wahindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Serikali itupie macho viwanda vya wahindi, kuna unyonyaji mkubwa dhidi ya wafanyakazi

    Sio siri viwanda ambavyo kuna Wahindi kuna unyonyaji mkubwa sana. Nabaki kushangaa jinsi ambavyo hawa Wahindi kwanza ni wageni katika nchi yetu lakini wanawanyanyasa sana watz mishahara midogo sana. Unamlipaje mtu kutwa elfu 7 yaani atoke asubuhi mpaka jioni saa 11 unampa elfu 7? Hakuna...
  2. Wahindi walioko Tanzania huwapeleka watoto India kwa lazima kujifunza ugumu, ubahili

    Nilipewa hii habari juzi kati na ni kweli kwamba Wahindi wanao kaa Tanzania, hata Kenya pia, na kwingineko watoto wao walio zaliwa huku huku huwa wakisha fikisha umuri fulani wanapelekwa India either Kusoma au kwenda kujifunza Ubaya. Hata kama kaenda kusoma India pia lazima akajifunze na Ubaya...
  3. Kwanini Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel

    Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel. Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel. Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel. Cha ajabu tena wahindi wengi sio wakristo. Wengi ni Hinduism.
  4. Najiuliza hivi kwanini CEO wengi wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna kundi kubwa la wafanyakazi wahindi?

    Naomba kueleweshwa wakuu hivi kwanini CEO wa kampuni kubwa duniani ni wahindi au kuna utitiri mkubwa wa wafanyakazi wengi kuwa WaAsia Hususani wahindi yaani wamekamata soko la kampuni nyingi duniani aisee na kampuni zao zinafanikiwa sana aisee Nenda Microsoft,Google,Apple na kadhalika wahindi...
  5. Kama maendeleo ya kiteknorojia kwa nchi zilizoendelea yamechagizwa na Wayahudi, Tanzania tunakwama wapi kuwakaribisha na kuoana nao?

    Iran, USA, Russia, Ujeruman, UK, Korea zote, Japan, mkono wa Myahudi upo! Kazi za kubuni na kutengeneza, hao jamaa Mungu amewabariki Imefika wakati kwamba, kila nchi ambayo inawayahudi walipewa nafasi serikalin Nchi hiyo inakuwa hatari kwenye nyanja zote za kijeshi n.k Sehemu hakuna...
  6. G

    Wahindi, Waarabu na wasomali wanafanyaje hadi watoto wanakuwa waaminifu kurithishwa biashara, kuwa na utulivu kwenye biashara na nidhamu ya pesa?

    Hata wao wapo wanaofanya biashara nyeusi, mabasi ni ya kutakatisha pesa, lakini still unakuta wao wametuzidi kwenye kuendeleza biashara kwa vizazi tofauti na sisi biashara nyingi baba akifariki watoto inavidi waanza kuzoea ugali maharage. waafrika tumekuwa na shida kubwa kwenye kurithisha...
  7. Wachina na wahindi wamefanikiwa sana katika kuanzisha viwanda vidogo vidogo hata sisi naamini tunaweza

    Kwa dunia ya sasa haina haja ya kusubiri aje mwekezaji mkubwa kutoka nje ya nchi aje atuletee maendeleo tutabaki kuwa watumwa katika nchi yetu kila muwekezaji anakuja kwa lengo la kuchuma nazani Mimi kwa mtazamo wangu naona wakutukomboa ni sisi wenyewe tunapaswa tuongeze jitihada mahali flani...
  8. G

    Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
  9. M

    SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

    Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa! Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
  10. G

    Suala la usafi kwa baadhi ya wahindi ni kero, ni utamaduni au ?

    duh !!
  11. C

    Wahindi wananyanyasa wafanyakazi wazawa makazini

    Kuna haya makampuni makubwa yanayomiliki viwanda na biashara nyingine kubwakubwa yanaleta wahindi nchini kufanya kazi, kwanza hatujui kama wanakuja kihalali au la. Na wakifika makazini wanapewa nafasi za juu, na ikitokea umegoma kumsujudia jua kazi hauna. Serikali ianze kuwafatilia hawa watu...
  12. B

    Tuige Mfumo wa Kifamilia kama Waarabu na Wahindi, Tutafanikiwa kama Familia na Taifa kwa Ujumla

    Nimeishi kwenye jamii za Hawa watu Takriban miaka 8 sasa. Nimefanya nao kazi za Maofsini na za Nje ya ofisi yaani za kijamii na Uchumi. Pamoja na changamoto nilizoona ktk familia zao na mfumo mzima wa maisha yao lakini bado kuna nafuu sana ukilinganisha na ya kwetu sisi watu weusi. Hizi jamii...
  13. P

    Wakuu hii chachua ya wahindi irudishwe tu.

    Nmeona watu wana kumbushia experience yao na hii kitu huko X,sisi tuliyo ikuta inapotea mpk leo tuna experience na huu ugolo wa wamasai. Wanasema ni kali kuliko ugoro wa kawaida sasa wahindi wanaweza kumudu vipi na sisi tukashindwa.
  14. Serikali ya Tanzania itoe VISA free kwa wahindi, wachina, wakorea, wajapan katika hatua za mwanzo

    Napendekeza serikali ya Tanzania ichukue hatua katika haya mapendekezo yangu. 1. Napendekeza serikali ya JMT itoe visa free kwa raia kutoka India, China, Japan na Korea - katika mchakato wa visa free kwa mataifa mbalimbali tuanze na hayo mataifa manne kwanza kwa miaka 20 ya mwanzo. 2...
  15. Wahindi wafurika Israel kuchukua kazi zilizokua zinafanywa na Wapalestina

    Wapalestina takriban 90,000 walikua wameajiriwa Israel, ila baada ya HAMAS kuwaponza wakafurushwa, sasa hivi Wahindi wanafurika Israel kuchukua hizo nafasi. =================== ROHTAK, India -- When Israeli and Indian officials ran six days of skill tests for workers in the state of Haryana...
  16. Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

    TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
  17. Maduka ya rejareja ya Wahindi Posta ni hovyo sana

    Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE). Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale...
  18. Profesa wa UCLA asema Wahindi wanajitolea kwenda kuua waislamu Palestina

    Hawa wameanza kutafuta ugomvi na Wahindi... Wenzetu mumeishiwa hoja, mtatafuta mchawi kote lakini ukweli uko pale pale kwamba acheni kujaribu kufuta Wayahudi maana Mungu wao ana nguvu kuliko huyo wenu, hayo maandiko au maagizo ya kwenye kurani ya kuwaua Wayahudi wote hayatekelezeki, yaliandikwa...
  19. Danguro lenye Wanawake wa kihindi na Nepal lavunjwa Dar

    Danguro la Mabinti wenye asili ya kihindi na Nepal lavunjwa jijini Dar-es-salaam. Aisee watu ni wasiri sana, kwahyo mlikuwa mnazichakata Mbususu za Kihindi peke yenu bila hata ya kutuambia nasisi.
  20. Meli yenye Wahindi yapigwa na drone ya Iran

    Mnapenda kulazimisha ugomvi kote kisha mnalia lia kwamba mnaonewa, fahamuni kwamba Wahindi nao ni kama Wayahudi, hupiga sana, temaneni nao, yaani kwenue maugomvi yenu temaneni na Wayahudi, Wahindi, Wachina. Shobo zenu tufanyieni sisi. ===== https://www.youtube.com/watch?v=tdcWFEf-zQI A...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…