Kama Samia hadaiwi na wabunge nao hawadaiwi

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,883
Reaction score
50,732
Kuna msemo maarufu wa machawa wa CCM kuwa Samia Suluhu Hassan kwa aliyoyatenda kwa watanzania hadaiwi popote na watanzania.

Lakini Samia hakuyafanya aliyoyafanya akiwa peke yake bali alisshirikiana na wana CCM wenzake wabunge wakiwemo.

Sasa kama Samia hadaiwi, inakuwaje wabunge waliomsaidia kutodaiwa wao wawe wanaodaiwa kwenye majimbo Yao?
 
Kama hawadaiwi ni vema wakamfuata mama yao mapumzikoni (Kwa mujibu wa Taarifa mpya)
 
😳

Maana kama watu wa Korogwe kwa mfano hawana deni na Samia, ni kwa nini wawe na deni na mbunge wao?

Na kama alivyosema Adverse Effect kuwa kama Samia hadaiwi na nchi pia haidawi na zile trilioni 107 zinazosemwa tunadaiwa basi nazo siyo habari ya kweli!!
 
Kuna msemo maarufu wa machawa wa CCM kuwa Samia Suluhu Hassan kwa aliyoyatenda kwa watanzania hadaiwi popote na watanzania.

Lakini Samia hakuyafanya aliyoyafanya akiwa peke yake bali alisshirikiana na wana CCM wenzake wabunge wakiwemo.

Sasa kama Samia hadaiwi, inakuwaje wabunge waliomsaidia kutodaiwa wao wawe wanaodaiwa kwenye majimbo Yao?
Jimbo la kawe barabara mbovu, hiyo hadaiwi ni scams
 
Back
Top Bottom