wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ifanye utaratibu wa kupunguza Kodi na Ushuru kutusaidia Wafanyabiashara wa Pemba

    Asilimia kubwa ya sisi Wafanyabiashara Kisiwani Pemba tunapata wakati mgumu kuhusu suala la kodi na ushuru mkubwa tunaotozwa katika Bandari ya Unguja pamoja na Bandari ya Pemba Hali hiyo imekuwa ikisababisha baadhi ya bidhaa kupanda bei tofauti na uhalisia kwa kuwa tunalazimika kufanya hivyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Battle kati ya wafanyakazi na wafanyabiashara Kwa awamu zote sita

    👉Kwa mujibu ya awamu ya kwanza naomba mnipe majibu Hali ilikuwa vipi kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi watu wa enzi za ujamaa mtuambie 👉Awamu ya pili wafanyabiashara walikua juu kutokana na Ile sera ya "soko huria" mambo kadhaa wa kadha yalikuwa ni ruksa kwa wafanyakazi hali ilikua ngumu...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wamekaa eneo la ajali Kariakoo wakiamini kwamba wanaweza "kuokota" Mauzo ya wafanyabiashara waliokuwa jengoni

    Haya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti. Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha inabaki hewani tu
  4. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nakupa chimbo la sendols za kiume, kwa wafanyabiashara tu

    Nawasalim kwa jina la jmt Kuna watu wanafanya biashara ya hivi viatu, mikoani, daresalaam, visiwani. Hivi viatu unavipata kwa mchina flani hivi anapatikana Narun'gombe na na Msimbazi pale hoteli ya Hong Kong. Bei zake ni za Katoni (24 pieces) na mizigo yake haikai sana. Kalaga baho.
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwachekee wafanyabiashara wa Kariakoo wanaovunja sheria kwa tamaa zao

    Kila kitu kwa sasa kipo uchi baada ya jengo kuanguka. Huu uhuni wa wafanyabiashara wengi wa Kkoo unastahili kudhibitiwa kisheria bila kuwaonea huruma. Hizi underground floors zimeibuka sana miaka ya karibuni kumbe ni uhuni wa watu wenye tamaa wasioridhika na vipato yao. Ninatia wito kwa...
  6. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Jinsi 'Made in China' ilivyowapoteza wafanyabiashara wengi Tanzania na Afrika

    Hebu tuchambue vipi "MADE IN CHINA" imeleta taharuki na dhana potofu hadi watu wanahangaika bila sababu na kupoteza pesa Nyingi. 🤔 1. Mfano mzuri ni ving’amuzi vya Azam TV! Ving’amuzi vya Azam vina lebo ya “Made in China,” lakini ukifika China hutavikuta madukani hata ukahangaika vipi, na...
  7. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Zimbabwe watafuta fursa katika maonesho ya CIIE Shanghai

    Mdau wa biashara wa Zimbabwe amesema Maonesho ya kimataifa ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE yametoa jukwaa kwa kufungua fursa za kibiashara kwa sekta ya bidhaa za sanaa ya Zimbabwe. Maonesho hayo yaliyofanyika huko Shanghai, mashariki mwa China kuanzia Novemba 5 hadi 10, ni moja...
  8. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Kariakoo wameiomba serikali iwaondoe raia kigeni (Wachina) wanaofanya umachinga

    Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa wakisimama nje ya maduka na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Biashara mavyuoni zikifundishwa na wafanyabiashara, vijana/wahitimu hawatolalamika suala la kujiajiri?

    Nimekutana na discussion moja msomi mmoja anasema jamaa yake Ana masters in business Adminstration na Anakuomba amtufatie kazi jamaa akamuuliza mbona si utumie hiyo masters ku-develop ideas na kufanya "innovation mkuu" Jamaa ame-condemn na kutupia mzigo wa lawama moja kwa moja walimu wa...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waliopo Barabara ya Mpanda Hotel - Kigoma watengewe eneo la biashara, walipo sio salama kwao

    Sisi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi tunaomba uongozi wetu wa Manispaa uchukue hatua za haraka kuwaondoa wajasiriamali wanaoweka bidhaa pembezoni mwa Barabara ya Mpanda Hotel kwenda Kigoma kwa kuwa ni hatari kwa usalama wao na wale wanaotumia Vyombo vya Moto Wananchi wa hapa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kundi kubwa la watanzania wanao ishi maisha standard ya uhakika ni waajiriwa, wafanyabiashara wengi hali ni mbaya

    N:B: Waajiriwa wa serikalini Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
  12. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbeya: Wafanyakazi wa Dampo la Nsalaga wageuka wafanyabiashara wa bidhaa zinazotupwa hapo

    Zoezi la kujiandikisha limeishia Sasa ni mwendo wa kuhakiki taarifa zako kama ziko sawa. Leo ndugu zangu nimekuja na jambo hili kutoka Kwa hawa watumishi wa Dampo kuu Jiji la Mbeya lililopo kata ya Nsalaga. Hawa watumishi wamekuwa siyo waadirifu kabisa katika majukumu Yao,wanakoelekea watakuja...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Telack Awakaribisha Wafanyabiashara Kushiriki Ufunguzi wa Gulio la Bidhaa za Usindikaji

    RC TELACK AWAKARIBISHA WAFANYABIASHARA KUSHIRIKI UFUNGUZI WA GULIO LA BIDHAA ZA USINDIKAJI. Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amewataka wafanyabiashara na wajasiliamali Mkoani Lindi kujitokeza kwa wingi kushiriki Ufunguzi wa Gulio la bidhaa za Usindikaji na Ushonaji linalotarajia...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Soko la Bwawani Kinondoni lililogharimu Sh Bilioni 1 linaelekea kuwa makumbusho, lipo hoi hakuna Wafanyabiashara

    Licha ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam kubainisha wazi tija ambazo zinatokana na uwepo wa Soko la Bwawani, lakini katika hali ya kusikitisha soko hilo limeanza kuwa makumbusho hata kabla ya miaka 5. Kwenye soko hilo maeneo ya biashara ni matupu hakuna...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mashine za EFD ziuzwe bei kubwa na kwanini wafanyabiashara wasikopeshwe na TRA kwa kulipa kidogokidogo?

    Habarini, Ni ngumu sana kwa waganyabiashara wadogo kununua EFD mashine kwa bei ya zaidi ya 500,000 ambapo ikiuzwa 100,000 ni wazi TRA watakusanya kodi nyingi kwani watumiaji wa mashine hizo wataongezeka zaidi. Pia bado TRA wanaweza kuwakopesha wafanyabiasha mashine hizo na kuwakata taratibu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Maofisa wadai service levy tax Kariakoo acheni jeuri na kiburi, wafanyabiashara ni uti wa mgongo wa Kariakoo

    Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati, Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe...
  17. Izy_Name

    JamiiForums Tanzania Misafara ya Viongozi wakati huu ni kama misafara ya wafanyabiashara binafsi

    Nikikumbuka miaka ya nyuma kuanzia kwa Kikwete na Magufuli hali ni tofauti na sasa. Watu hawana tena shahuku ya kujipanga barabarani kushuhudia msafara kama enzi zilizo pita hapo nyuma kidogo kwa sasa Rais anapita lakini ni kama kapita Alikiba tu ingawa hawakosekani raia wa kushangaa barabarani...
  18. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Mbeya aamkeni

    Mhadhara - 38: Baada ya kumaliza matembezi yangu kwa takribani wiki mbili kule jijini Mbeya. Leo nimefika Dar es salaam hivyo naomba niwashauri wafanyabiashara (wawekezaji) wakubwa wa kule Mbeya. Wafanyabiashara wa Mbeya aamkeni;- Mfanyabiashara wa Mbeya anafanya uwekezaji wa zaidi ya shilingi...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TRA kusanyeni kodi toka kwa wafanyabiashara wa ndani ya treni ya SGR

    Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Soko la Ndugai lililojengwa Dodoma kwa mabilioni na kuzinduliwa kwa mbwembwe limetelekezwa na wafanyabiashara

    Ilianza Stendi ya Dodoma na Sasa ni Soko la Ndugai limegeuka kuwa makazi ya popo baada ya wafanyabiashara kulitelekeza Kwa sababu hakuna biashara eneo lilopojengwa. Nawakumbisha tuu huu nimuendelezp wa miradi hasara ambayo ilijengwa na kuasisiwa Kwa kukurupuka.mfani masoko Hadi stendi za...
Back
Top Bottom