👉🏾Asubuhi, redio zinawashwa utasikia "Simba leo wamelala," "Yanga wameng'ara," "Mechi ya marudiano itakuwaje?" Saa nne bado tuko hapo, mchana hadi jioni, sauti za mpira, kamari, na kubeti zikitawala. Mtangazaji anapaza sauti, lakini si kwa kilimo, si kwa viwanda, wala kwa elimu ya uzalishaji...