.