wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nyerere aliwashtukia hawa Machawa na mafisadi. Alijua mwishowe wangekuja mgeuka tu

    Walikuwa wanamwambia "Mzee hii nchi umetoka nayo mbali, bila wewe itakufa. Bila wewe haitakuwepo tena. Using'atuke wewe ndo alpha na omega umepambana sana" Akajua haya manyang'au yanajisemea yenyewe.yanataka yaendelee kujineemesha na wizi. Alijua hayana lolote la ukweli. Akaangalia mabadiliko...
  2. JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi aamua kuwaanika manabii wenzake, lengo ni nini?

    Jamaa inaonekana bado hajaridhika kutimuliwa. Sasa anamsema kila mtumishi mwenzake maarufu wa Tanzania japo kwa mafumbo. Anasema mzee wa ubungo ni tapeli wa kutupwa na ni mtu wa system. Kuhani Moses wa temboni anadai amewahi kufukia jeneza uwanjani Mbagala akaweka alafa kwenye mkutano...
  3. JamiiForums Tanzania Swali la ufahamu; kwa kuwa Mchungaji Magembe anakiri familia yao walikuwa wachawi balaa, kuna uhakika gani kwamba yeye hakurithi?

    Nimekuwa nafuatilia habari za mchungaji Magembe, na kuna mahali alitoa historia ya familia yao kwamba walikuwa wachawi balaa. Je hakurithi? Nani ana uhakika? Na Je ndio chanzo cha ugomvi wake na Kanisa labda wenzake wanataka arudie asili?
  4. JamiiForums Tanzania Nataka niandae pambano la kushindanisha nguvu kati ya walokole vs waganga, wachawi, na waotumia nguvu za giza

    Ukipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga. Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka. Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa karibia wote ni wachawi. Makonda asibagazwe kwa kauli yake kuwa mama anarogwa sana.

    1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma. 2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio...
  6. JamiiForums Tanzania Yanga msitafute wachawi wachawi wenyewe..wale wachezaji wanarekodiwa wako bar Masaki siku 3 kabla ya mechi mkaona starehee nabado

    Yaaan shida ni maadili YAAN KUNA video zilisambaa kibaoo za Azizi pakome na baadhi ya wachezaji wakiwa bat siku tatu kabala ya mechi Aikutosha ilikuwa mechi nyingine wakaonekana wako bar Moja pale Morocco na wahuni WA like wakichezewa SEHEMU zao. Hii ya masakii pakome alilizwa dollar 5000 na...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

    Yes! No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message. Hii hapa... Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani? And the rest is this thread. Keep it Up
  8. JamiiForums Tanzania Wanga, wachawi na mizimu huwa hawafanyi mambo yao mchana?

    Kwa nini wanga, wachawi na mizimu huwa kuonekana kwake ni usiku tu? Kila nikisikia stori za haya mambo ni mtu alikuwa amelala usiku, usiku watu walikuwa wanapaa na ungo ndio likatokea jambo, usiku mtu alikuwa anaendesha gari. Majini tu ndio huwa nasikia stori zake yakiwa yanafanya mambo yao...
  9. M

    JamiiForums Tanzania HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

    Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
  10. JamiiForums Tanzania Maji Marefu Kiboko ya Wachawi

  11. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho Mwafrika alichobobea. Mambo ya kufirika fikirika. Leo atagundua Kiboko ya wachawi ni tapeli kesho anaenda kwa kiboko ya majini

    Maisha yaendelee...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Je, ulikuwa unalijua hili kuhusu Wachawi?

    Mchawi anaweza kuwa baba yako au mama yako, naye aririthishwa uchawi na baba yake au mama yake, na uchawi unaweza kurithishwa hata bila wewe kujua ukajikuta tu umeshakuwa mchawi Na wachawi wengi katika familia ni wanawake na hupenda kuwarithisha watoto wa kike, unaweza kuishi na mama yako mzazi...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu ya kuita wanawake wazee "wachawi" Vigagula.

    Mwaka 1885 mwandishi H. Rider. Haggard aliandika kitabu King Solomon's Mines. Ndani ya kitabu hicho kuna kibibi kizee mmoja mwenye hila na katili sana. Jina lake Gagool. Mwaka 1966 kitabu hicho kikatafsiriwa kwa kiswahili kikiitwa Mashimo ya Mfalme Sulemani. Jina Gagool likatafsiriwa kama...
  14. JamiiForums Tanzania Live:Ibada ya mpenyo wa kifedha na nabii kiboko ya wachawi

    https://www.youtube.com/live/YnZrlTCDEQc?si=K0IFuAjemyfD9BKZ Karibuni
  15. JamiiForums Tanzania KWA KIBOKO WA WACHAWI PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA .ASKOFU EDWARD AMEPANUNUA

    PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂 ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇 "TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni asema anachofanya “Kiboko ya Wachawi” anathibitisha kuwa alikuwa anafanya utapeli

    Serikali ya Tanzania imeweka wazi sababu ya kumfukuza nchini Kiongozi na Mchungaji wa Kanisa la Christian Life maarufu ‘Kanisa la Kiboko ya Wachawi’, Dominique Dibwe kwa kukiuka misingi na mafundisho ya Vitabu Vitakatifu sambamba na kutoa wito kwa wahubiri wengine kufuata mafundisho ya Vitabu...
  17. JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi: Kanisa ni katoliki mengine ni vibanda tu

    Habari JF, Hapa pastor Dominic -kiboko ya wachawi alikuwa na maana gani? Je, na yeye alikuwa ana miliki kibanda? Je, hii kauli ina ukweli kiasi gani?
  18. JamiiForums Tanzania 'Afande' Fatma Kigondo anayedaiwa kusaidia Binti wa Yombo afanyiwe Ukatili wa Kingono afunguliwa Kesi ya Jinai

    DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi. Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tumeridhika kabisa na Dharau, Kejeli na Matusi anayotufanyia sasa Tapeli wa Kiimani 'Kiboko ya Wachawi' akitokea huko Kwao Congo DR?

    Sasa ni rasmi Watanzania wachache waliokuwa Wakimuamini wametuponza mno Watanzania wote kwa anayotufanyia.
  20. JamiiForums Tanzania Haiwezekani kumrudisha Kiboko ya Wachawi nchini Tanzania na kumfungulia mashitaka?

    Kwa namna huyu jamaa anavyowananga watz, hivi Serikali imekosa kosa lolote analoweza kuwa alifanya, hata money laundering au lolote tu analoweza kufunguliwa hapa, tukatuma maombi ya extradition Congo akarudishwa hapa. Manake ni wazi ametapeli wabongo wengi sana. DPP na DCI tuseme hamjaona kosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…