wabunge wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Kuanzishwa kwa umoja wa wabunge wa CCM wa chini ya umri wa miaka 45, Ni ishara mbaya kwa waliouringia ujana 2015

    Jogoo limewika Dodoma, wabunge vijana wa CCM wenye umri chini ya miaka 45 wameanzisha umoja wao. Umoja huo umezinduliwa leo ktk Mkutano wa 13 kikao Cha 10. Manaelewa kwanini ni wenye chini ya miaka 45 pekee? Wale wagombea Urais ndani ya CCM 2015 na kuuringia ujana, Sasa wadogo zenu wamekiwasha...
  2. The Burning Spear

    Orodha ya Wabunge wa CCM ambao hawatarudi Bungeni 2025

    Hi great Thinkers. Kuelekea 2025 Naomba tuwape Taarifa wabunge amabao hawarudi bungeni wajiaandae kisaikolijia Japo baadhi wamesha declare.. Tuna Wabunge wengi zaidi ya 300 ila mimi naanza na hawa. 1. Job Ndugai. 2. Kassim Majaliwa. 3. Bashiru Ally 4. Paramagamba Kabudi. 5. Lukuvi 6...
  3. peno hasegawa

    Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

    Haya sasa. Mwisho wa siku mkataba utabakia kuwa wa Samia tu. ==== Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini Mhe. Robert Chacha Maboto, amesema hakuuelewa Mkataba wa PD WORLD alipokuwa bungeni.
  4. Kichwamoto

    Je, wabunge wa CCM wenye akili wametishwa kutoa maoni mkataba wa Bandari?

    Habarini nyote, Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu. Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic. Hadi wabunge makini...
  5. Chachu Ombara

    Elibariki Kingu: Wabunge wa CCM tuko vizuri kichwani, tusingezeweza kupitisha mkataba usio na maslahi kwa nchi yetu

    Mbunge wa jimbo Singida Magharibi, Elibariki Kingu amejigamba kuwa wabunge wa CCM si wa mchezo linapokuja suala la matumizi ya akili, amesema kuwa mkataba uliopitishwa Bungeni ni salama kwa maslahi ya taifa Wabunge wa CCM tuliopitisha Mkataba wa Uwekezaji Bandarini tuko vizuri kichwani, pale...
  6. peno hasegawa

    Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
  7. peno hasegawa

    Wabunge wa CCM wakirudi Majimboni wanakwenda kuwaeleza nini wapiga kura wao kuhusu DP WORLD kununua Bandari zote Bara?

    Nimejaribu kufikiria hili swali sijapata majibu. Mfano wabunge wa Mkoa wa Dar es salaam wanakwenda kuwaambia nini wapiga kura wao kuhusu kuuzwa kwa Bandari zote? 2. Mbunge wa Jimbo la Hai huko Kilimanjaro wapiga kura wake wamemkataa tangu apitishe mkataba wa kuuza nchi. 3. Mbunge wa Arusha...
  8. R

    Wabunge wa CCM wanaojitambua wameamua kutoingia Bungeni kupitisha Azimio la kuuza Bandari; bunge lipo tupu

    Hii nchi kuna mambo sensitive ambayo waliopewa dhamana wameamua wasiyasimamie. Leo kuna mjadala wa kukodishwa bandari, jambo nyeti kama hili lakini wabunge wa CCM awapo bungeni wapo mtaani wanapiga kamnyweso wakiangalia bunge kwenye TV. This is not sawa kwa kweli, natambua wengi wamekwepa kuwa...
  9. Tindo

    Wabunge wa CCM walipitisha kuuzwa kwa gas yetu, tena kwa hatua ya dharura

    Ifahamike wabunge wa CCM hupitisha chochote kitakiwacho na serekali. Ushahidi wa kuuzwa kwa raslimali zetu kwa hilo bunge rubber stamp uko wazi ikiwemo gas yetu. Leo tutarajie uhuni zaidi.
  10. H

    Tetesi: Mkataba wa Bandari: Wabunge wa CCM waitwa kikaoni kesho Mchana, Juni 9, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka Dodoma ndani ya Wabunge wa CCM ni kuwa kesho Ijumaa tarehe 09/6/2023 wametumiwa ujumbe wa wito wa kushiriki kikao cha Wabunge wa CCM - Party caucus Kwa ajili ya kuweka msimamo juu ya kupitisha azimio la mkataba wa Serikali na Dubai. Kikao hiki kimeitwa siku moja kabla...
  11. Idugunde

    PreGE2025 Mwaka 2025 watanzania tuchague wabunge wa CCM pekee maana CHADEMA na wenzoo ni sehemu ya CCM

    Hakuna upinzani sasa. Maana sio Chdema au wenzao wote ni sehemu ya CCM. Hili la maridhiano ni porojp tu na hizi ni uganga njaa wa kisiasa. Sasa kwa nini tuchague vyama ambavyo ni CCM b, c au d. Bora kuchagua CCM yenyewe tu kuliko kuchagua wanaoigiza upinzani feki Najua wanaChadema wengi...
  12. The Burning Spear

    Wabunge wa CCM Wanamlalamikia Nani Bungeni?

    Hili Bunge la chama kimoja ni hovyo kabisa watu hawakabani mashati Najiuliza CCM ni watawala wako wenyewe wanaisimamia serikali. Afu madudu yakifanyika Wanalalamika. Asa Nani awasaidie? Kwa niñi wasichukue hatuna mara moja. Unajua kujidunga sindano mwenyewe ni kazi ngumu sana inahitaji...
  13. B

    Kenya kushindwa kutekeleza maazimio ya Eneo moja la forodha

    6 October 2022 Namanga, Kajiado Kenya KENYA KUSHIDWA KUTEKELEZA MAAZIMIO YA ENEO MOJA LA FORODHA / SINGLE CUSTOMS TERRITORY, KUMELETA KERO KUBWA WaBunge 'wasomi' kutoka Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki, hili nalo kwa kushirikiana na serikali mkalitatue jambo hili la Eneo la Forodha...
  14. Pascal Mayalla

    Lijue Bunge la Afrika Mashariki na Jee Uchaguzi wa Wabunge wa CCM EALA Ulikuwa ni Uchaguzi Kweli Au Kiini Macho cha Uchaguzi?

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa, inaendelea na makala elimishi za kuijua Jumuiya ya Afrika Mashariki, leo ni makala elimishi kuhusu kulijua Bunge la Afrika Mashariki, EALA na kiini macho cha uchaguzi wa Wabunge wa EALA wa Tanzania uliofanywa na Bunge letu...
  15. E

    Je, kwa mara ya kwanza bajeti ya 2022/2023 kupitishwa na kura chache za wabunge wa CCM?

    Tumezoea kuona mara nyingi inapofikia wakati wa kupiga kura kupitisha bajeti ya Wizara ya Fedha., wabunge karibia woote (99.9%) wa CCM huipigia kura ya NDIYOOO kuiunga mkono hata kama hoja zao za msingi hazikujibiwa kwa usahii, ukiachilia mbali wale wa upinzani (sio kwa bunge la sasa) ambao...
  16. J

    Kuna mtu alishawahi kupata hii mikopo ya 10% ya Halmashauri inayotetewa sana na wabunge wa CCM Bungeni?

    Wakuu niaje, kuna mikopo ambaypo fedha zake hutengwa kwenye asilimia 10 ya mapato ya halmashauri, mikopo hii inaelezwa inatolewa kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu. sasa kwenye bajeti ya mwaka huu imependekezwa kwenye huo mkopo badala ya kutolewa asilimia 10 ya mapato, itolewe tu...
  17. Nyankurungu2020

    Wabunge wa CCM kumpigia debe January Makamba kwa namna alivyofeli ni kuwakebehi na kuwadharau Watanzania

    Hivi kweli huyu Makamba ni wa kumpigia debe kwa kejeli namna hii? Eti inafikia hatua baadhi yenu mnadai sasa Msambaa kapewa zigo na amelifikisha hii ni kebehi kubwa. Mpaka sasa nishati ya umeme ni tatizo hapa nchini. Maana kila siku ni umeme kukatika hovyo. Tangu awe waziri ni harufu ya...
  18. B

    Watumishi Mliosema upinzani wa kazi gani Tanzania natumai mmeona wabunge wa CCM wanavyowapigania Bungeni.

    Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK alikuwa anawaona wapinzani Bungeni kama watu wasio na uchungu na nchi hii na wasiofaa kuwepo. Baada...
  19. S

    Ukiacha ubunge wa Halima Mdee na wenzake, hivi hata wabunge wa CCM ni halali na serikali hii pia ni halali?

    Sometimes tunapohiji uhalali wa kisheria wa ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18, huwa najiuliza ina maana wabunge wa CCM waliopo Bungeni ni halali? Mimi naamini 2020 hatukuwa na uchaguzi, hivyo hata wabunge wa CCM na serikali nzima si vyombo au taasisi halali, kwahiyo kutegemea Spika atasema...
  20. Baraka Mina

    Dkt. Tulia Ackson apitishwa kwa kauli moja na Wabunge wa CCM kugombea uspika

    Kikao cha Kamati ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (party caucus) kilichofanyika leo tarehe 31 Januari 2022 chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg. Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa na Waziri Mkuu wa JMT katika ukumbi wa White House Makao Makuu...
Back
Top Bottom