wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TPSF, Bi. Angelina akizungumzia changamoto ya wafanyabiashara sekta binafsi

    WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie Sheria za...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Wamachinga Simu 2000 wamshukia Albert Chalamila, wasema kauli kuwa machinga wanatakiwa kustaafu miaka mitatu ilhali wanasiasa hawastaafu inashangaza

    Kamati ya maboresho ya Soko la Simu 2000 chini ya mwenyekiti wake pamoja na wafanyabiashara na wadau wa stendi wa Simu 2000 wameongea na waandishi wa habari leo Julai 17, 2024 kuhusu yaliyojiri tangu kumaliza kikao chao na mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila. Mosi, mwenyekiti amesema wafanyabiashara...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa nguo za mitumba wagundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu

    Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini. Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Byabato, Nape waibukia soko la Kashai usiku, wazungumza na wafanyabiashara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato wametinga katika Soko la Kashai mjini Bukoba, usiku wa Julai na kushiriki kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  6. aBuwash

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyabiashara wenzangu, mliwezaje kudeal na mpinzani wako ambaye kakuzidi kila kitu!

    Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka hapa jijini Dar es Salaam. Sio mgeni katika kufanya biashara ila naweza sema ni mgeni katika kufanya biashara ya kwangu. Kwa sababu hapo awalii nilikuwa nafanya biashara za watu tuu. Na sikujua kama biashara zina changamoto hivi hasa ukiwa wewe ndio mwenye...
  7. elimsihi

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Karikakoo watoa msaada Wa milioni 8 Gongolamboto

    Kikundi cha wafanyabiashara wanawake wa Karikakoo kinachojulikana kama Matumaini Mapya, kimekabidhi msaada wa viti 120 vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 8 katika kanisa la kipentekoste la Elbethel. Tukio hilo lilifanyika siku ya 7/7/2024 kanisani hapo Moshi Bar, Gongolamboto kwenye ibada ya...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania DC Ilala awatuliza wafanyabiashara Kariakoo, kukutana na Chalamila kesho

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewatuliza wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo, walioandamana hadi ofisi ndogo za CCM Lumumba. Amewaahidi kesho Julai 12, 2024 watakutana na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kujadili...
  9. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania KWENU CHADEMA; Yule Mwenyekiti wa Wafanyabiashara pale SIMU2000 anafaa kuwa M/KITI badala ya Pambalu

    Wakuu kwema!??? Ndani ya week hii kumeibuka jambo moja la kupigiwa mfano na Watanzania wote wanaopenda mabadiliko. Kuna kijana Machachari sana anaitwa anaitwa Mussa Ndile(Kama sijakosea) nimepitia background yake jamaa ana profile kubwa kidogo sio kitoto ,yeye ndie master mind wa ule mgomo...
  10. OR TAMISEMI

    JamiiForums Tanzania Orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo yatolewa

    Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa hii inapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais –TAMISEMI www.tamisemi.go.tz...
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: wafanyabiashara waliofumwa sokoni wakiwa wamenasiana Mwanaume amlipa mwenye mke million 3 kunasuliwa

    Kwa wiki nzima imetokea hali ya taharuki katika jiji la Arusha liliwaacha watu midomo wazi ,Baada ya Mwanaume mmoja kufumwa akiwa amenasiana na mke watu wakiwa wanafanya mapenzi alfajiri katika soko kubwa la vyakula la kilombero lililopo katikati ya jiji. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa Dola badala ya shilingi linawapa shida Wafanyabiashara

    Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000 zinaandaliwa kwa mfumo wa dollar. Ukienda benki kulipa wanadai hawalipii mpaka uwe na dollar...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
  14. Replica

    JamiiForums Tanzania Masanja Mkandamizaji ashangazwa na Serikali kupunguza faini EFD, adai ni kuruhusu wafanyabiashara kufanya makosa

    Pastor Masanja akiwa kwenye kipindi kwenye redio ya EFM ameipongeza TRA kuongeza makusanyo kwa 14.5% kufikia trilioni 27.64 kwa mwaka wa fedha 2023/24 lakini amesikitishwa na uamuzi wa Serikali kupunguza faini ya kutotoa risiti ya EFD kwa wafanyabiashara kutoka milioni 15 mpaka milioni 4...
  15. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Kauli ya mkuu wa mkoa Chalamila, kwenye mgomo wa wafanyabiashara ilimrudishia Yusuf Manji maumivu makubwa sana

    Juzi wakati wa mgomo wa wafanyabiashara mkuu wa mkoa wa dar es salaam ambayo ilizua maswali mengi sana kama tutawashughulikia kama serekali ilivyomshughulikia manji ni kauli ya hovyo sana kutolewa na mtu kama yeye Nauhakika manji alivyosikia ile kauli ni kama iliyonesha kidonda ambacho kilikua...
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kumbe mgomo wa wafanyabiashara umefika mpaka Katoro!

    Nilifikiri utaishia Dar Es Salaam na Mwanza. Lakini imekuwa tofauti na nilivyofikiri. Nikiwa natokea mkoa fulani, leo saa nne Asubuhi, nimepitia Kariakoo Katoro mkoani Geita kwa lengo la kununua vifaa fulani. Sijafanikiwa. Maduka yote yamefungwa. Hiyo ni wazi kuwa nao wamegoma. Hali haipaswi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wafanyabiashara wakigoma, kwa nini wafanyakazi nao wasigomee mishahara midogo? Serikali haiongezi mishahara kwa kiburi.

    Hebu mjitafakari hasa walimu na watumishi wengine. Tgs A ni shilingi za kitanzania 330000 kwa njinsi maisha yalivyo magumu. Hii pesa mtu unaweza kutoboa kweli? Sukari bei juu, kodi ya pango juu, alafu mei mosi inapita patupu bila nyongeza ya mshahara. Wafanyabiashara wamegoma na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wamekimbilia Mwenge, Tandika na Mbagala, wameona hali ngumu

    Huku Tandika, ukienda Mbagala rangi 3, ukienda Mwenge, ukienda Kinondoni biashara zinakwenda kama kawaida, wale waliogoma Kariakoo na kuwashawishi wa mikoani nao wagoner wanazuga tu, hakyamungu had j3 watarudi wenyewe. Biashara Tandika na Mwenge zinafanyika kwa kasi kubwa sana, tena wanaombea...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali na wafanyabiashara mmekubaliana nini kuhusu bidhaa 8?

    Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo wafanyabiashara wamekubaliana na serikali ziwe na bei elekezi. Hizo bidhaa ni zipi na serikali wamekubaliana...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo ni wakwepa kodi, wasichekewe.

    Wengi wao hawataki katakata kutoa risiti halali kwa malipo halali. Unanunua bidhaa kwa bei kubwa wanakupa risiti yenye malipo pungufu. Ukikataa wanakwambia rudisha mali. Fukuza wote wenye tabia hii hata kama awe nani.
Back
Top Bottom