wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

    Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022 Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14...
  2. JamiiForums Tanzania Wachezaji wafuatao wa Simba SC wasipangwe Mechi ya leo dhidi ya African Sports FC katika TFF ASFC

    Kuna Klabu Moja yenye Chuki na Klabu ya Simba na ina Ukaribu wa Kiundugu na Klabu ya African Sports ya Tanga imewatuma Wachezaji wa African Sports FC Wawaumize vibaya Wachezaji Muhimu wa Simba SC ili wasicheze Mechi Mbili Muhimu za Kimaamuzi za CAFCL ile ya Vipers FC tarehe 7 March 2023 na ya...
  3. JamiiForums Tanzania Julio: Kwa Simba hii ya sasa kuna wachezaji watano tu wanaoweza kuisaidia timu

    Kocha Jamhuri Kihwelo Julio amedai kuwa kikosi cha Simba cha sasa kina wachezaji watano tu ambao wanaweza kuisaidia timu ndiyo maana hakuna matokeo mazuri. “Wachezaji wa sasa ambao wanaweza kuisaidia Simba hawazidi watano tu, jiulize ile Vipers iliyocheza na Simba kuna timu pale? Wale...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

    “Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba na Yanga kampeni ya Benki ni SimBanking

    Mkurugenzi Mtenndaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Yanga, Andre Mtine (wapili kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Simba, Imani Kajura (wapili kulia) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuwatumia wachezaji Clatous Chama, Mohammed...
  6. JamiiForums Tanzania Wachezaji wafupi wanazigharimu timu za Tanzania

    Jana simba walipocheza na Horoya fc, wachezaji walipata shida sana maana wale jamaa ni warefu sana, kilichowapata Simba jana, leo kimewapata Yanga. Mabeki wafupi wa Yanga ni mzigo kwa michuano ya Kimataifa. Angalia mabenki wa Yanga, sasa mtu kama Dickson Job kweli ni benki mzuri ila ufupi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

    1. Golikipa Aishi Manula Tusifiche na kuwa Wanafiki kwa Siku za karibuni amepoteza Uwezo wake na Kufungika si tu Kirahisi bali Kizembe mno. Aambiwe awe Mkali awapo Golini hasa kwa Kuwapanga Mabeki wake ila na Yeye ajitahidi mno kupanga vyema Ukuta wake kukitokea Faulo eneo la Jirani. 2...
  8. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Wataje wachezaji hawa wa Ajax Amsterdam

    Swali jepesi kwa wapenda soka, wale wakongwe unaweza kuwataja wachezaji hawa wa Ajax? Jaribu
  9. JamiiForums Tanzania Tukiachana na wachezaji Kapombe na Mwenda kupigana na kupangua vipapai, ni wachezaji gani wengine waliowahi kuhusika katika mazingira haya ?

    Ni uzi maalum kwa kumbukumbu Kwa vile sayansi haithibitishi kila kitu ikiwemo uchawi inakuwa ngumu kupata ushahidi ila wataalam wa mambo wanakwambia kwamba haya mambo ya kupigana vipapai yapo katika soka la bongo. Hadi sasa tumeweza shuhudia wachezaji hawa wawili Mwenda na Kapombe wakihusishwa...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga na kufuru ya kujaza Maestro na kuua viwango vya wachezaji wazawa

    Mimi ni Yanga utopolo original Yanga Lia Lia shabiki kindakindaki makolo wanatuita mashabiki maandazi wa utopolo Najiuliza wale wachezaji wa kigeni viwango vya dunia tumejaza Yanga Kila idara mpaka Simba wanatamani kubaki arabuni wacheze ligi hiyo au wahamie ligi ya Burundi maana Huku tz...
  11. JamiiForums Tanzania TFF lindeni wachezaji nyota kwenye ligi wasiumizwe

    Ligi yetu imekuwa sana, inavutia wachezaji wakubwa wa kimatifa kuja kucheza hapa. Wachezaji hawa wanaokuja kwetu wanategewa sana sio TU na club zilizowanunua bali hata na timu zao za mataifa wanatoka, sio jambo zuri hata kidogo kama wachezaji hawa wataumizwa kwa makusudi TU na wavuta bangi...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Waamuzi 13 na Wachezaji 2 wasimamishwa kwa upangaji matokeo ya Ligi

    Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) limesema uamuzi huo unatokana na ripoti za siri za uchunguzi zilizooneshai kuhusika kwa wachezaji na waamuzi hao katika shughuli za upangaji matokeo ya mechi. Kupitia taarifa yake, Katibu Mkuu wa FKF, Barry Otieno amesema "Katika juhudi za kulinda uadilifu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

    Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania. 1. Edibily Lunyamila 2. Mohamed Hussein Mmachinga 3. Amir Maftah 4. Mrisho Ngasa 5. Mbwana Samatta 6. Haruna Moshi 7. Mohamed Mwameja 8. Boniface Pawasa 9. Victor Costa 10. Athuman Iddi Chuji
  14. JamiiForums Tanzania Darwin Nunez na Antony dos Santos ni wachezaji wa paundi milioni ishirini kila mmoja na siyo zaidi ya hapo

    Kila nikiwaangalia hawa wachezaji wawili nashindwa kuelewa ilikuwaje wakanunuliwa kwa bei kubwa namna ile. Hawa ni underdogs wawili waliotumika kufanya utapeli pale Liverpool na Man united. Nunez kweli ulipe Euro 75m na Antony ulipe Euro 95m? Madrid walimnunua Toni Kroos kwa Euro 25m.
  15. JamiiForums Tanzania Utoto wa Fei Toto utawasumbua wachezaji wa Kizanzibari

    Mpira ni furaha na mpira ni ajira pia. Lakini mpira una sheria, kanuni na taratibu zake. Fei Toto kuiacha Yanga katikati ya mashindano ya African championship, ligi kuu, Azam cup na mapinduzi cup sio Cha mtu muungwana hata kidogo na kinaudhi kila mtu mwenye akili lazini. Lakini kuondoka kwake...
  16. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa mpira wa miguu anzisheni chama cha kutetea haki zenu

    Moja ya mambo ambayo yamekwamisha sana maendeleo ya sekta nyingi nchini ni kuvurugwa au kutokuwepo kabisa kwa vyama vya wafanyakazi. Hii imesababisha kutokuwepo kwa mikataba inayozingatia haki za wafanyakazi husika. Upande wa waajiri umekuwa na nguvu ya kuamua malipo na mustakabali mzima wa...
  17. JamiiForums Tanzania Feisal ndiyo amewaharibia zaidi wachezaji Wazawa

    Nitaandika uzi huu kwa lugha nyepesi sana Ni hivi tabia zilizo onyeshwa na Feisal kwenye sakata la mkataba wake na Yanga ndio limeshusha zaidi heshima ya wachezaji wazawa kuliko kuongeza kama baadhi ya watu wanavyo jaribu kuaminisha. Imeonekana kumbe wachezaji wazawa ni watu wenye mambo ya...
  18. JamiiForums Tanzania Simba SC tuache kulialia wachezaji wetu Kuchezewa rafu, na wao hawajazuiwa kulipizia ili heshima ipatikane

    GENTAMYCINE najuta ni kwanini wakati nacheza Mpira kwa Ngazi za Shule O level na A level achilia mbali Ligi Daraja la Tatu Mkoa pamoja na Ndondo hasa nafasi yangu ya Beki wa Namba Mbili, Beki wa Kati Namba Nne na Kiungo Mkabaji Namba Sita sikuwa najjrekodi ili iwe Somo kwa Wachezaji lonyo lonyo...
  19. JamiiForums Tanzania Ari na munkari wa wachezaji wa timu ya Yanga uwanjani

    Hii ari wanayokuwa nayo wachezaji wa Yanga ndani ya dimba huwa inanifikirisha sana. Wachezaji wa Yanga kwa muda wa misimu hii miwili sasa, wakiingia uwanjani dhidi ya timu yoyote wanaonesha ari ya juu sana, ukiwatazama wanakuonesha kabisa kuwa wanashinda mechi! Hebu wanamichezo wenzangu...
  20. JamiiForums Tanzania Kabla ya kumtimua kocha angalia usoni wachezaji wako kwanza

    Kazi ya kocha wa timu ni kuratibu wachezaji kwa kutumia vipaji vyao TU, sio vingine. Kazi ya kuhakikisha fitness ya wachezaji ni ya kocha wa viungo, kazi ya kuhakikisha kuwa wachezaji, Wana furahà, Wana morali ya kucheza kwa bidii ni kazi ya uongozi wa timu. Kabla ya kumfukuza kazi kocha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…