wahenga

Get Out is a 2017 American horror film written and directed by Jordan Peele in his directorial debut. It stars Daniel Kaluuya, Allison Williams, Lil Rel Howery, Bradley Whitford, Caleb Landry Jones, Stephen Root, Lakeith Stanfield, and Catherine Keener. Get Out follows Chris Washington (Kaluuya), a young black man who uncovers a disturbing secret when he meets the family of his white girlfriend, Rose Armitage (Williams).
Principal photography began in February 2016 in Fairhope, Alabama, then moved to Barton Academy and the Ashland Place Historic District in Mobile, Alabama. The entire film was shot in 23 days.
Get Out premiered at the Sundance Film Festival on January 23, 2017, and was theatrically released in the United States on February 24, 2017, by Universal Pictures. It received acclaim from critics, with praise for the screenplay, direction, acting performances (particularly Kaluuya), use of black comedy, and social themes. It was also a massive commercial success, grossing $255 million worldwide on a $4.5 million budget, with a net profit of $124.8 million, making it the tenth-most profitable film of 2017.It was chosen by the National Board of Review, the American Film Institute, and Time magazine as one of the top ten films of the year. Peele won the Academy Award for Best Original Screenplay at the 90th Academy Awards, with additional nominations for Best Picture, Best Director and Best Actor (Kaluuya). It also earned five nominations at the 23rd Critics' Choice Awards, two at the 75th Golden Globe Awards, and two at the 71st British Academy Film Awards. It has been featured in multiple listings of the best films of the 2010s.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kitu wahenga hawaamini macho yao mpaka sasa

    Ni kitu wahenga hawaamini macho yao mpaka sasa Kwa ile misemo yao waliyo itunga.
  2. Unahisi ni misemo gani ya wahenga ambayo haina nguvu kwa kizazi hiki kipya?

    Mimi binafsi naamini misemo hii baadhi haina nguvu hivi sasa, kwa mfano -Aliejuu mngoje chini, Vijana wasasa hawana mda wa kupoteza wanakufuata hukohuko juu -Mshika mawili moja humpokonyoka, kizazi cha sasa hawashiki moja maana wanaamini ni uvivu Tiririka nawewe misemo ambayo unaona wahenga...
  3. Wahenga Wafikiri Upya Kuhusu Malezi

    Katika kizazi hiki cha Generation Z na Alpha, Mtoto anaweza kutangulia kuona jua kuliko mzazi, kupitia AI, Coding, Robotics, Media Literacy, Digital ethics, Financial literacy. Wahenga wamepigwa na butwaa.
  4. M

    PostGE2025 Wahenga wenzangu wa 70s, 80s, Early 90s, tuache mara moja kuwaita Gen Z "vitoto vya 2000" ujasiri walionao hatujawai kuwa nao

    Kuwaita "Vitoto vya elfu mbili" sio sawa hata kdogo. Sisi wahenga tunajijua namna tulivyokuwaga waoga kupitiliza, hatukuwahi kuwa na ujasiri walionao hawa watoto
  5. PostGE2025 Wazo la Leo: Kwa Mwoga huenda Kicheko kwa Shujaa Kilio -Nimewaelewa Wahenga

    Nilikuwa sijawahi kuutafakari sana huu msemo. Sikuelewa kwanini kwa waoga wacheke na mashujaa walie. Sasa nimeelewa. Wapo wanaochekeana na kupongezana..wanapigiana saluti na kugongeana "high five". Tunawaona wanacheka lakini nyuso zao zimejaa hofu..hoja zao zimejaa vitisho...kauli zao ni za...
  6. Wahenga walikosea sanaa

    MAkosa ya kiufund yapo kila mahal hapa wahenga walikosea sanaa Pale wanaposema mwanamke mpumbavy hujenga ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ni makosa kinachojenga ndoa ni mdomo sio mikono hata kubomoa ni mdomo kauli njema ni msing wa aman na furaha katika ndoa wanawake weng ni vibur jeur wajuaji
  7. D

    Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, ushauri kuntu wa wahenga unapoulizwa na 'watoto wa 2000'

    Naona vibwebwe vimefungwa viunoni watu (wamakonde wanaita 'vanu') wakifurahia ugomvi wa jirani...........wanagongeana mikono Huku wakishusha vijineno chochezi ("ndo alivyo huyo!", "apigwe huyo!" n.k) na vicheko (wera wera weraaaaa!!) kama vyote. Katikati ya 'raha' hii ya kushuhudia ugomvi wa...
  8. R

    Nilikuwa najiuliza sababu ya vita kati ya Ukraine na Russia ni ipi? Majibu generated by Artificial Intelligence (AI) ni haya

    The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include: 1. Russia's desire for a sphere of influence: Russia seeks to regain control of Ukraine and prevent its integration into Western institutions, which it...
  9. K

    Wahenga wenzangu tukumbuke ya kale

    Hakika ya kale ni dhahabu ,ni mengi tuliyafanya enzi zetu lakini kutokana na sayansi na teknolojia mambo yamebadilika kabisa. Haya ni machache kati ya mengi tuliyofanya enzi zetu. 1: kijiji kizima kulikuwa na duka moja la ushirika siku bidhaa ikiletwa wananchi wanajipanga mstari kupokea japo...
  10. Wosia kutoka kwa Babu yale aliyefundishwa na Wahenga juu ya maisha: Yale Mwanaume anatakiwa kujua

    "Wakati mwingine, wewe ndiye tatizo." Kuna baadhi ya kweli katika maisha ambazo ni ngumu kumeza—lakini kuyakwepa hakuyabadilishi. Yanauma, lakini yakikubaliwa, yanaweza kukuokoa. Ukitaka kuwa mwanaume wa kweli, si kwa umbo wala umri, bali kwa busara na uwezo wa kutambua makosa yako na...
  11. Mbaraka Mwinshehe matusi ya nini? Hapa alikuwa anamaanisha nini huyu mkongwe

    Nyimbo hii inanikosha mashairi yake yana kwenda kama hivi "Tulikuwa na Salum mpaka kaenda Ahera wala hatukutukanana, Aah, alipoingia yeye aliyoleta si miziki bali ni matusi, Mji wa Morogoro, ulisifika sana kwa mambo ya miziki na nyimbo zenye maana ooh, Aah, Amekuja mchafuzi wa jina la Moro Jazz...
  12. Wahenga hiki kisu cha kukunja kinakukumbusheni nini?

    Walikuwepo wazee wa jando na mifuko yao myeusi na bakora ya kutembelea .. Ndani ya huo hiyo mifuko ndio kulikuwa na zana za kazi🤣 Kwa waliokwisha pata jando ilikuwa ni kumbukumbu ya kutisha na kufurahisha pia.. Lakini kwa wale ambao walikuwa bado. Kuonekana kwa mzee mwenye huo mkoba ilikuwa ni...
  13. Kwa wale wahenga hizi kandambili mlikuwa mmezipa jina lipi?

    Wale wahenga! Hizi kandambili mlizipatia jina gani? Ebu leta experience yako!
  14. A

    Naomba kuwajua awa wazee wahenga majina yao ni wakina nani??

  15. Usikatae urithi wa asili kutoka kwa wahenga

    L Kila kitu kizuri nyuma yake kina ubaya Tunza hekima ya wahenga uliyorithishwa kusaidia watu nasio kuwaaumiza wengine Sheria ya uchawi inasema 👇👇 Fanya uwezavyo kwa kutumia uchawi ila usimdhuru mtu 🚶Tenda wema nenda zako 🚶 BRAZA CHOGO BICHWA KOMWE - Nikifa MkeWangu Asiolewe Tumwesige senior
  16. Raila Odinga wahenga waliposema kuwa Kikulacho ki Nguoni mwako na Adui yako ni Rafiki yako wala hawakukosea

    Cornelius K. Ronoh @itskipronoh It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship. GENTAMYCINE siongezi kitu wala sipunguzi kitu ila Raila Odinga Yeye ajue tu kuwa Waafrika UNAFIKI ni TUNU...
  17. Sauti ya wahenga inasema

    Sauti ya wahenga inasema ni bahati nzuri kutofagia nyumba ya zamani kabla ya kuondoka kuhamia nyumba mpya,kwani ukifanya ivyo yale mabalaa unayo pitia nyumba ya zamani unayaamishia nyumba mpya. Pia usihame katika Nyumba nyingine na ufagio wa zamani,hii unaamishia nuksi na matatizo Kwenye...
  18. Wahenga: Tukumbushane mtindo wa maisha ya zamani na zana zilizokuwa zinatumika

    habari. Jukwaa hili ni kwaajili ya kukumbushana maisha ya zamani, zana zilizotumika zamani michezo na masomo ya zamani na mengineyo yote ili vizazi vijavyo viweze kujifunza. Karibuni nyote.
  19. Wahenga

  20. Wahenga mpo

    Wahenga mpo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…