waarabu

  1. Sudan nao washtukia ushenga wa Marekani baina ya waarabu na Israel

    Yule msomi wa kimarekani aliyepewa sifa kubwa Sudan na kukabidhiwa serikali ya mpito baada ya kuanguka kwa Omar Albashiri na ambaye wiki kadhaa zilizopita aliponea chupuchupu kufa kwa bomu barabarani,jina lake Abdalllah Hamdouk, sasa naye ameishtukia diplomasia ya Marekani. Wiki iliyopita...
  2. Waarabu sio watu wa mchezo, itachukua muda sana kuwafikia. Sasa wanasajili wachezaji kutoka UK

    Kutoka UK mpaka Kwa MAFARAO Klabu ya Pyramids ya nchini Misri inatarajia kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Misri, chini ya miaka 23, Ramadan Sobsi kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Huddersfield Town ya Uingereza kwa dau la Dola milioni 5 (Bilioni 11.620 Tshs) Mkataba wa mkopo wa Sobhi...
  3. Wanawake wa Bongo acheni kushobokea Waarabu

    Wanawake wa Bongo bhana wa ajabu sana yaani wanashoboka sana kwa Waarabu. Mimi nawaona sana hasa tukiwa batani yaani unaweza mfata akakudharau akienda Mwarabu tu hta kama choka mbaya kashajaa. Dada zetu Waarabu wana wapa nini?
  4. Waarabu kwa kula tu nimewanyooshea mikono

    Chini hapo ni wa Bangladeshi Jamii yenye mrengo huohuo kama waarabu
  5. M

    Majanga ya asili yazidi kuishambulia uchina

    Katika hali isiyo ya kawaida, Majanga yameendelea kulivamia taifa la Uchina. Katika hali ya kawaida kule Uchina sasa hivi ni kipindi cha Spring ni muda ambao kikawaida kunakuwa na hali nzuri sana ya hewa, siyo joto na wala siyo baridi, maua na mimea huchanua kipindi hiki, lakini cha ajabu kuna...
  6. Tetesi: Kissinger: Ameonekana kwenye Chumba cha operation za kivita cha Marekani akicheka sana asema waarabu kuwa majivu/Iran na Urusi kuzikwa kaburi moja

    KISSINGER AMEONEKANA CHUMBANI KWENYE MITAMBO YA VITA YA MAREKANI AKICHEKAA 🔷 Kissinger: World War III will come and Muslims will turn to ashes ... Former US Secretary of State Henry Kissinger made loud and dangerous statements after being swallowed up by a long silence until people almost...
  7. Waarabu wa Kuwait wanaendeleza Utumwa

    Inasikitisha bado hawa watu wanauza binadamu wenzao. Guess what, wengi wanaouzwa ni Waafrika. Cheki link ya BBC. https://www.bbc.com/news/technology-50266663
  8. Video: Hawa wanafanya nini uwanjani?

    jionee mwenyewe
  9. Kwanini Waarabu hawapendi Watu Weusi wawaoe binti zao?

    Ndugu zangu wana JF ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu Waarabu na Wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti ila linapokuja suala la sisi kutaka kuwaoa familia zao zinakataa? Je, wao wanathamani sana kuliko sisi weusi? Je, dini walotuletea...
  10. Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Wanabodi, Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...
  11. Utumwa katika picha: Hivi iliwezekana vipi? Mbona Waarabu, Wahindi, Wachina hawakufanywa slaves?

    Unajua for most of us utumwa ni kama hadithi za kufikirika tu, ni ngumu sana kuamini kwamba eti mwarabu mmoja mwenye bunduki ya kipuuzi anaweza akateka watu 100 wenye akili zao, akawafunga minyororo wote na kuwasafirisha for miles bila shida yoyote ile, iliwezekanaje? Watumwa ndani ya...
  12. Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar: Kumbe Waarabu Hawakufukuzwa! Walikimbia Wenyewe - Mzee Sukari

    Wanabodi, Nafuatia makala maalum kuhusu Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya Januari 1964, zinazorushwa mfululizo na Idhaa ya KIswahili ya BBC kila siku kuanzia 1:00-1:30. Katika kipindi cha leo, Mmoja wa askari aliyekuwa zamu ikulu ya Sultani, kwa jina maarufu la Mzee Sukari, anasimulia first...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…