Kwani wameshinda?Leo kusema ukweli wachezaji wametufurahisha sana japo mimi ni Yanga. Penye ukweli lazima tuseme ukweli. Hongereni sana wana Simba.
Ukiona shabiki wa Yanga anafurahia ushindi wa Simba jua yuko karibu kuhamia Simba,km waleeee! mashabiki maandazi wakiongozwa na Dr. Kumbuka na B-dozenLeo kusema ukweli wachezaji wametufurahisha sana japo mimi ni Yanga. Penye ukweli lazima tuseme ukweli. Hongereni sana wana Simba.
Mugalu kanikera Sana, Bocco kaonyesha uwezo kuliko MugaluMugalu amewa_cost,hakuna striker paleView attachment 1794127
kabisaMorrison katunyima nusu fainali, game ilishaisha kipindi cha kwanza
Morrison au Boko na Mugalu?Morrison katunyima nusu fainali, game ilishaisha kipindi cha kwanza
Hii combination imeleta matokea chanya tena ya uhakika.Nmeipenda Sana combination ya Morrison,miqson, chama na Bocco.
Mugalu angeanzia sabu