wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni usajili wa wachezaji watakaowavusha zaidi ya hapo, vinginevyo wimbo utabaki kuwa ule ule miaka yote

    Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba na wachambuzi wakiipongeza simba kuwa pamoja na kutolewa na whydad lakini wamejitahidi. Ikumbukwe kwenye hatua ya robo fainali akunaga cha kujtahidi kinachoangaliwa ni kuvuka kwenda hatua inayofata ya nusu fainali aijalishi umevukaje, na mafanikio yako...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sina Deni na Wachezaji wa Simba SC hata kama Kapombe na Chama Wamekosa Penati zao

    Kwangu Mimi GENTAMYCINE sioni Uchungu wa Kutolewa kwa Kufungwa Jana bali nimefurahi kwa Wachezaji wa Simba SC kwa Kupambana Kiume na Kufa Kishujaa Halafu kumbukeni Penati duniani kote huwa hazina Mwenyewe. Kapombe na Chama bado ni Mashujaa wetu na tuwaheshimu mno.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

    Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa. Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba SC tusipoenda Kuwapokea Wachezaji wakirejea kutoka Morocco tutawakosea sana

    Tusidanganyane hakuna Mtu ambaye Jana aliangalia Mpira na alidhani Simba SC ingetoka Salama kwa Waarabu ( tena Mabingwa Watetezi Wydad Casablanca FC ) hadi Kufungwa Goli Moja na aggregate kuwa 1 - 1 mpaka dakika 90. Watu wengi ( hata Wanasimba Wenyewe ) achilia mbali wale Wendawazimu FC Wengine...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tuwaandae Kisaikolojia wachezaji wa Simba: Ugeuzeni uwanja wa Wydad katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa

    Ni saikolojia ndogo tu! Kuufanya uwanja wa ugenini katika akili kuwa kama uwanja wa Mkapa, na kuwaona washangiliaji wa timu ya Wydad kama kikundi cha Kidedea!! Wakifanikiwa hao Simba watajiona kama wako kwenye dimba la Kwa Mkapa! Kama kawaida, Kwa Mkaa hawatoki!!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ushangiliaji wa mashabiki wa Wydad Casablanca, unatosha kabisa kuharibu saikoljia ya wachezaji wa timu pinzani

    Hakika huu ndio ukweli na hii ni baada ya kuona clip mmoja mtandaoni. Mashabiki wa hii timu wana spirit ya ajabu katika kushangilia na kuna wahamasishaji kabisa wako kwa ajili hiyo. Wingi wa mashabiki pamoja na spirit kubwa ya ushangiliaji, ni wazi hii ndio sababu tosha timu nyingi kula kichapo...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Lengo la Simba isiwe kusajili kwa Sasa. Ina wachezaji Bora Sana Afrika. Kocha aendelee kuwaamini. Labda itoe Ulaya

    Sema bongo wachambuzi Ni washabiki tu. Ukiwafata na ushabiki Ni hakuna kabisa vitu kichwani. Muda wote kuiponda Simba oh Haina timu. Simba imemchukua baleke. Hata combination haijakomaa. Kafunga magoli mengi kuliko mfungaji yoyote ligi ya Tanzania tokea aje Sawadong ametokea Chan, timu ya...
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utata wa usajili wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya unatuambia sheria zetu za usajili zina mapungufu

    Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada ya kusemekana kuwa Beno amesaini kuchezea Singida Big Stars (SBS) kuanzia mwishoni mwa msimu huu...
  9. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kuwachunga siku ya dabi Simba vs Yanga

    Yanga inabidi wawe makini na chama na baleke ni wachezaji waliokuwa kwenye form nzuri hivi Sasa na ni HATARI. Simba inabidi wawe makini na wachezaji wote wa yanga na kocha Nabi. hivi Sasa ukiongelea timu yenye team work hali ya kupambana kwa wachezaji ni Yanga na kila mchezaji anatamani...
  10. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Eric Djemba Djemba: Mashine kutoka Afrika Magharibi na Siri ya Alex Ferguson kuhusu wachezaji wa Afrika

    Unakumbuka nini ukisikia jina Djemba Djemba. M Cameroon aliye lamba deal la kusajiliwa Manchester united na Alex Ferguson at his age of 21 Alisajiliwa akitokea Nandes ya ufaransa. Alipo sign deal na Manchester united akaenda kununua magari matano Kwa mkupuo. Inasemekana Sir Alex Ferguson...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wafuatao ni Wachezaji hatari Kinyota kwa Simba SC Jumapili tarehe 16 Aprili, 2023

    Wasipochungwa Kiumakini kabisa na Wachezaji wa Simba SC au Kufungwa Kiutamaduni (Kiswahili) wana 100% za Kutufunga / Kutuadhibu ndani ya dakika 90. 1. Farid Musa 2. Aziz Ki 3. Bernard Morisson 4. Kennedy Musonda Najua wengi mtashangaa na kujiuliza kwanini GENTAMYCINE sijamtaja Mshambuliaji...
  12. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Hongera Engineer kwa kujihusisha na usajili na kuleta wachezaji wazuri Jangwani!

    Kama shabiki wa simba, nakupongeza kwa kazi nzuri yakutafuta wachezaji wazuri bila kuingiliwa na kuwakata mikono wazee wa 10%... mwanzoni ulilalamikiwa sana na vyombo vya habari et kwanini unajihusisha na usajili... mjomba ulikuwa unampandia ndege mchazaji unapomwona anafaa bila kujiuliza...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe, waliocheza na TP Mazembe sio wachezaji wa akiba, omba radhi

    Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo baada ya kukosekana Aziz, Morrison, Diara, Aucho na DJuma kwenye kikosi. Ni kweli waliocheza ni...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: NBA yaondoa sheria ya kuzuia matumizi ya bangi kwa wachezaji

    Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji. Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa vipimo kwa muda wa miaka saba kutokana na mkataba uliosainiwa na Collective Bargaining Agreement...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi uchwara msiwaharibu wachezaji chipukizi

    Vijana Wana kesho nyingi sana waacheni watembee polepole kuepuka kujikwaa. Timu kubwa zina Zina mabenchi Bora ya ufundi na vitendekeakazi vingi, hivyo vina jukumu la kuibua vipaji vipya kwenye michezo ili kuziba nafasi za wanaozeeka. Wachambuzi Wana tabia za kuwajaza vichwa na kuwapandisha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Timu bora hutoa wachezaji bora, Yanga yaongoza kwa kutoa wachezaji bora timu za Taifa

    Takribani wachezaji 12 wa yanga wameitwa timu za taifa ktk nchi zao, icho ni kielelezo cha kuwa na wachezaji bora na usajili bora, wachezaji 12 ni sawa na first eleven ya timu nzima na mchezaji mmoja wa akiba, list ifatayo ni wachezaji walioitwa timu za taifa; Tanzania; Bakari Nondo Mwamnyeto...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, Taifa Stars haihitaji Hamasa na Maombi kwa Mungu bali Maandalizi makubwa na Utayari wa Wachezaji

    Binafsi tokea uteuliwe kuwa Waziri wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo sijaona la maana ulilofanya hata katika Press Conferences zako zote. Yaani kabisa Waziri mzima unasimama mbele ya watu wenye akili (akina GENTAMYCINE na wengineo hapa JamiiForums) unatuambia tufanye maombi (dua) ili...
  18. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Picha: Wachezaji Kinda Wanaokuja kwa kasi Chama na Inonga Wakutana na Mayele, Wamuomba picha ya kumbukumbu

    Kushoto ni mchezaji kinda anayekuja kwa kasi anayechezea Kilabu cha mpira cha Simba Sc na Kulia Kabisa ni Mchezaji anayetajwa kuwa tarajio kubwa kwa kikosi hicho, Wakiwa katika picha ya pamoja na mchezaji Nyota anayekipiga katika klabu maarufu na kubwa ukanda wa mashariki ya Afrika na Afrika...
  19. Area 56

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa hawapewi sifa zao lakini wanaupiga mwingi

    Leo tuwakumbuke wachezaji ambao wapo underrated, wanajituma sana kwa maslahi ya timu lakini huwezi kusikia wakiimbwa sana au kusifiwa na mashabiki au wachambuzi. List yangu iko hivi; Pierre Hojbjerg wa Tottenham Mac Allister - Brighton Emanuel Akanji - Man City Bruno Guimaraes - Newcastle...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vifo vya wachezaji Tanzania, mamlaka zinachukua tahadhari zozote?

    Jamii ya wapenda soka nchini ingali katika majonzi kufuatia kifo cha Mchezaji wa Mtibwa Sugar Iddy Mobby ambaye alifariki akiwa kwenye matibabu kwenye hospital ya Mkapa iliyopo mkoani Dodoma alipohamishiwa baada ya matibabu ya awali kwenye hospital ya kiwanda cha Mtibwa mkoani Morogoro. Kwa...
Back
Top Bottom