wageni

Wageni Airport (ICAO: FZNS) is an airport serving the city of Beni, in the North Kivu Province of the Democratic Republic of the Congo. The airport is in the northeast section of the city.

View More On Wikipedia.org
  1. Kozi ya kufundisha kiswahili kwa wageni

    TANGAZO ! Kozi ya kufundisha Kiswahili wageni Asasi ya swahilispeaking.co.tz (Dar es Salaam, Tanzania), inayojishughulisha na ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni inatarajia kutoa mafunzo mafupi kwa mtu anayependa kujua namna ya kufundisha wageni. Ni asasi binafsi ya KISWAHILI kwa WAGENI, ni...
  2. Tazama shangwe la Wakazi wa Handeni baada ya kupokea wageni

    Wakazi wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga wameonesha kufurahia ujio wa wageni waliohamiawilayani humo kutokea Ngorongoro. Pamoja na kutaja faida kadhaa wameeleza pia kuwa, ujio wao umeanza kukuza Mnada wa Nderema kwamba utakuwa ni moja ya mnada kubwa Afrika Mashariki. Tayari Serikali imeanza...
  3. TANAPA & Passport details za Wageni: Hakuna njia mbadala na rafiki ya mgeni kulipa bila kujaza maelezo binafsi?

    Kwenye mfumo wa kufanya malipo TANAPA (kwenye mbuga za wanyama) kumekuwa na maelekezo ya kujaza maelezo yote ya mgeni yaliyopo kwenye passport (Tarehe ya Kuzaliwa, jina kamili na passport number na utaifa) Kutokana na mabadiliko ya tecknolojia, mtu akipata hayo maelezo, anao uwezo wa ku-temper...
  4. Aise huo msururu wa wageni bungeni leo huna ndugu yako hata mmoja pole sana

    Nimeona huo msururu wa hao waandamizi kutoka taasisi mbalimbali. Hao wote wanakula kodi zetu aloo. Sasa nawaza wenzangu na mie ambao kati ya hao hamna hata ndugu mmoja hata wa mbalimbali mnajisikiaje eti. Angalau sisi ambao wamo ndugu zetu tunajifariji kuwa angalau Kodi yetu inaliwa na wanetu...
  5. Sasa wageni kununua dhamana za serikali

    Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu. Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds. Hii ni hatari kwa uchumi wetu. We are officially sold out.
  6. Kwanini hizi nyumba za wageni zilizopo nje ya mji, zinajaa haraka kuliko za mjini?

    Wiki iliyopita, niliamua kutoka nje ya mji kidogo kwenda kujipumzisha. Nilipofika huko, nikawa natafuta nyumba ya wageni iliyojificha, ili nipate utulivu wa kutafakari, maisha ya hapa duniani. Kuulizia nafasi, zimejaa; nikaenda nyingine tena kama tatu, zimejaa; daah, nikatamani nirudi mjini...
  7. Uongozi wa Simba SC nawarahisishieni Kazi Wachezaji Wageni wa Kuachwa wawe ni hawa wafuatao tu

    1. Chris Mugalu 2. Pascal Wawa 3. Meddie Kagere 4. Bernard Morrison 5. Saido Kanoute 6. Thadeo Lwanga Kwa Wazawa ninawaachieni Wenyewe.
  8. Changamoto za biashara ya nyumba ya wageni

    Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku. Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
  9. Hizi protokali za kila mtu kutaja wageni eti ni protokali nu ujinga na inachosha sana.

    Kila mtu anayeingia anatambua wageni. Mgeni mmoja anatambuliwa hata na wazungumzaji watano. Huu ni ujinga
  10. Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

    Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo. Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ? Hiki kilichofanyik ni kinyume...
  11. Wageni vs Wenyeji kutokuelewana

    Nimeletewa kisa ndugu wa mume katembelea hii family ila baada ya siku chache tu anawanunia wenyeji wake, lakini pia nimeshaona na kusikia pia sehemu tofautitofauti. Naomba mnisaidie hivi hii hali ya kutokuelewana kati ya wenyeji na wageni hivi inasababishwa na nini. a/Wewe umetembelea mahali...
  12. Watoto ni wageni katika ndoa yenu, hawana Mkataba na ninyi!

    WATOTO NI WAGENI KATIKA NDOA YENU; HAWANA MKATABA NA NINYI Ni Yule Mtibeli, Robert HERIEL. Hawakukuomba uwazae, hwakukuomba uwe Baba au mama Yao, hawakuomba lolote lile. Na kamwe hukujua Kama ungewazaa watoto wa namna hiyo, na hata wao hawakujua Kama wangezaliwa na mtu Kama wewe. Labda Kama...
  13. L

    Waislamu wenyeji na wageni nchini China wakaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Ramadhan ni mwezi wa Baraka kwa Waislamu wote duniani. Katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Waislamu wanafunga na kusali ili kuomba msamaha kwa Mungu wafutiwe dhambi zao. Kawaida kila mwislamu duniani anajiandaa mapema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Waislamu wa China nao...
  14. Ndugu zangu waislam dini yenu inasemaje kuhusu wageni mwezi wa Ramadhani?

    Niwatakie mfungo mwema. Nimesikia kwenye kipindi cha njiapanda leo huyo mdada alikaribishwa na mwenyeji wake huko dar, lakini juzi wakati mfungo unakaribia mwenyeji wake akamwambia aondoke maana mfungo unaanza! Sasa mwezi mtukufu na kutimua wageni inakaaje kaaje hii? Ukizingatia mgeni mwenyewe...
  15. Hakimu akamatwa akiwa na binti mdogo kwenye nyumba ya kulala wageni

    Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet. Kamanda wa Kaunti ya...
  16. Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

    KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki...
  17. Kabla hujakaribisha wageni nyumbani tathmini faida na hasara

    Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa. Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
  18. K

    Salamu kwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji, Passport za Tanzania zinakimbilia mikononi mwa wageni kupitia viongozi waandamizi na askari

    Tanzania imezungukwa na maadui wengi kuliko marafiki, Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na amani kama taifa letu. Ulinzi wa Tanzania upo mikononi mwetu Watanzania. Tusiposema hakuna atakayesema Kesho Wala Kesho kutwa. Nchi yetu imevamiwa Sana na wageni wanaotaka kuifanya nchi hii ni Mali Yao...
  19. B

    Uhuru Day: Tuliposahau Hadhira ilikuwa pia na Wageni Waalikwa

    Kupiga hatua ni pamoja na kujifunza kutokana na makosa. Kwa kuangalia tukio la jana, umuhimu wa kuwa na moderators (@mods) unaonekana wazi. Pana haja ya kuwaandaa moderators katika hadhira kutegemeana na wageni waalikwa. Kwa kweli kubeza majanga ya Nzige wakati waathirika wapo kulikuwa...
  20. Kelele za wadada nyumba za wageni zinaaibisha

    Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…