wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Haya sasa twende kwenye klabu bingwa ya Africa tukimtegemea Phiri, Bocco na Kyombo kutuvusha. Nadhani wachezaji na mashabiki wamefurahi sasa.

    Moja kwa moja kwenye mada!! Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!! Hivi Bocco na Kyombo ndio wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba punguzeni ubinafsi ,acheni kumtengenezea majungu Mzungu Dejan Georgijevic

    Tukio lililotokea majuzi kwa mchezaji Okrah kumfanyia fujo striker mzungu, Dejan Georgindowski, linaonesha kuwa kuna mgawanyiko wa wachezaji katika dressing room na kocha Juma Mgunda hana uwezo wa kuwa manage maastaa hawa wenye majina makubwa. Kuna kundi la wachezaji linahakikisha kuwa huyu...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United waumwa tumbo, yadaiwa wamekula chakula chenye sumu

    Wachezaji 12 na wafanyakazi wa Klabu ya Manchester United, walipata maumivu ya tumbo Ijumaa iliyopita ambayo inadaiwa yalisababishwa na kula chakula chenye sumu wakati wa mchezo wao dhidi ya Sheriff Tiraspol katika UEFA Europa League. United ilisafiri kwenda Nchini Moldovan kucheza mchezo huo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwani Ihefu shida ni wachezaji au kocha?

    Je ujio wa Juma Mwambusi katika klabu ya Ihefu utabadili chochote?
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga inachukia wachezaji walioumia kazini?

    Sera ya Yanga ya kuachana na wachezaji wake walioumia viwanjani inaidhoofisha yanga. Mwenzako akinyolewa tia zako maji ndicho kinachoendelea kwenye akili za wachezaji. Wachezaji Yanga wameingiwa na hofu ya kucheza kwa kujituma kwa kuhofia kupata majeraha mabaya, na hii ndio sababu wachezaji wa...
  6. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaovuta mkwanja mrefu Yanga SC

    WACHEZAJI WANAOVUTA MKWANJA MREFU YANGA SC: 1.Aziz Ki -Sh 23.2M 2.Morrison -Sh 23.2M 3.Aucho - Sh 16.2M 4.Mayele - Sh 16.2M 5.Diara-Sh 9.2M
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  8. M

    JamiiForums Tanzania St George v/s Al Hilal naona Al hilal wanayo quality ya wachezaji lakini hawana timu, washakula 2 bila mpaka sasa

    Nafikiri kwa timu yoyote itayovuka kati ya hizi kukutana na yanga basi itatakiwa ifanye kazi ya ziada mara 2 kuizuia yanga, naangalia mechi yao hapa inayoendelea sijaona timu ya kuisumbua yanga, Al Hilal wanao wachezaji wazuri lakini wanakosa muunganiko kila mchezaji anacheza kwa uwezo binafsi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wacha mvua inyeshe tuone panapovuja

    Pira la leo litatoa majibu ya viwango vya wachezaji pamoja na makocha kati ya simba na yanga.
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wengi Ligi Kuu hawana Adabu, wana kiburi sana!!

    Inawezekana wanaamini kuwa mpira ni kusukuma tu gozi uwanjani ama makocha wao hawawafundishi kuwa mpira ni sayansi na ni sanaa pia. Labda pia wanadekezwa na udhaifu wa Marefa wetu katika kusimamia sheria za Mpira uwanjani. Zaidi inawezekana wanatiwa ujinga kwa utetezi wa matendo yao ya kihuni...
  11. N

    JamiiForums Tanzania BM 3 alikuwa sahihi, posho zimepunguzwa Simba, wachezaji hawana fighting spirit

    BM 3 kwenye madai yake alipohojiwa na saleh jembe alisema aliitwa ofisini na CEO na kuambiwa posho na mshahara wake utapunguzwa kama anataka kusaini mkataba mpya Inasemekana posho zimepunguzwa ili kubalance mahesabu yapendeze kwenye vitabu, so what you pay is what you get MSISHANGAZWE KUONA...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi leo umepoteza point 3 muhimu kutokana na selection ya wachezaji kipindi cha kwanza

    Uwezo wa yanga kuondoka na point zote 3 leo walikuwa nao isipokuwa kocha Nabi alipotea maboya kwenye selection ya wachezaji walioanza mechi hii, tunajua gael bigirimana na kharid aucho ni wazito na awana kasi kutokana na umri kitendo kilichowafanya azam kutawala katikati na kulisogelea lango la...
  13. aka2030

    JamiiForums Tanzania Inamaana simba wachezaji wote ni wazee?

  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu?

    Ni wakati wa kufanya mambo kwa njia tofauti. Kwanini watu wasipewe mkataba wa kuchezea timu ya taifa tu kama wanavyochezea vilabu. Kazi yao iwe ni mpira kwa aajili ya timu ya taifa, wakilala wakiamka. Inaweza unda timu nzuri sana ya taifa. Chemistry itakuwa kubwa sana. Mpaka sasa kwa timu yetu...
  15. Shark

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Wa Simba S. C Acheni "Kumzururisha" Mzungu

    Hivi Karibuni Mchezaji Dejan alipofunga goli Mashabiki wengi wa Simba tulifurahi sana. Sababu ya kufurahi ni kua toka asajiliwe Mchezaji huyu hakua amefunga goli kwenye mechi yoyote ile ukiacha mazoezini labda. Wengi tulianza kuamini kua Mchezaji huyu "tumepigwa", wengine kufikia kusema aheri...
  16. Championship

    JamiiForums Tanzania Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea bara la ulaya (raia wa ulaya) mpaka sasa

    Wafuatao ndio wachezaji kumi bora kuwahi kutokea kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio kwenye timu walizochezea ikiwemo timu za taifa: 1. Cristiano Ronaldo 2. Franz Beckenbauer 3. Johan Cruyff 4. Zinedine Zidane 5. Michael Platin 6. Marco van Basten 7. Gerd Muller 8. Lev Yashin 9...
  17. Championship

    JamiiForums Tanzania Wachezaji kumi bora kuwahi kutokea Amerika ya Kusini mpaka sasa

    Wafuatao ndio wachezaji bora kwa kuangalia mafanikio binafsi na mafanikio ya timu walizochezea ikiwemo timu za taifa: 1. Messi 2. Pele 3. Maradona 4. Ronaldinho 5. De Stefano 6. De Lima 7. Zico 8. Garrincha 9.Romario 10. Socrates
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
  19. Championship

    JamiiForums Tanzania Wachezaji kumi bora wa Afrika mpaka sasa

    Naomba nikuletee list ya wachezaji bora kuwahi kutokea katika bara la Afrika. Nimepitia kumbukumbu kwa wale wa zamani sana na wengi kuanzia mwaka 1996 nimewaona wakicheza. Vigezo vilivyotumika ni mafanikio kwenye tuzo binafsi, mafanikio kwenye timu walizochezea na mafanikio kwenye timu za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sub ya Farid Mussa na kuanza na Wachezaji Wasiojitambua Kibu na Mpole badala ya Lyanga na Jabir ndiyo vimetumaliza Leo

    Mimi ni Shabiki wa Simba SC ila nadhani kama kuna Mchezaji Mzawa ambaye Watanzania tuna Roho Mbaya, Wivu na Unafiki wa Kutomuimba na Kumtukuza inavyotakiwa ni Kiungo Mshambuliaji na Winga Farid Malick Mussa wa Yanga SC. Kama kuna Mchezaji ambaye leo katika Mechi ya Taifa Stars na Uganda Cranes...
Back
Top Bottom