wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KERO CWT ni Chama cha wafanyakazi kisichopendwa na wadau wake. Wanalazimisha uanachama!

    Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania. Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo ukiwahoji muhitadha wao na chama watasema ni negative. Hawana mpango nacho na kwa.kuwa kuna mikono ya...
  2. B

    Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8 Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba. Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa...
  3. Biteko awataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati kuacha kufanya kazi kwa mazoea

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka watendaji Wizara ya Nishati, Tanesco na REA kuacha mazoea na kutatua kero za wananchi. Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi, Machi 14, 2024 wakati akizindua mradi wa umeme jua utakaozalisha megawati 150 katika Kijiji cha Ngunga...
  4. A

    DOKEZO HR wa Kampuni ya G 1 Security Group Limited, amshambulia mmoja ya Wafanyakazi wake baada ya kwenda kufuatilia Sitahiki zake

    Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wao katika nafasi ya supervisor aliyefahamika kwa jina KESI. Mfanyakazi huyo alifika...
  5. Jamani Mbeya hakuna mtu anayejua viwanda au kampuni ijayotafuta wafanyakazi

    Niko Mbeya jamani mimi ni kijana nauliza kama kuna Kiwanda chochote au kampuni yoyote inayotafuta wafanyakazi.kwa Maana nimezunguka mkia sehemu Lakini wapi
  6. L

    Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya

    Kwenye suala la bima tunaomba Wafanyakazi wa Umma tuwe huru kuchagua kampuni yoyote ya bima ya Afya Mimi naomba utaratibu ubadilike Ili Kila mtu awe huru kuchangia anapohitaji
  7. Ukweli mchungu: Vifurushi vipya vya NHIF vitaumiza wanachama zaidi ya kikokotoo kinavyoumiza wafanyakazi

    Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo. Kigezo kimoja tu kinachotumiwa kuwapinga AFTHA ni kukosa ubinadam....kwamba walipaswa kutoa notice ya siku...
  8. S

    Dotto Biteko aambiwe ukweli. Kuzuia likizo za wafanyakazi wa TANESCO ni ukiukwaji wa sheria, na hakuleti umeme

    Tatizo la umeme hapa nchini ni la kimfumo, siyo la mtu (waziri). Ndiyo maana mawaziri wengi wanateuliwa na kutenguliwa lkn tatizo liko pale pale. Waziri Biteko naye kama wenzake waliopita hana jipya. Namuona amejaa maneno mengi ya vitisho na manyangaso kwa wafanyakazi wa TANESCO lkn tatizo la...
  9. K

    Kwanini wafanyakazi wa wilaya wanapewa V8

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo hiyo haina ambulance za kutosha?! Wakati wangeweza kununua gari la kawaida na ambulance hata mbili!
  10. Nigeria yaanzisha tozo ya kila mwaka kwa wafanyakazi wa kigeni

    Nigeria imeanzisha ushuru wa lazima wa kila mwaka kwa mashirika yanayoajiri wafanyakazi kutoka nje, inayowahitaji kulipa $15,000 (£12,000) kwa watu wenye cheo cha mkurugenzi na $10,000 kwa vitengo vingine.. Hatua hiyo inakusudiwa kuhimiza makampuni ya kigeni kuajiri wafanyakazi zaidi wa...
  11. Je, CHADEMA wakiamdamana kwa Kikokotoo Uchwara, wafanyakazi mtaunga mkono?

    Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha. Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi. Kuna hili la hovyo kabisa kuhusu kikokotoo cha kitapeli cha Rais Samia na CCM. Hakuna mtu anakikubali, sasa sijui kilitokea...
  12. Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi(watingaji) kwenye kampuni za kigeni.

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (yappi, chico, cce, crsg au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reri, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.K .Tupeane changamoto,uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  13. Uzi maalumu kwa wafanyakazi wa miradi ya kikandarasi (watingaji) kwenye kampuni za kigeni

    Habarini wana jamvi huu uzi ni mahususi kwa watingaji wote iwe umeajiriwa (YAPPI, CHICO, CCE, CRSG au kampuni nyingine yoyote inayo simamia mradi wowote wa ujenzi iwe barabara, reli, uwanja wa ndege au bwawa la umeme n.k. Tupeane changamoto, uzoefu na connections haijalishi wewe ni engeneer...
  14. Ndalichako: Maboresho ya Sheria ya fidia kwa Wafanyakazi yaja

    Serikali imewahakikishia majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Kazi, kuwa inafanyia kazi maoni na mapendekezo yao kuhusu maboresho ya Sheria ya Fidia kwa Wafanyakazi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema hayo leo...
  15. Kuna nini TBC, mbona kila siku wafanyakazi wanaendelea kuipiga chini?

    Juzi juzi tu mtangazaji mwingine kaachia ngazi, na leo tena mwingine kaaga! Kuna nini kwenye ajira hii ya Serikali ambayo watu wengi wanaikimbilia ?
  16. Wafanyakazi wako wanakuibia? Jaribu mbinu niliyotumia wangu wakaacha

    Hellow. Kuibiwa na wafanyakazi ni moja ya changamoto tulizo nazo wafanyabiashara. Nimefunga CCTV camera ila mfumo nilioweka mimi umeme ukikatika camera hazifanyi kazi.Moja ya ofisi ina standby generetor ila nyingine zinategemea umeme wa tanesco tu. Nishawatisha sana hadi kulaza wengine selo...
  17. Halmashauri au manispaa hiyo miradi ya serikali ni yenu nyie watumishi

    katika watu wakuangiliwa wenye njaa na wenye uchu ni hawa watumishi wa sehemu hizi mbili halimashauri au manispaa. chochote kitakacho anzishwa kuwe na mradi mfano masoko,stendi,maeneo ya viwanja na n.k cha kwanza wanajimilikisha wao watumishi ndani ya mradi. usije shangaa masoko mengi makubwa ni...
  18. Israel itawalipa dola 1200 wafanyakazi wa mashambani

    Nchi ya Israel inawalipa dollar 1200 Wafanyakazi wa mashambani na ujenzi. Hii pesa ni nyingi sana kwa maisha ya Afrika. Baada ya miaka mitano maisha ya mtu yatakuwa yamebadilika Sana. Kama ni nyumba umejenga Lakini cha kujiuliza, ni kwanini nchi ndogo kama Israel inaweza kuajili watu wengi...
  19. Haji Manara atafuta wafanyakazi wa ndani wamsaidie Mke wake kupika

    Baada ya kumuoa mchumba wake Zailyssa, Haji Manara ameamua kumtafutia Mke wake huyo Vijakazi wa ndani ili wamsaidie kwenye majukumu ya nyumbani. Anaandika Haji Manara kwenye ukurasa wake wa Instagram, TANGAZO TANGAZO TANGAZO 🙌 NAFASI ZA AJIRA MPYA Kwa Sheria ya Dini yangu, Mila na Desturi za...
  20. Mara: Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING warejesha mgomo, walala ofisini wakisubiri mshahara

    Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo, Wilaya ya Butiama wamerejea kwenye mgomo na wakulala ofisini wakishinikiza Mwekezaji wa Mgosi kulipwa mshahara na malimbikizo, ikiwa ni wiki moja tu tangu walipositisha mgomo baada ya kuahidiwa kuwa watalipwa Januari 11, 2024...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…