wachawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unga wa muhogo na usembe ni dawa za kuwaona wachawi

    Nilikuwaga siaminigi uchawi mpaka nilipowaonaga live nilivyoenda tabora mayombo .kwanza kwenye bati unasikia mchanga unachuruzika na vishindo mwenyeji wangu akaniambia wachawi hao nikambishia kwamba wachawi hawapo akanipa unga wa muhogo nipake usoni ila akanipa tahadhari nisipige kelele wachawi...
  2. 'Kiboko ya wachawi' anatutukana sana watanzania

    Kama utapitia mtandaoni hasa tiktok utakutana na mtu anaeitwa KIBOKO YA WACHAWI, huyu anatutukana sana na kutudharau. Lakini kwanini amefika hatua hii japo nimekuja kumfahamu/kusikia baada ya kufukuzwa,kwamba alikuwa anachukua laki tano tano ili kumuona. Kuna muda mpaka mtu unapigwa na...
  3. Wachawi wa nchi hii naombeni msaada wenu

    Kila nikiwaza hatima yangu na ya taifa langu naona njia nyingi haziwezi kutuletea suruhu Mfano njia za Kisayansi/teknolojia Sisi kama taifa bado tupo nyuma sana hatuna mbinu Bora za kisayansi za kutuwezesha kutatua changamoto zinazotukabiri, Kisiasa/kidemokrasia Kwenye siasa naona...
  4. Wachawi wa miaka ya 90 waliokuwa wanaloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati kijijini watoto wao ndo wanaendeleza chuki kwa viongozi sasa

    Chuki kwa viongozi ni matokeo ya maandalizi finyu ya wazazi wetu, either wazazi wetu walikataa shule wakashindwa kusoma na kupata ajira wakati wa Mwinyi au wazazi wetu ni wale ambao walikuwa wachawi Kijijin ambao kazi yao ilikuwa ni kuloga Kila mtu anayejenga nyumba ya bati Kijijini sasa ndo hao...
  5. Bishop Gwajima ajikite kwenye siasa aachane na propaganda za Shetani (misleading) kwasababu hamjui na wala Shetani hachunguziki

    Bishop Gwajima anaishi maisha ya kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi pamoja na propaganda za Shetani (misleading) badala ya kujikita kwenye siasa Kuchonganisha familia za watu kuwa zina wachawi na propaganda za Shetani, kuzungumza uongo ili aonekane anamjua sana Shetani ni sawa na...
  6. Wachawi

    Ni kwanini watu wachawi huwa wanajifanya wana upendo sana? Utakuta kama ni kanisani/ Msikitini wao ndio mstari wa mbele kuhudhuria ibada zote, kutoa michango mbalimbali , kukarimu wageni hapa kwenye kukarimu wageni huwa mstari wa mbele hata kama kumeshapangwa Shekhe au Mchungaji atakula wapi...
  7. Mashindano ya wazi ya Washika Dini na Wachawi. Mshindi kundoka na laki 5

    Shalom shalom Kama unajijua na kujinasibu wewe urogeki umeshika sana dini unakaribishwa kiingilio ni bure kabisa uwe Muislamu au Mkristo dhehebu lolote cheo au hadhi yeyote njoo kwenye shindano hili. Pia kama wewe unajijua mchawi konki na unaweza ongeza nguvu katika kikosi cha wachawi ambao...
  8. Hukumu ya Mwisho itakua kwaajili ya Wachawi, Wazinzi na Wote Wanaofanya dhambi za machukizo mbele za Mungu

    Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu. 1. Wachawi Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
  9. Hivi ina maana wachawi hawapo kabisa JF?

    Mbona hamjawahi jitokeza kutupa Elimu,mlianzaje,mkakomaaje,mnafanyaje na mnafaidikaje au mnababukaje na maombi ya watu wenye Imani ya kweli? Nimeona mpo kimya sana au ndiyo kujisahaulisha tu?
  10. Ishara kama Aina za Wachawi

    Mchawi wa moto Huzingatia vipengele vitano, hufanya kazi kwa kuchoma vitu Kuwasha mishumaa, Kuchemsha maji nk. Mchawi wa Kijani Hupendelea matumizi ya mimea katika kazi zake, vitu vya kiasili sana na ardhi. Mchawi wa Kioo Hufanya kazi na mawe, fuwele, vito vya uponyaji na Tahajia zingine...
  11. Alianza Kiboko ya Wachawi sasa Tony Kapola naye kuwadharau "Wajinga wanaoamini kwenye Manabii Fake"

    Habari za Sabato! Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa. Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa mchango. Kapola ni wachungaji wa mchango hilo hata yeye analijua na mara nyingi anakiri hilo kwenye...
  12. Hivi hiki kitu kinaitwa sleeping paralysis ni cha kweli au ni wachawi wanafanya yao

    Hiyo inqyoitwa sleeping paralysis inachagua siku za kukukuta?,ingekuwa ni sleeping paralysis nadhani tungekuwa tunai-experience mara nyingi zaidi,kwa nini isiwe inatukuta kila siku tunapolala badala yake inaweza ikakukuta mara 2 kwa mwezi,wewe endelea kuamini ni sleeping paralysis kumbe wasihiri...
  13. Wachawi wamefanikiwa kuniogopesha kulala ghetto

    Aisee wakuu,...ndugu yenu saivi yapata siku ya nne silali kwa amani kabisa. Siku ya jana nikiwa tayari nimesinzia nilishtushwa na kitu ambacho kilikuwa kinanitambaa mkononi kinaanzia kwenye vidole hadi begani.,bhasi nikashtuka nikarusha shuku,nikajipangusa kwa kiwewe huku naweweseka,,nikawaza...
  14. Baadhi ya wachawi wanaaminika kuwa na uwezo wa kuzungumza na wafu ili kupata maarifa ambayo wao huita hekima

    'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza. Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
  15. Usioe au kukaa na binti bila kumpiga radar wengi ni mapilot na wachawi sugu

    Wasalaam We ukota binti humjui katokea wapi unaweka ndani au unaendeshwa na nyege unaoa utaumia wengi mapilot wa fighter jet za kichawi, walisha misukule (makuruti katika uchawi) na wengine ni makomandooo wameanza toka wakiwa na miaka 6. Sasa wewe endelea kuokota okota lakini Jua upo na kwenda...
  16. Wachawi ni noma hicho kimetoka kitandani anapolala mamaangu

    Braza mshana hii kitu ni nini. WanaJF kweli Mungu yupo na uchawi upo yani hapo tumefungwa familia nzima kuanzia mama na wanae wanne ilikua DO or DIE Kwa mujibu wa waganga wanne ni kwamba kisingetolewa ilibdi familia nzima tuondoke tuame nyumba (wao) wakapange lasivo damu ingemwagika
  17. Ifike mahali " Wachawi" Wa Tanzania waelimishwe kwamba Mtanzania kwenda Marekani sio achievement

    Ni binti mtoto wa Single Mother masikini mama ntilie. Kasoma kayumba kuanzia primary hadi Six..Kaenda UDSM kapiga first class kapata full scholarship ya Masters in a prestigious University in the USA. Watoto wa kike kama mnavyo wajua tena, alipo fika US akawa anapiga Sana picha yupo Marekani...
  18. Kwanini Biblia imewapiga vita wenye Pepo wa Utambuzi? Na tofauti yao na wachawi ni ipi?

    Kwenye biblia agano la kale utaona ya kwamba Bwana alitukataza kuambatana na wenye pepo ya utambuzi na akatukataza pia kuambatana na wachawi, ili tusipate unajisi. Kwa maisha ya sasa, tumeona ya kwamba bado tuna watu wenye pepo ya utambuzi (sasa sijui hawa ndo waganga?) Na si kuna hawa manabii...
  19. SIKUKUU YA WACHAWI (MBINA) BARIADI LEO TAREHE 31/05/2025

    Unataka kuona uchawi njoo bariadi. Kuna Wagalu, Wagika na Wazuna Ikinyesha mvua ujue Wagika wameshinda na jua likiwaka ujue Wagalu wametoboa. Unataka kuona Fisi wanao ongea na wenye namba kama magari, njoo bariadi Unapenda kuona mtu akipaa na Ungo, sogea bariadi Unataka kuona mawe...
  20. E

    The Rise of Princesses: The Last Princess Of Peru

    SURA YA KWANZA: DAMU YA UFALME Mimi ni Triza, binti wa saba wa Mfalme Himza wa Peru. Katika kasri letu kubwa lenye kuta nene za dhahabu na mawe mazito, mimi na dada zangu tumeishi maisha ya hofu chini ya kivuli cha baba yetu. Dada zangu ni Adira, Sayina, Miran, Elvya, Kiyara, na Zafrina. Mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…