wahenga

Get Out is a 2017 American horror film written and directed by Jordan Peele in his directorial debut. It stars Daniel Kaluuya, Allison Williams, Lil Rel Howery, Bradley Whitford, Caleb Landry Jones, Stephen Root, Lakeith Stanfield, and Catherine Keener. Get Out follows Chris Washington (Kaluuya), a young black man who uncovers a disturbing secret when he meets the family of his white girlfriend, Rose Armitage (Williams).
Principal photography began in February 2016 in Fairhope, Alabama, then moved to Barton Academy and the Ashland Place Historic District in Mobile, Alabama. The entire film was shot in 23 days.
Get Out premiered at the Sundance Film Festival on January 23, 2017, and was theatrically released in the United States on February 24, 2017, by Universal Pictures. It received acclaim from critics, with praise for the screenplay, direction, acting performances (particularly Kaluuya), use of black comedy, and social themes. It was also a massive commercial success, grossing $255 million worldwide on a $4.5 million budget, with a net profit of $124.8 million, making it the tenth-most profitable film of 2017.It was chosen by the National Board of Review, the American Film Institute, and Time magazine as one of the top ten films of the year. Peele won the Academy Award for Best Original Screenplay at the 90th Academy Awards, with additional nominations for Best Picture, Best Director and Best Actor (Kaluuya). It also earned five nominations at the 23rd Critics' Choice Awards, two at the 75th Golden Globe Awards, and two at the 71st British Academy Film Awards. It has been featured in multiple listings of the best films of the 2010s.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyuki Mdogo

    Wahenga njooni mnisaidie: Eti huyu mama ni nani hasa katika nchi hii?

    Huyu hapa.. Naomba tufahamishane vizuri wahenga wa Jf..
  2. J

    SoC02 Fikra na elimu kwa wahenga

    Elimu huchochea maendeleo makubwa mno katika jamii lakini elimu bila pesa kizazi cha sasa ni sawa na kofia ya chuma inayopata moto nyakati za jua la utosi, Enyi kizazi cha sasa tubadilike tusichukue ya wahenga yote kwani mengi yameharibiwa na teknolojia pamoja na usasa elimu tunayopata mashuleni...
  3. Kinengunengu

    KWA WAHENGA TU: Mara ya kwanza kuona TV/ Video/ Sinema ilikuwa mwaka gani na ulijisikiaje?

    Binafsi nakumbuka mara ya kwanza kuona video ilikuwa ni Late 1980"s na ilikuwa ni Sinema. Walikuja uwanjani kijijini kwetu wakihamasisha maendeleo. Waliwasha Sinema na Waliweka wimbo wa "Remmy Ongala" sikumbuki Jina ila Binafsi sikuwa najua tofauti ya Sinema na Muziki. Nikawa nacheza nikiamini...
  4. mtwa mkulu

    Uzi wa katuni kali za wahenga

    Je unawakumbuka hawa miamba? Mi nashukuru walinilea pale sawala primary.....
  5. Sky Eclat

    Wahenga mnaikumbuka hii meza ya simu?

    Pembeni ya simu kulikua na pen holder na note book kwa kuchukua messages. Hapo chini ilikaa telephone directory.
  6. Torch

    Wahenga hawa ninkina nani? Anzia kulia kwenda kushoto

  7. Linguistic

    Wahenga tyme (born before computers (bbc): 1970s, 1980s & 1990s

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 A. MABINGWA WA BREAK-DANCE TZ 1. Black Moses 2. Mzee Bachu 3. Ommy Sydney 4. Salma Sweet Kajela 5. Athuman Digadiga "Double D " 6. Jimmy To London 7. Bosco Aidan Cool J 8. Super Ngedere 9. Abdul Shalamar 10. Abel Siwale 11. Patrick Chiume "TASS" 12. Kamal Mabobish 13...
  8. MKONGORO

    Wahenga msaada wa nyimbo hizi tafadhali

    Wahenga wenzangu bila shaka kwa uwezo wa Mungu hamjambo kabisa! Wakuu naombeni msaaada kuna nyimbo nimetafuta kwa kuseach kila kona bila mafanikio kiukweli sijui ni bandi gani ziliimba hizo song ila nakumbuka baadhi ya maneno katika nyimbo hizo 1. Mama mdogo alinichukua kijijini...
  9. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Wahenga wenzangu, tujikumbushe namna tulivyoishi enzi hizo

    1. Enzi hizo watu tulivaa viraka. Mafundi cherehani walipata kipato kwa kushona viraka. Suruali la baba lilikatwa kaptura za watoto na chupi kadhaa za mama. 2. Enzi hizo watu tulipiga mswaki kwa mkaa. Watu tulivaa kata mbuga. Miguu ilijaa funza wakubwa utadhani mbaazi. Tulikwenda chooni...
  10. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Wahenga wenzangu mmojawapo kati yao alikuwa Rais wa Tanzania je unamkumbuka ni nani?

    HEBU TUJIKUMBUSHE
  11. Subira the princess

    Video: Ukiwa mwongo usiwe msaulifu

    Wasalama. Hakika viongozi takribani wote ndani ya ccm ni wazandiki na wanafika wanasimamia matumbo yao. .
  12. D

    Kipi kiliwafanya wahenga kutunga misemo kama hii "Asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu"

    Kuna wakati nashawishika kuamini hata bibilia huenda iliandikwa kwa utaratibu kama huu wa wahenga! Mfano misemo hii ingekuwa na majina ya wahenga ingeleta maana ileile ya kibiblia! Mhenga 1:1 Mtoto umuleavyo ndivyo akuavyo Mhenga 1:2 Asiyesikia la mkuu huvunjika guu Mhenga 1:3 Asiyefunzwa na...
  13. Fumo Liyongo

    SoC01 Ndoto za Mchana za Wahenga

    [CHANZO: Pinterest] Wasifu wa mhenga wa kigeni Kabla hawajazaliwa wazee wa wazee wetu, katika shamba moja mbali sana kutoka kijijini kwetu, alizaliwa mtoto. Kabla hujaweka maneno katika aya zangu, huyu si yule mtoto wa vitabuni, aliyezaliwa katika zizi la ng’ombe na kuletewa zawadi nyingi na...
  14. B

    Ushawishi wa chanjo ya Covid na kauli ya wahenga "kibaya chajitembeza"

    Tunapoona Marekani wakitoa hamasa kufikia kulipa dola mia moja sawa na laki mbili na ishirini plus ya Tanzania kwa mtu kuchanjwa inafanya nijihoji kwanini wao ulimwengu wa Kwanza wanadhani watu wao wamegoma kuchanjwa? Je, Kama ulaya watu wanalipwa na awataki kuchanjwa huku Africa na Tanzania...
  15. Mr pianoman

    Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

    Kwa kipindi cha miaka ya 90’s mpaka 20’s ilikuwa ili msanii uweze kutoboa lazima ujiunge kwenye kundi lolote la muziki na ndio maana kwa kipindi hicho idadi ya makundi ilikuwa kubwa na yalidumu kwa muda mrefu,walikusudia kuifanya Tanzania kuwa "Taifa la hip hop’’, vijana kuondokana na maisha ya...
Back
Top Bottom