Mzuka Wanajamvi!
Kuna msitu hapa ukivuka reli, nikaamua niende kutembea usiku huu kuzuga. Pupwe likawa linapuliza kichizi, na pia kwa wakati kama huu unajinyoosha vichakani huku unavuta mjani yaani unajiskia huko kwenye high mood.
Ghafla nikashtukizia kaajuza fulani mweupee, pale skin na macho...