Kocha Erik ten Hag ameamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wake wa Manchester United mara baada ya timu hiyo kufungwa magoli 4-0 dhidi Brentford katika Premier League.
Licha ya kuwa watakuwa na siku nane kabla ya mchezo ujao dhidi ya Liverpool, Ten Hag amefuta mapumziko na wamekutana ili...
Kuna anaejua idadi ya wachezaji kutoka nje wanaocheza Tanzania kwa sasa hasa ligi kuu?..
Tunaweza weka list kujua ni nchi ngapi zina wachezaji ligi yetu..
Nigeria ..
Ghana
Ivory coast
Senegal
Kenya.
Zimbabwe
Zambia .
Rwanda
Burundi...
Mali..
Anaeweza jua kila hizi nchi zina wachezaji wangapi...
Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga.
Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona.
Kama Mo alitoa pesa pesa zikowapi si zitumike kuleta wachezaji?
Shida ya Simba ipo kwa Mo sio kwa Kakolanya, Matola...
Mshindi wa tuzo ya Ballon d'Or kwa mwaka 2021, Lionel Messi hajatajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo kwa mwaka huu
Tangu mwaka 2005, Messi amekuwa akitajwa kwenye orodha ya Wachezaji 30 wanaowania tuzo hiyo, akiwa ameshinda tuzo hiyo mara saba katika kipindi hicho
Mpinzani...
Bodi ya ligi Leo tarehe 12/8/2022 imefanya marekebisho ya kanuni ambayo ilikuwa inazitaka club za ligi kuu kutumia wachezaji nane wa kigeni kwenye mechi moja,
Ivyo kuanzia Sasa wachezaji 11 wa kigeni wataruhusiwa kuanza kwenye mechi moja.
Wachezaji wazawa wapambane la sivyo wataishia kusugua...
Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo.
Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza.
Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
Ni siku ya mwananchi ni Yanga SC vs Viperz ya Uganda, ambapo Viperz kuna wachezaji wa 2 ambao simba imewanyakua yaani Manzoki na Bobosi.
Yanga hawaku changa karata zao vizuri ktk hili, ni wazi Manzoki anaweza akaambiwa na mwajiri wake mpya (Simba SC) acheze kiwango cha chini ili asipate...
Kutokana na GENTAMYCINE kutokuwa na Imani kabisa na Watu kama CEO Barbara Gonzalez, Mwenyekiti wa Wanachama Murtaza Mangungu, Mratibu Abbas, Kocha Msaidizi Matola, Meneja Rweymamu, Mjumbe wa Bodi Mulamu Ng"ambi na Wachezaji akina Mkude, Kipa Manula, Beki Kapombe na Kiungo Chama naomba kabla ya...
Na kuna Fowadi Mmoja tegemeo Kachukia kweli kweli anasema bora aruhusiwe tu aje Simba SC au aende zake Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
Si mnajifanya Kuficha? Nimeshaipata.
Kwenda Preseason nje ya Nchi na wachezaji ambao utawaacha sio weledi bali ni kuchelewesha wachezaji ambao wataachwa kutafuta timu na kuwadhalilisha pia.
Kocha mpya Kukaa na mchezaji kwa siku 15 kunamsadiaje kuamua hatima ya maisha ya mchezaji kwenye timu?
Mimi naanza na Andriy Shevchenko kutoka Ac Milan kwenda Chelsea. Ulikuwa usajili wa aina yake lakini Sheva akaishia kufeli zake Chelsea.
Endelea na wewe, unakumbuka usajili upi?
Hili ni angalizo.
Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga.
Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili.
Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza slomo.
Usajili uliofanywa na Simba kwa Augustine Okra na Phiri ikiwemo anayetajwa kusajiliwa Okwa ni...
Utopolo hawakwishi vituko na vimbwanga ...
Wanatambulisha wachezaji saa za usiku kama majizi, mara wametuletea akina Joyce ila bado wanapaswa kujua wanaanzia prelimimary stage huko kuna rivers UTD, Jowaning Galaxy, Plateau UTD watawababua mtafukuzana msimu huu
Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22.
Mosse Phiri 13 goal
Habibu Kyombo 6 goal
Young Africa.
Kambole 0 goal.
Bernard Morson 3 goal
Gael Birigmana 0 goal
Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao.
Iwapo watapatikana na hatia katika uchunguzi wa ana kwa ana unaofanyika Julai 4-8 ambapo wametakiwa kuambatana na marais wa vilabu...
Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.