wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

    “Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba na Yanga kampeni ya Benki ni SimBanking

    Mkurugenzi Mtenndaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Yanga, Andre Mtine (wapili kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Simba, Imani Kajura (wapili kulia) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuwatumia wachezaji Clatous Chama, Mohammed...
  3. Mangi shangali

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wafupi wanazigharimu timu za Tanzania

    Jana simba walipocheza na Horoya fc, wachezaji walipata shida sana maana wale jamaa ni warefu sana, kilichowapata Simba jana, leo kimewapata Yanga. Mabeki wafupi wa Yanga ni mzigo kwa michuano ya Kimataifa. Angalia mabenki wa Yanga, sasa mtu kama Dickson Job kweli ni benki mzuri ila ufupi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

    1. Golikipa Aishi Manula Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno. Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani. 2...
  5. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Wataje wachezaji hawa wa Ajax Amsterdam

    Swali jepesi kwa wapenda soka, wale wakongwe unaweza kuwataja wachezaji hawa wa Ajax? Jaribu
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na wachezaji Kapombe na Mwenda kupigana na kupangua vipapai, ni wachezaji gani wengine waliowahi kuhusika katika mazingira haya ?

    Ni uzi maalum kwa kumbukumbu Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo. Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
  7. Moshi25

    JamiiForums Tanzania Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

    Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF lindeni wachezaji nyota kwenye ligi wasiumizwe

    Ligi yetu imekuwa sana, inavutia wachezaji wakubwa wa kimatifa kuja kucheza hapa. Wachezaji hawa wanaokuja kwetu wanategewa sana sio TU na club zilizowanunua bali hata na timu zao za mataifa wanatoka, sio jambo zuri hata kidogo kama wachezaji hawa wataumizwa kwa makusudi TU na wavuta bangi...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Waamuzi 13 na Wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo ya Ligi

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi. Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, Barry Otieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

    Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania. 1. Edibily Lunyamila 2. Mohamed Hussein Mmachinga 3. Amir Maftah 4. Mrisho Ngasa 5. Mbwana Samatta 6. Haruna Moshi 7. Mohamed Mwameja 8. Boniface Pawasa 9. Victor Costa 10. Athuman Iddi Chuji
  11. Execute

    JamiiForums Tanzania Darwin Nunez na Antony dos Santos ni wachezaji wa paundi milioni ishirini kila mmoja na siyo zaidi ya hapo

    Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile. Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez kweli ulipe Euro 75m na Antony ulipe Euro 95m? Madrid walimnunua Toni Kroos kwa Euro 25m.
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Utoto wa Fei Toto utawasumbua wachezaji wa Kizanzibari

    Mpira ni furaha na mpira ni ajira pia. Lakini mpira una sheria, kanuni na taratibu zake. Fei Toto kuiacha Yanga katikati ya mashindano ya African championship, ligi kuu, Azam cup na mapinduzi cup sio Cha mtu muungwana hata kidogo na kinaudhi kila mtu mwenye akili lazini. Lakini kuondoka kwake...
  13. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa mpira wa miguu anzisheni chama cha kutetea haki zenu

    Moja ya mambo ambayo yamekwamisha sana maendeleo ya sekta nyingi nchini ni kuvurugwa au kutokuwepo kabisa kwa vyama vya wafanyakazi. Hii imesababisha kutokuwepo kwa mikataba inayozingatia haki za wafanyakazi husika. Upande wa waajiri umekuwa na nguvu ya kuamua malipo na mustakabali mzima wa...
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Feisal ndiyo amewaharibia zaidi wachezaji Wazawa

    Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha. Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tuache kulialia wachezaji wetu Kuchezewa rafu, na wao hawajazuiwa kulipizia ili heshima ipatikane

    GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa Kati Namba Nne na Kiungo Mkabaji Namba Sita sikuwa najjrekodi ili iwe Somo kwa Wachezaji lonyo lonyo...
  16. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Ari na munkari wa wachezaji wa timu ya Yanga uwanjani

    Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana. Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari ya juu sana, ukiwatazama wanakuonesha kabisa kuwa wanashinda mechi! Hebu wanamichezo wenzangu...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumtimua kocha angalia usoni wachezaji wako kwanza

    Kazi ya kocha wa timu ni kuratibu wachezaji kwa kutumia vipaji vyao TU, sio vingine. Kazi ya kuhakikisha fitness ya wachezaji ni ya kocha wa viungo, kazi ya kuhakikisha kuwa wachezaji, Wana furahà, Wana morali ya kucheza kwa bidii ni kazi ya uongozi wa timu. Kabla ya kumfukuza kazi kocha kwa...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally kemea kwanza akina Henonga, Onyango na Kanoute wasichezee rafu wachezaji wenzao

    Baada ya Moses Phil kuchezewa kuumizwa kiwanjani, Ahmed Ally msemaji wa Simba amelalamika sana, sio vema wachezaji kuumizana na siungi mkono wachezaji kuumizana viwanjani, lakini Ahmed alipaswa kuwakemea Henock, Onyango, Kanoute na Mzamiru kwa kuchezea wengine vibaya.
  19. Execute

    JamiiForums Tanzania Timu inayochukua Kombe la Dunia ni lazima iwe na wachezaji hawa

    Kombe la dunia limefikia tamati. Ilikuwa rahisi kukisia matokeo ya mechi nyingi na kuona timu ambazo hazitafika mbali. Ili timu yoyote ibebe kombe la dunia ni lazima wachezaji hawa wawepo: 1. Mchezaji anayeweza kubadilisha matokeo wakati wowote 2022 Argentina - Messi 2018 France - Mbappe 2014...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Simba tunahitaji wachezaji watatu tu Januari, 'no panic buy'

    Kwanza kabisa tunashukuru Mgunda Mnene kutufikisha hapa tulipo pamoja na mapungufu yake ya kimbinu mpaka akapata hizi droo nne ambazo zimetuweka mbali na watani zetu. Ili tukimbizane na mbio za Ubingwa plus CAF CL tufike mbali, tunahitaji wachezaji watatu bora kabisa. Tupate Striker mzoefu...
Back
Top Bottom