wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

    Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RC wa Dar Chalamila vitisho vyako vya Siku Mbili Tatu kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo vimesaidia nini kama bado Wanagoma na hakuna Suluhisho?

    Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam waliogoma kufungua maduka tangu juzi, Juni 24,2024 wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kutoa tamko. Wametoa maombi hayo leo Jumatano Juni 26, 2024 baada ya kufanya kikao na mwenyekiti wao na kuonekana kutoridhishwa na tamko...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hii migomo ya wafanyabiashara: Makamu wa Rais awe tu Rais wa mpito asimamie uchaguzi mwingine

    Rais ni cheo kikubwa sana yenye madaraka makubwa sana mwenye kupata hiyo nafasi lazima aihenyee ndio atakuwa na wivu na hiyo nafasi. Siyo kupewa tu na katiba. Migomo hii ni udhaifu wa Rais wa sasa, Rais anachezewa na wahalifu wakwepa kodi. Mpaka leo hajatoa kauli kisa "chura kiziwi", ndio...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wagoma majiji ya Arusha na Mwanza

    Wenye akili tulitegemea baada ya Kariakoo nyumbu watafuata mkumbo. Kawaida hakuna mfanyabiashara anapenda kulipa kodi kwa hiyari ni sheria tu inambana. Baada ya serikali kuimarisha mifumo ili kuwabana wameamua kugoma. Mm huwa hainiigii akilini mtu kugomea shughuli zake, anamgimea nani, na je...
  5. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanya biashara ni wa kipuuzi kuwahi kutokea! Wao inawahusu nini mlaji akipandishiwa bei bidhaa? Wao ni wapeleka kodi tu anayelipa ni mlaji

    Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi litokanazo na bidhaa, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya biashara! Kwa upande mwingine, maandamano ya majirani zetu, ni sahihi na siyo haya ya wafanyabiashara wa...
  6. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara wahamia Katoro,Geita.

    Mgomo wa wafanyabiashara ulioanzia ,Kariakoo Dar ,leo wafanyabiashara wa Katoro Geita wameunga mkono ambapo maduka yote hasa ya soko la Kariakoo la jumla Katoro Geita yamefungwa yote ,hakuna huduma yoyote ,ni muda wa viongozi Sasa kujitathmini ,maana japo watanzania tunasifika kwa woga Ila...
  7. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mashine za EFD Zitolewe BURE kwa Wafanyabiashara Ili Iongeze Wigo wa Walipa Kodi

    Utangulizi Kwa mujibu wa Powercomputers Telecommunication Ltd, ''Electronic Fiscal Device (EFD)'', ni mashine iliyoundwa kwa ajili ya matumizi ya biashara ili kudhibiti ubora wa usimamizi katika maeneo ya uchambuzi wa mauzo na mfumo wa udhibiti wa bidhaa na ambayo inakidhi mahitaji...
  8. Janeth Thomson Mwambije

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara nchini

    Ndugu Zangu Wafanyabiashara. Nafahamu Maumivu Yenu. Hakuna Anayefungua Biashara Ili Afunge. Hakuna Anayepambana Ili Afeli. Hakuna Anayejitahidi Kupiga Hatua Ili Arudi Nyuma. Hata Sasa Naamini Mmejitoa Sadaka Kuonesha Hisia Zenu Za Maumivu Na Siyo Kwamba Mmetosheka Na Utafutaji. Maumivu Yenu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Migomo Kariakoo: Serikali kuendelea kulea utamaduni wa kulinda wahalifu utakutokea puani

    Ni mara ya 2 wanaoitwa wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ndani ya muda mfupi. Baada ya ule mgomo wao wa kwanza tukaanza kuona migomo Iringa, Mwanza na maeneo mengine. Migomo yote ni wafanyabiashara kukataa maelekezo halali ya serikali ikiwa pamoja na kutotaka mfumo wa wazi unaobana wizi na...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wetu, mama Samia, ingilia kati mgogoro wa wafanyabiashara, watakuelewa wewe zaidi kuliko yeyote yule kwa sasa.

    Ombi kwa Rais wangu mpendwa mama Samia, nakuomba uongee na wafanyabiashara wa kariakoo kwa kuita viongozi wao wachache katika timu yao ya Uongozi, maana nadhani wamezingukana katika kutoa kauli, nakuomba Waite kesho Jumatano saa 4,asb, ongea nao kwa kifupi mno, na watakuelewa zaidi ya yeyote...
  11. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Kariakoo ungekuwa umefanywa na wamachinga Serikali ingeogopa, ila wafanyabiashara wenye maduka hawaitishi

    Habari wadau, Ukweli mchungu ni kwamba wauza maduka Kariakoo mgomo wao hauna nguvu na wala serikali haiwaogopi sababu hawatishi. Machinga ndio wanatisha maana ni jeshi kubwa. Kuna wakuu wa mikoa kibao walijaribu kutaka kuwaondoa wamachinga wakajikuta wamepoteza vyeo vyao. Wamachinga...
  12. hp4510

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na wafanyabiashara wa Kariakoo, wasikupe presha!

    Mheshimiwa Rais najua ww ni Member wa JF Me naona nimeseme neno moja tu Achana kabisa na wafanyabiashara wa kariakoo, waache wagomeeeee mpaka Yesu akirudi Serikali ishasema inashughulikia Jambo Lao na bado wamegoma kufungua maduka sasa unahangaika nao wa kazi gani? Kuwadekeza hawa kutaibua...
  13. sitagliptin

    JamiiForums Tanzania Update yanayojiri mgomo wa wafanyabiashara tanzania

    Wanajukwaa habari, Naomba tupeane taarifa za maneo yetu ambayo tayar mgomo umechukua sura mpya Tukiangazia dar Leo siku ya pili Huku mwanza nao wakianza leo Mbeya wao wametisha zaid kwan baadhi yao wameamua kucheza mpira mbele ya maduka yao Vipi hari ya mtaani kwako?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwabembeleze wafanyabiashara Kariakoo waacheni watafungua wenyewe

    Sawa nakubali Kariakoo ndio kitovu cha uchumi nchini, biashara zote nchini watu wanafungashia Kariakoo, mapato ya nchi kwa kiasi kikubwa yako kariakoo, nafahamu pia athari za kiuchumi endapo biashara zitafungwa pale kariakoo, lakini kwanini serikali iendelee kulea wapuuzi wanaokwepa kulipa kodi...
  15. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wafanya Biashara Mwanza

    Kuna Mgomo wa Wafanya Biashara unaendelea Mwanza sasa hivi, Mliopo Mwanza toeni update nini kinaendelea. Video nimeweka hapa Chini. ************************************************************************************************************ Update Kutoka Mwananchi Digital Siku moja baada ya...
  16. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wafanyabiashara Arusha

    Wasalaam Nimepanga kufika Arusha mjini kufuata manunuzi kadhaa lakini nimejulishwa na machinga mmoja ivi kua maduka yamefungwa kwasababu ya mgomo wa wafanyabiashara. Mlioko Arusha mjini tujuzeni, kuna mgomo? Nisije kuchoma nauli alaf nikose mzigo
  17. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Wanachotaka wafanyabiashara kwenye mgomo ulioanza leo tarehe Juni 24, 2024 Kariakoo na nchi nzima

    1. Kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao zaidi ya 10 na mamlaka ya mapato TRA ,hawakupata majibu. 2.kabla ya mgomo Wafanyabiashara wamekaa vikao na serikali kupitia Mkuu wa wilaya ya Ilala wakiomba Waziri wa fedha afike kuwa sikiliza lakini Waziri wa fedha hakuwahi kwenda. 3.Mkuu wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam umenikosha sana leo sakata la wafanyabiashara Kariakoo

    Umeongea kwa mamlaka dhidi ya wafanyabiashara, na umenikuna sana kiongozi. Umeonyesha ujasiri mkubwa kwa wananchi unaowaongoza Dar es Salaam. Umenigusa sana pale uliposema kama nchi inapeleka jeshi kupigana Congo, vipi ishindwe kulinda Kariakoo. Dawa yao hao wafanyabiashara wanaotumwa na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Sensa (needs assessment) ya wafanyabiashara Kariakoo inahitajika

    Ili kuepusha migomo kujirudia inahitajika elimu kubwa hapo kariakoo, taarifa zifuatazo zitasaidia kutengeneza maudhui ya kozi husika, 1. Majina kamili (kama yanavyoonekana kwenye NIDA), 2.TIN (anwani ya biashara ilipo), 3. Kiwango cha juu kabisa cha elimu, cha wafanyabiashara. 4. Mahojiano...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024

    Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa. Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024...
Back
Top Bottom