wahalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwakamata wahalifu 167 wa Panya Road wakiwemo wanaonunua mali za uhalifu

    Polisi inawashikilia watuhumiwa hao wa uhalifu ambao wamekutwa na TV 23, Redio 2, kompyuta 2, spika 2 na silaha za jadi kadhaa zinazotumika kufanya uhalifu. Pia magari matatu aina ya Toyota Carina na Toyota Noah mbili na pikipiki tano zimeshikiliwa zikidaiwa kutumika katika matukio ya kihalifu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Askari Police wa hapa Puerto Rico 'Wanavyoua' Wahalifu ili Kumridhisha Rais baada ya kutokea Tukio baya ambalo Wamelishindwa

    Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao. Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kama marehemu Lyatonga Mrema wakazi wa Dar wasingesumbuliwa na wahalifu kama panya road

    Alipokuwa waziri wa mambo ya ndani alitumia mbinu za kishushu kupambana na uhalifu wa kila namna. Alikuwa akitoa siku saba majambazi kusalimisha silaha na walisalimisha. Kura za siri zilitumika kufichua uhalifu wa wahalifu wa kila namna. Nashangaa huyu waziri wa sasa anaongea kama vile...
  4. Kelp B

    JamiiForums Tanzania Panya road 100 wakamatwa Temeke

    Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu Source: #EastAfricaRadio MY...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania IGP Poti Wambura nimeshatoa ONYO kwa Vijiwe vya Wahalifu kuwa wakiingia 18 zangu Majina yao yataanza kuitwa Marehemu

    Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao. Haiingii Akilini Polisi wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Wahalifu wavamia mtaa, wapora mali & fedha, wapiga watu mapanga

    WATU watano wamejeruhiwa huku mmoja akiwa mahututi baada ya kundi la vijana kuvamia mtaa wa Tagusako, Tabata jijini Dar es Salaam, kupora mali na fedha taslimu." Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, mashuhuda na viongozi wa mtaa huo, walisema vijana hao wakiwa na silaha za jadi...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Magereza mrekebishe tabia za wahalifu

    Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu. Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hispania: Wahalifu Wavamia nyumbani kwa Aubameyang, wampiga na kuiba vito

    Mshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa na wahalifu wenye silaha nyumbani kwake asubuhi ya leo Agosti 29, 2022 ikidaiwa pia wahalifu hao walimpiga mchezaji huyo. Taarifa za awali zinaeleza walikuwa wahalifu wanne wenye silaha za moto na nondo ambapo walifanikiwa kuondoka...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mamia ya Watoto Haiti wahifadhiwa shuleni kukwepa machafuko ya wahalifu

    Mamia ya Watoto Nchini Haiti wamehifadhiwa katika shule mbalimbali Jijini Port-au-Prince baada ya kutokea kwa machafuko ya mapigano ya wahalifu ndani ya mwezi huu Julai 2022. Wengi wa watoto wanalala kwenye madarasa na asilimia kubwa ya Watoto hao wametengana na wazazi wao. Vurugu hizo...
  10. Tryagain

    JamiiForums Tanzania Don K. “Mayaula Mayoni”, kiongozi wa Genge la wahalifu wa Pembejeo na bei ya korosho mikoa ya Kusini

    Serikali ifike mahali iondoe mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye korosho. Genge la walanguzi wa Don K. Mayaula Mayoni. Mayaula Mayoni Don K ni mwenyeji wa mikoa inayolima Korosho, alipaswa kuwa sauti yetu sisi wakulima wa korosho. Ambao hatuhitaji korosho nyingi ila tunahitaji soko bora la...
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania VIDEO: Wahalifu Kenya wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki

    Wahalifu sasa wanajifanya Maafisa wa Polisi wa Kaunti na kuiba pikipiki
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usikubali awamu ya 6 kudharaulika kupitia makundi ya wahalifu

    Nimecheka sanaa kusikia Makundi yafuatayo ya wahalifu hapa nchini mwetu yamepata ahueni ktk kipindi Chako cha uongozi na kukusifu mitandaoni Na kwenye vijiwe mitaani. Si hivyo tu bali mpaka kwenye baadhi ya watumishi wachache. Vyeti feki Madawa ya kulevya Majambazi Wahujumu uchumi wezi wa...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Bonyokwa atuhumiwa kuhifadhi wahalifu!

    Serikali ya Mtaa wa Bonyokwa iliyopo Kata ya Bonyokwa katika Manispaa ya Ilala anatuhumiwa kushirikiana na baadhi ya Polisi ambao sio waaminifu kutoka Kituo cha Polisi cha Stakshari kuwalinda wahalifu ambao wameendelea kufanya uhalifu Kwa wananchi wa Mtaa huo . Mwenyekiti ambaye anajulikana kwa...
  14. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Msaada: Zawadi kwa atakayeweza kuwatambua watu hawa pichani

    Pamoja na kwamba Picha za CCTV hazionyeshi vizuri na kwamba wamejifunika na kofta ila kama unawafahamu utawafahamu tu zawadi Nono itatolewa asanteni
  15. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  16. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Polisi yawataka madereva bodaboda Arusha kuwafichua wahalifu

    Mwandishi wetu, Madereva wanaojihusisha na biashara ya kupakia abiria kwa kutumia vyombo vya pikipiki maarufu kama bodaboda wilayani Arusha wametakiwa kuepuka kujihusisha na matukio mbalimbali ya uhalifu kama uporaji wa simu,pochi za wanawake na ubakaji ili kuepuka kuchafua taswira ya biashara...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kikundi cha wahalifu nchini Uingereza kinachojihusisha na wizi wa magari kwa kutumia kifaa cha michezo (game boy)

    Nchini Uingereza imeweza kuwa kamata wahalifu wanaojiusisha na wizi wa magari hasa yale magari yanayo tumia funguo za rimoti. vijana walio kamatwa ni Armer, 29, Bowes, 33, and Poulson, 31, baada ya kukutwa na gari aina ya Mitsubishi Outlander ambayo ilishakwisha tolewa ripoti ya kuibiwa usiku...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Ikitokea kila mhalifu akapata wakili mzuri wa utetezi, kuna uwezekano wahalifu wakawa wanapeta mitaani!?

    Ndugu wanabodi mimi sio mjuzi sana wa sheria, ila kwa ninavyosikia ni kwamba mtuhumiwa yeyote anao uhuru wa kutafuta mwanasheria au wakili wa kumtetea katika kesi inayomkabili. Ndipo swali langu linapokuja kwamba, kwa kuwa mambo ya haki hasa inayotolewa na mahakama hupatikana kutokana na...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Ningejua mapema ningesoma sosiolojia ili kusaidia jamii kuliko kusaidia wahalifu kama wale mawakili wasomi wanavyojinadi

    “I am a sociologist because. . . .” I am curious about the world in which I live I am fascinated by all things social I am intrigued about why people do the things they do I am interested in how people interact with each other I believe that society is a human invention and I want to know how...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania wanasa Malawi wakifuatilia wahalifu

    Polisi wa Wilaya ya Ileje Mkoani Mbeya wametandikwa na Raia wa Malawi baada ya kuingia nchi hiyo ya kigeni kwa lengo la kuwasaka wafanya magendo . Bado Haijafahamika walikopata utaratibu huo wa kuingia nchi ya watu kutafuta wahalifu huku Nchi ya Malawi ikiwa na Polisi wake , hata hivyo...
Back
Top Bottom