SIMBA VS DAR CITY wachezaji wa simba wamechangamka kuliko mechi ya KAGERA

mwilawi

Senior Member
Oct 13, 2013
135
89
Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs Dar City wachezaji wa Simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya Kagera.

Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha mkuu Pablo alikiwepo.

Kwa sababu leo siku ya mechi na Dar City ambapo hakuwepo kocha mkuu wachezaj walikuwa Wamechangamka sana.
 
Kwenye mechi ya leo kombe la azam simba vs dar city wachezaji wa simba wameonekana kuchangamka sana kuliko siku ya mechi ya kagera.
Swali:Je kuna tatizo kati ya kocha mkuu na wachezaji au kocha mkuu na kocha msaidi Matola na ilipelekea kuwa na molari kidogo siku ya mechi na kagera ambapo kocha mkuu Pablo alikiwepo. Kwa sababu leo siku ya mechi na dar city ambapo hakuwepo kocha mkuu wachezaj walikuwa Wamechangamka sana.
Iyo siyo habari mkuu, ni sawa na kumuweka paka na panya alafu unasubili nani ataonewa
 
Minamashaka makubwa kwa kocha Pablo.

Tusubiri Matola atafanya nini kwenye mechi zake tatu zinazofuata tuone, kama timu itafanya vema basi tatizo litakua kwa kocha Pablo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_20220131-082148_Instagram.jpg

Mmeupiga mwingi sana Pablo kutoka Madrid yupo vizuri mpeni mda.
 
Wachangiaji wengi hapa naona hawakunielewa mimi sikumaanisha ishu za viwango vya simba ila nilimaanisha wachezaji kuwa na molari mdogo kwenye game hasa game ya kagera . Yaani upambaniaji wa kupata matokeo na viwango ni tofauti. Binafis siwez kulaumu sana game na mtibwa maana niliona wachezaji walipambana sana ila ikaw tofauti si ya game na kagera lakini mechi na dar city nikaona wana molari sana . Sasa kwa nin wawe na molari wakati kocha mkuu ambapo hayupo (kocha mkuu alisimamishwa na bodi ya ligi kwa mechia tatu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom