wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Pongezi kwa waliopaza sauti kupitia JF kuhusu anajiita "Kiboko ya Wachawi"

    Natoa pongezi kwa wale waliokuwa wanakwazika na habari zilizokuwa zinarushwa hewani kupitia redio kuanzia saa 6 usiku hadi saa 11 alfajiri. Kupitia hapahapa JF kulikuwa na maandiko kadhaa kuelekea TCRA kuwa wajiridhishe kuhusu kituo cha Redio kinachorusha habari zake, takribani wiki sasa redio...
  2. Waganga wa kienyeji na wachawi ni mawakala wa shetani, kwanini wanapingana

    wakuu hebu tusaidiane. waganga na wachawi ni wakala/agents wa ibilisi/shetani kwanini wanapingana mchawi anakuroga ufe, mganga anakutibu usife cc rakims ccmshanajr walker water
  3. Watanzania wengi ni wachawi na waganga: Ukizama wanakufariji, ukiinuka wanakushambulia

    Ukiwa na madhila utapata watu wengi sana wa kukushauri na kukupa nasaha. Wengine watajifanya motivational speakers huku wakikupa usia wa mambo kadhaa ya kubumba. Baadhi watajitutumua na kujifaragua kwamba wanakujali sana, ati wako tayari hata kufunga novena. Lakini ukiwaambia nina milioni...
  4. Huyu Pasta Dominiki 'Nabii Kiboko ya Wachawi' ni nani? Nguvu yake ni ya Kweli? Siyo Msanii kama wa Kawe na Kimara Temboni?

    Kwa Nyomi Kubwa alilonalo sasa na Nyota yake inavyoanza Kungaa huku Akipendwa na Kukubalika zaidi kwakuwa huwa Habahatishi kwa Kukutajia Mbaya wako (hata kama ni Mzazi au Nduguyo) huku Akiwaumbua na Kukutajia Wachawi wako na akikuombea na kufanikiwa hawa wa Kawe na Kimara Temboni wasipomkalia...
  5. Ukatili wa Kijinsia kwa watoto Kanisani: Tupinge kuita watoto wachawi mbele ya kanisa na kuwarekodi kwente tv na redio

    Tukielekea kuadhimisha wiki ya ukatili wa kijjnsia kuna mambo yanaendelea baadhi ha makanisa ya manabii mitume na makuhani hayanipendezi. Kuna mambo ukienda makanisani kwa watajwa hapo juu naumia sana. Wanaita watoto wadogo kabisa wanawambia wewe uko kikundi cha wachawi. Kwa uwoga wanajibu...
  6. U

    Nawaita wataalamu wa ndoto, wachawi , wajuvi wa mambo, wadadisi, wanazuoni, mafundi wa masuala ya kiroho. Mnipe jawabu ya hili jambo

    Suala langu: Nimekuwa nikisikia Mengi kuhusu ndoto, Wengine mara oohh sijui mlango wa kuyaona yaliyopo nyuma ya Dunia, Mambo yasiyoonekana etc. Wengine wanasema kuwa ndoto ni matukio ambayo tunayafanya kila siku...yanajikusanya. Swali langu:. Kwanini Hajawahi tokea Binadamu yoyote akaota...
  7. Wanyama wanaotumiwa sana na wachawi

    Mi napenda sana mbwa, mbwa ni rafiki wa binadamu, mbwa ni wanyama poa sana, wanapenda sana kuwa na uhusiano wa karibu na binadamu, mbwa ana hisi hatari mapema sana na anaweza kukusaidia kweny ulinzi. Wanyama wengine kama paka ni jau, unaweza dhani unafuga paka kumbe unafuga mtu. Hivi kwann...
  8. Hii ni nyumba ya wachawi ninayoishi. Wachawi wanapika chakula changu

    Niko Mwananyamala A hapa, pa kigagula mmoja aitwa Bi Mandela (hili ni jina kificho, sio halisi) . Jamani najuta kuishi katika nyumba hii.. Kuna vimbwanga vingi vinatendeka, wakati mwingine waamka alfajiri nyumba nzima imetapakaa kinyesi, ñya mbichi kabisa. Leo nimeenda sokoni, nimenunua bata...
  9. Nabii kiboko ya wachawi, naona anafanya maigizo

    Samahani nabii Kiboko ya uchawi, mbona nakusikiliza hapa hii kama futuhi? Aiseee huu ni mchezo wa kuigiza kabisaaa. Eti bibi katoka kijijini amefikia Kwa mwanae, Kuna watoto watatu wamefariki, wawili walishazikwa na Sasa Kuna msiba wa mtoto mwingine,baada ya kumpigia simu nabii ndio anasema...
  10. Tupia kauli za wachawi wa Yanga baada ya mechi ya Simba na Al Ahly

    Utopolo walienda na matokeo uwanjani. Walidhani Simba itafungwa. Haikua hivyo. Kauli zao kwa Sasa ni: 1. Simba asanteni kwa kushiriki. 2. Wakienda Misri watapigwa nyingi. 3. Ingekua Yanga tungeshinda goli 5 kama za KMC. 4. Al Ahly wa kawaida sana. 5......... 6......... NB: Uto mko kundi moja...
  11. Wachawi kutumia wanyama wanafanya kile wafuasi wa Mungu walichoshindwa kufanya

    Wachawi wanaweza kupanda mkuki, ufagio au ungi wakasafiri hadi nje ya bara kwa sekunde. Wanaweza kuwaamrisha fisi, mamba, paka, mijusi hata mbwa kufanya wanachotaka wakati wowote bila kubisa. Ni aibu kubwa mtu kujiita mfuasi wa Mungu mwenye nguvu zote wakati huna uwezo kwa Kucheza na vitu vya...
  12. Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

    Kazi unafanya lakini hutoboi Kusoma umesoma lakini huajiriwi Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless. Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi. Wachawi watu wabaya sana.
  13. Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Nimekuwa kqnisani nikajifunza jambo la ajabu. Wafanyabiashara na waajiriwa wakubwa ndio wasiopenda maombi na kufunga. Wengi hata wakati wa mambo siriasi ya kiroho hawana muamko nayo. Huko kwenye biashara na ofisini hawa jamaa wanatoboa vipi? Maana kwa uzoefu wangu hata ukifungua kigenge...
  14. Mauzauza nyumba ya kupanga sio uchawi wala wezi, ni wenge langu tu!

    habari zenu wana JF, I hope ni wazima wa afya kabisa na wenye matatizo mbalimbali mungu awapone, ameen. Kuna kisa kimoja kuhusu hizi nyumba za kupanga, tunaishi bila kuyaelewa vizuri mazingira na kupelekea kuwa na hofu na kuwaza vitu vibaya. Nakumbuka niliahamia kwenye nyumba moja mtaa X ile...
  15. Yakitokea mashindano kati ya wachawi konki na walokole konki, ni wepi watashinda?

    Shindano liwe la wazi na lifanyike kwenye uwanja wa wazi, kina Mwamposa, Kuhani Musa, na walokole wengine konki, wakashindane na wachawi konki kama Mshana Jr, Bujibuji Simba Nyamaume na wengine. Wachawi wamvimbishe tumbo FaizaFoxy au wamkate kichwa Lucas mwashambwa , au wampige busha THE BIG...
  16. Mfahamu 'Kamchape' mkamata wachawi na shughuli zake kwa ujumla kutokea hapa Mkoani Kigoma

    Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma. Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
  17. W

    Nilichezewa na wanga kijiji cha Chiuta mpaka wachawi wenyewe wakawa wananicheka tukionana mtaani!

    Harakati za maisha zilinifikisha kijiji kinachoitwa Chiuta huko mkoani Lindi. Kijiji kipo eneo fulani ndani na uwanda wa juu (Makonde plateau) kama unaelekea Tandahimba ukitokea mji wa Mtama (kwa watoto 😆😆😆). Miaka yangu michache niliyoishi kule nikifanikisha jambo fulani hivi, aisee...
  18. Je ni kweli mashujaa FC wa Kigoma ni wachawi?

    Kwa Ujumla jibu ni HAPANA. Namna ya ushangiliaji wa Mashujaa FC umekua ukihusishwa na imani za uchawi jambo ambalo kiuhalisia siyo kweli bali ni namna ya kujitofautisha na ushangiliaji wa Mashabiki wa timu nyingine. Tuanzie kwenye logo ya Mashujaa FC ukiiangalia ni logo inayotambulisha...
  19. Jinsi nilivyolazwa nje na wachawi mkoani Njombe

    Shalom wapendwa, Leo nimekumbuka kisa hiki, kilichonitokea mwenyewe nikiwa katika harakati Mkoa wa Njombe. Narudia tena hii sio stori ya kufikirika imenitokea mwenyewe. Uchawi hauna faida yoyote ni ujinga uliokomaa, ni utumwa. Walio wachawi wanamani kutoka ila there is no way out there...
  20. Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

    Hawa wanga mbaki kuwasikiaga tu na kama huamini hawa watu wapo basi ni dhahiri wewe si mkristo wala muislamu maana haya mambo yapo kwenye vitabu vyote, na hata kwa mila zetu waafrika hawa wanajulikana kwa kuwa miiba katika maisha ya watu enzi na enzi, Ni mwaka 2014 ndio kwa mara ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…