wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Execute

    JamiiForums Tanzania Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

    Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo. Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna taarifa Qatar waliwahonga wachezaji 8 wa Ecuador mabilioni ya pesa!

    Nimesoma mahali kwamba Qatar iliwahonga wachezaji 8 wa ecuador mabilion ya pesa ili washinde mechi yao ya ufunguzi. Inasemekana huo mchezo ulishtukiwa na mashushu na wachezaji hao 8 hawatacheza mechi ya leo!
  3. Execute

    JamiiForums Tanzania Olivier Giroud anaenda kuwa mfungaji bora wa jumla wa Ufaransa kupitia Kombe la Dunia 2022

    Jamaa kashamzidi Michael Platini, David Trezeguet na Zinedine Zidane kwa idadi ya magoli kwenye Timu yaTtaifa ya Ufaransa. Amebakisha magoli mawili kuifikia rekodi ya Thierry Henry. Anaonekana kama mchezaji anyedharauliwa zaidi hapa duniani na ninaona akienda kupata kuanzia magoli matatu (ili...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wachezaji kama Kisinda wapo wengi Tandika

    "Wachezaji wanaocheza kama Tuisila Kisinda wapo wengi sana pale Tandika Mabatini" Haya sio maneno yangu ni maneno ya mchambuzi Wilson Oruma. My Take: Kamati za usajili kuweni makini hasa kwa wachezaji kutoka nje
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa Body Language ya Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini Tunisia watapona kweli?

    Kwa Mbobezi / Wabobezi wa Saikolojia ( hasa ile ya Mawasiliano ) kama GENTAMYCINE ukiziangalia tu kwa umakini wako wote Picha zote za Wachezaji wa Yanga SC wakiwa Safarini kuelekea nchini Tunisia wala hupati shida kujua kuwa Wameshafungwa na Kutolewa rasmi katika CAFCC hivyo watarejea Kuendelea...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi aambiwe ukweli Yanga kuna wachezaji mizigo

    Mchezaji Kama Bigirmana, Makambo na Kisinda sio wachezaji wa kucheza Yanga Naomba dirisha dogo Hawa wachezaji waondoke haraka ni takataka Lomalisa watu wanamponda lakini kwangu Mimi ndiye beki Bora namba 3 akiaminiwa na kupewa mechi Football ni namba mpaka sasa ana assist mbili ni beki gani...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba walikosa umakini, hawajitumi ipasavyo

    Moja kwa moja kwa wachezaji wa Simba na bila kupepesa. Mgunda amejitahidi kuwabadilisha wachezaji watembee, mpira utembee na kuchangamka lakini bado wachezaji wanajisahau. Jana ilikuwa Yanga wanalala mapema. Hebu tazama dakika za mwanzo kasi ya Simba ilikuwa kubwa na kuwalazimisha Yanga kuacha...
  8. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mkimwacha Nabi bila msaada na hawa wachezaji wetu hata mechi za ndani sisi Yanga hatutoboi

    Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi. Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa wachezaji hawa wa Yanga SC ndiyo atavaa hirizi ya timu leo

    1. Farid Musa 2. Bakari Mwamnyeto 3. Feisal Salum Fei Toto Hivyo nawaomba wachezaji wa Simba SC kama ikiwezekana wafukizwe sana moshi wa .... au wapakae mafuta ya nguruwe. Na kwa wale wa benchi la ufundi (siyo wachezaji) nawaomba muda mwingi wawe wameshika au wameweka ndimu au malimao karibu...
  10. chongoe

    JamiiForums Tanzania naombeni mnipe orodha nzima ya majina ya wachezaji wa Yanga

    nina jambo nataka fanya kabla sijaondoka Mafia!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kasi ya wachezaji wa Yanga uwanjani bado ni kitendawili?

    Amani iwe nanyi Sitoi pole kwa Yanga kwa kufungwa na Al hilal licha ya kumiliki sana mpira!! Natoa pole kwa wachezaji wa ligi nzima ya bongo kwa kushindwa kuwa na kasi kiwanjani pindi wanapokuwa na mpira ama wasipokuwa na mpira. Nitaendelea sana kuongelea kasi/pace/speed ya wachezaji wetu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa uto waazimia kumuonyesha mlango wa kutokea kocha wao. Wachezaji wakongomani nao kuwekwa kitimoto

    Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo: 1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani? 2. Kwa nini...
  13. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Simba na mihela ya CAF na uhalisia wa wachezaji

    Hivi ndivyo CAF walivyoitajirisha Simba, wajazwa bilioni 6.7 kwa siku 1,460 Kuanzia 2018 hadi sasa, Simba imepitia katika kipindi cha neema kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika mashindano ya kimataifa na yale ya ndani, ikitwaa mataji matatu ya Ligi Kuu, mawili ya Kombe la Shirikisho...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya billioni moja kwa wachezaji Yanga yawatisha Al Hilal, ya Vipers yawapa wazimu

    Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye kumwaga mapesa hafikirii mara mbili wala hachungulii daftari, KATENGA BILLION MOJA Al Hilal apasuke kwao...
  15. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

    Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake. Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hersi hizo pesa ambazo unatumia kuwasaidia waandishi wa Habari si tungewekeza kwa Wachezaji wetu?

    Ni ujinga unaofanya. Waandishi wa habari hawachezi mpira. Hata kama wataisifia team sana mwisho wa siku wachezaji ndo hucheza. Unawekeza pesa nyingi kwa vyombo vya habari wakuzungumzie wewe na team vizuri. Wanashindwa ikosoa tunaona ipo perfect. Kumbe kuna sehemu tunapaswa kujiweka...
  17. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachezaji wa Tanzania wana spidi ndogo uwanjani?

    Kuna changamoto kubwa kwa wachezaji wa Tanzania. Wanakuwa na spidi ndogo sana uwanjani pia wana spidi ndogo ya maamuzi. Bila kusahau makosa katika kukaba, kutoa pasi/cross na kumalizia magoli. Je, kuna suluhisho?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Haya sasa twende kwenye klabu bingwa ya Africa tukimtegemea Phiri, Bocco na Kyombo kutuvusha. Nadhani wachezaji na mashabiki wamefurahi sasa.

    Moja kwa moja kwenye mada!! Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!! Hivi Bocco na Kyombo ndio wa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba punguzeni ubinafsi ,acheni kumtengenezea majungu Mzungu Dejan Georgijevic

    Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United waumwa tumbo, yadaiwa wamekula chakula chenye sumu

    Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League. United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
Back
Top Bottom