wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza nia ya Rais Samia kusamehe wafanyabiashara kodi za nyuma?

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini Rais Samia aliamua kuwasamehe wafanyabiashara kodi za miaka ya nyuma, ambazo ni kodi halali kabisa wanazodaiwa na mamlaka ya kodi? Kumbuka mwezi June Rais Samia aliwaagiza TRA wasiwasumbue wafanyabiashara kwa kuwadai kodi za miaka ya nyuma isipokuwa za mwaka jana...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

    Huwa namshangaa sana kiongozi anayewashauri watu wajiajiri! Kujiajiri Tanzania inabidi kwanza ujitoe ufahamu kabla ya kupata faida! Ebu fikilia haya malipo ya serikali yalivyo hayana uhalisia! Unatafta wazo la biashara,mtaji na fursa lakini TRA hawanaga grace period kwa wafanyabiashara wadogo...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Azam Tv ni Funzo tosha kwa Wajasiliamali na Wafanyabiashara wanaotaka kuanzisha biashara

    Na Malle Hanzi _______ Mwanzoni mwa miaka ya kuanzia 2010 kuja 2020, Tanzania ilibadili mfumo wa urushaji wa matangazo ya vituo vya Luninga kutoka Analojia kwenda Dijitali. Sababu kuu ya kuhama kutoka Analojia na kwenda mfumo wa Dijitali ni upungufu wa masafa (frequency) uliotokea kuanzia...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

    Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo. Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana. Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Samia ni Rais wa wafanyabiashara

    Ukiona Rais wa nchi anatetea wakati wote wafanyabiashara ujue ni mfanyabiashara. Hivi katika nchi kama Tanzania unahitaji rais mfanyabiashara au mfanyakazi? Hivi nchi ya uchumi kama wa tanzania unahitaji kuwatetea wafanyabiashara au kuweka sheria kuwadhibiti? Juzi Rais kasema eti...
  6. JamiiForums Tanzania Safari za ATCL kwenda China ziwe neema kwa wafanyabiashara nchini

    Tanzania na China zimekuwa na mahusiano ya muda mrefu, toka enzi zile za kufuata misingi mikuu ya Ujamaa chini ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Baba wa Taifa la China Mao Ze Dong. Kwa miaka 61 sasa nchi hizi zimeendelea kushirikiana katika mambo kadhaa lakini zaidi ni namna asilimia kubwa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

    Tujadili kidogo. Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo. Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali, kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture) lakini hakutenda...
  8. JamiiForums Tanzania Badilisha mtazamo wangu kama si kweli : Wafanyabiashara wengi wanapofilisika hugeukia ujambazi, utapeli na kafara ili kupata mitaji.

    Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo. Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never ! Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameingia katika biashara na kuwadekeza wafanyabiashara. Nchi inakufa

    Ni vigumu kuamini lakini ndio ukweli kwamba rais wetu naye sasa ni mfanyabiashara mashuhuri nchini na anamiliki magari mengi ya usafirishaji. Sasa aamini nchi itaendelea kwa ushirika na wafanyabiashara. Haiwezekani! Wafanyabiashara wetu ni misheni tauni. Wapigaji wa serikali kama ilivyokuwa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, Rais Samia ameleta matumaini. Aliyepita aliwachukia wanasiasa, wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima

    Mpk sasa naweza kusema kuwa Rais Samia ana roho nzuri na ana nia njema na taifa hili. Mtangulizi wake alikuwa na mwelekeo wa kuwadidimiza (kuwafukarisha) wafanyabiashara. Alitamka hadharani kuwa matajiri wataishi kama mashetani. Ndipo akaanza kiwazushia tuhuma mbalimbali na kuanza kufunga...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa sasa utakapoweka ruzuku kwenye bei ya mafuta utakuwa umewapa zawadi wafanyabiashara, sio kuwapunguzia Watanzania makali ya maisha

    Kutokana na hali kali za maisha zinazotokana na kupanda kwa bei ya mafuta, juzi hapa mama Samia aliondoa tozo ya Shs 100 kwenye bei ya mafuta, na baada ya Bunge kuitaka serikali kuchukua hatua zaidi kutoa nafuu ya bei ya mafuta, Mama Samia alimuagiza January Makamba kutangaza ruzuku ya shilingi...
  12. JamiiForums Tanzania Ili kukomesha uhuni kwenye manunuzi ya umma tuwawajibishe/ blacklist wafanyabiashara waliohusika

    Wakati Waziri Mkuu anapoenda kuwawajibisha maafisa manunuzi waliopandisha bei za bidhaa za tiba asisahau kiini cha tatizo yaani wafanyabiashara walioonesha bei za bidhaa hizo kuwa juu. Mfano haematological blood analyser ya mil 7 kuuzwa kwa milioni 15!! hapa msumeno lazima ukate kotekote yaani...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Wadau naulizia benki au taasisi gani za fedha zinazotoa mikopo ya riba nafuu kwa wafanyabiashara wa kati na wajasiliamali

    Wadau naulizia taasisi gani au benki gani inayotoa mikopo ya riba nafuu kwa wajasiliamali au wafanyabiashara wa kati
  14. Q

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi: TCD ni Wafanyabiashara wa Demokrasia

    TCD ni wafanyabiashara wa demkorasia;kama wanaweza kuwarubuni Viongozi wa NCCR kwenda kwenye kikao wakijua chama kimeshatoa msimamo kutoshiriki maana yake wamewafanyisha biashara watu hao ili kutimiza malengo yao"Mwabukusi,Mwansheria wa chama
  15. JamiiForums Tanzania Tunashukuru Rais Samia unatujali Wafanyabiashara

    Umekuwa nasi bega kwa bega. Hakuna kipindi kama cha awamu ya tano ambacho sisi wafanyabiashara wakubwa tuliishi kwa wasiwasi na mashaka Hili la kuwajulisha watanzania kuwa vitu vitapanda bei limenipa faraja sana. Maana sasa waelewe kuwa vita vya Russia na Ukraine vinaiathiri dunia sana. Mafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Tuwatambue wafanyabiashara wakubwa wa mafuta nchini

    Toka mwaka 2011 tunahangaika sana na suala la nishati ,hivi ni wafanyabiashara gani wenye kuhodhi biashara hii Tanzania? Kama unawafahamu wataje humu jamvini. Rais Kikwete aliwahi kunukuliwa kuwa hawa jamaa huwa hawagusiki ukiwagusa tu unapata shida.
  17. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara fursa ya kupandisha vitu bei wameitumia vizuri. Naona wako fasta sana, kila kitu kimepanda

    Wafanyabiashara wetu kweli hamna huruma maana vitu vimepanda na mnashindana kupandisha bei kweli. Hata kama mafuta yamepanda ila mbona nauli za magari azijapanda? Na pia kuna bidhaa tu za humu ndani ambazo hata hazitoki nje nazo mmeoandisha maradufu. Ila sawa tu, tutaishi tu amtukomoi
  18. JamiiForums Tanzania DC wa Serengeti atoa siku 7 kwa wanasiasa waliowadanganya wafanyabiashara

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Dkt. Vicent Mashinji ametoa siku 7 kwa viongozi wa siasa waliowaambia wafanyabiashara warejee katika maeneo yao ya awali ya biashara na kuondoka katika maeneo yaliyotengwa, kwenda kukanusha kauli zao vinginevyo atawachukulia hatua kali za kisheria. “Niwaagize wote...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  20. JamiiForums Tanzania Kariakoo, Dar: Wafanyabiashara wadogo wanatozwa kati ya elfu 50 hadi laki 3 kama adhabu

    Baadhi ya viongozi wa Wafanyabiashara wadogo katika Soko la Kariakoo, Dar es Salaam, kwa kushirikiana na askari wa Jiji wanadaiwa kuwatesa na kuwanyanyasa Wafanyabiashara wadogo, na kuwatoza Wafanyabiashara hao faini kubwa kati ya Tshs 50,000/= hadi 300,000/= kama adhabu ya "makosa" mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…