wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

    Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
  2. L

    Usawa kwa Waandishi wa Habari: Wabunge Wanahitaji Elimu ya Msingi Tu, Lakini Waandishi taaluma Certificate etc.? Hii Sio Haki! Uchaguzi 2025

    Wananchi wa Tanzania, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni wakati muafaka wa kuangazia masuala ya msingi yanayohusu haki, usawa, na maendeleo ya taifa letu. Moja ya changamoto kubwa inayopaswa kushughulikiwa kwa dharura ni tofauti kubwa ya viwango vya elimu vinavyohitajika...
  3. Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  4. GE2025 Kigaila awajia juu wanaosema 'no reforms no election' asema walikuwa wabunge kwa sheria hizi hizi

    "Sheria hizihizi zimetupeleka bungeni, wote wanaosema 'no reforms no election' wamekuwa wabunge miaka 10, miaka mitano na sheria hizihizi, zilitufanya tukiwa CHADEMA tukafika wabunge 72, na madiwani 1108 sheria hizihizi. Kinachotakiwa, kuwe na sheria mbaya, kuwe na sheria nzuri, kushinda...
  5. Majukumu ya wakurugenzi wapewe wabunge

    Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia...
  6. GE2025 Salum Mwalimu: Mim na Ado ni wabunge kwenye bunge lijalo

    "Nitakuja Tunduru kufanya Mkutano na Mkutano wangu wa Tunduru nitatamani niambatane na Katibu Mkuu mwenzangu, Kaka yangu Ado Shaibu tuje tungurume hapa. Leo ilikuwa nije naye, yule ndio pacha wangu, yeye akicheza 11 mimi namba saba na tumekubaliana mwaka huu Mimi na Ado Shaibu kiwake kisiwake...
  7. PreGE2025 Heche: Nikiwa Mbunge kwa mwezi tulilipwa Sh 12.7m, sasa nadhani wanalipwa Sh 18m

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
  8. Mjadala halisi wa wabunge la Ulaya kuhusu demokrasia za Afrika

    Hapa unaweza kujionea mwanzo mwisho wa kilichodiliwa jana kuhusu demokrasia za nchi zetu. https://www.youtube.com/live/UKi9Fg-SmT8?si=kWlHqF6ElFu-bIDb
  9. R

    GE2025 Mchungaji: Napata shida kuona wasomi na wabunge wakisema Rais Samia Mitano tena, msidanganye, mwenye kibali ni Mungu

    Mchungaji ameongea kwa hisia kali, lakini ni muhimu tukumbuke kuwa tayari Rais Samia alishatoa katazo mahsusi tusichanganye siasa na dini Katika mahubiri yake akiwa kanisani, mchungaji huyo alizungumzia uchaguzi ujao, akieleza kushangazwa na wasomi na baadhi ya wabunge wanaoanza kampeni za...
  10. S

    Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  11. Mfumo wa Uteuzi wa Wabunge ndani ya CCM unatoa changamoto kubwa, Rushwa na hauna haki katika kujenga demokrasia ya kweli nchini Tanzania

    Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
  12. Status ya wabunge waliohama kutoka CDM kwenda CCM

    Wadau tupeni updates za wabunge waliotoka CDM kwenda CCM hasa wale walionunuliwa kipindi cha Magufuli. 1.David Ernest Silinde-Momba 2.Patrobas Katambi-Shinyanga Mjini 3.Mwita Waitara-Tarime Vijijini 4.Godwin mollel-Siha 5 .Ester Bulaya-Bunda 6 Ester Matiko-Tarime Mjini 7.Upendo Peneza-Geita...
  13. C

    Yamkini Wabunge wa hovyo hovyo watapitishwa ili waingie bungeni kuipeleka ajenda ya Samia for life

    Huenda Ndicho kinacho sukwa kwa sasa. Mtazinduka mmesha jikojolea tayari.
  14. Tuna majimbo 272 ya ubunge, kwa nini tuna wabunge karibia 400 bungeni?!

    Amos Makalla anasema tuna majimbo 272 ya uchaguzi sasa inakuaje tunakuwa na wabunge 393?! Hii ni demokrasia ya aina gani ambapo bunge linajazwa watu wasio na majimbo yoyote ya uwakilishi? Tunahitaji kubadilika
  15. S

    Hawa Wakenya wabunge wetu waliosema hawana akili kama sisi Watanzania ndio sasa wanatusaidia ndege za ujasiri wa Tanzania kwenda Ulaya!

    KQ to support Tanzania aviation industry National carrier Kenya Airways (KQ) is in talks with Tanzania to support its aviation industry after it was banned by the European Union (EU). The European Union (EU) banned Tanzanian airlines from operating in its airspace in early June over safety...
  16. Je Hawa wabunge nao tayari wamechukua form za kugombea?

    1;Mh Mohammed Mchengerwa 2;Mh Josephat Gwajima 3;Mh Luhaga Mpina 4:Mh Kishimba 5 Mh Steven Byabato 6: Mh Ummy Mwalimu 7: Mh Angelina Mabula 8: Mh Abood 9;Mh Job Ndugai
  17. Kuna Jamaa humu ukiwasoma kichwani unaona.... Wanafaa kuwa Wabunge tu maana kwa akili zao hamna jambo la maana wanaweza kufanya

    nafasi ambayo ni rahisi sana kuipata kwa sasa na ambayo haina changamoto yoyote kwa kazi zake. mtu yeyote anaweza fanya ni Ubunge kwa sasa. hii ni nafasi ya kutumikia wananchi kirahisi sana ambayo mtu yeyote as long as anajua kusoma na kuandika anaweza igombea na kupata. kuna watu humu ukisoma...
  18. Wabunge waondolewe jukumu la kutunga sheria - DP World & Madini wameua kisheria

    Kwa yaliyotokea Bunge linalomaliza muda wake kwa kupitisha Sheria ya kuuza rasilimali za Taifa kwa wageni (DP World, Madini na mbugan/misitu). Nadhan wabunge wabaki na jukumu la kuitetea Serikali tu linawatosha. Wakimaliza walipwe pensheni Hata bilioni 2 wawaze mengine
  19. Elon Musk alaani utawala wa Trump kwa kutengeneza bajeti mbaya ya nchi kihistoria, aapa kuwanyoosha wabunge wote walioipitisha

    Elon Musk anasema bajeti ya serikali ya Trump maarufu kama "Big Beatiful Bill" iliyopitishwa na bunge linaloongozwa na Republicans ni ya hovyo kuwahi kutokwa na itavunja rekodi kuongeza deni la Marekani kwa $Trilioni 5 zaidi. Aanasema nchi hiyo ni kama inaongozwa na chama kimoja cha nguruwe na...
  20. Kama Samia hadaiwi na wabunge nao hawadaiwi

    Kuna msemo maarufu wa machawa wa CCM kuwa Samia Suluhu Hassan kwa aliyoyatenda kwa watanzania hadaiwi popote na watanzania. Lakini Samia hakuyafanya aliyoyafanya akiwa peke yake bali alisshirikiana na wana CCM wenzake wabunge wakiwemo. Sasa kama Samia hadaiwi, inakuwaje wabunge waliomsaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…