waarabu

  1. I

    JamiiForums Tanzania Manyanyaso ya Waarabu kwa mabinti wa kazi za ndani

    Mabinti wanaofanya kazi za ndani wanavyonyanyaswa uarabuni. Mabinti wanaoajiriwa kutoka Afrika Mashariki kwenda kufanya kazi za ndani katika mataifa ya ghuba wanaendelea kulalamikia jinsi wanavyotendewa vitendo vya kinyama kama kuteswa na hata kubakwa na waajiri wao. Waarabu inaonekana bado...
  2. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Kibabe: Yanga VS Waarabu mashindano ya CAF

    Kwa kuwa Yanga wana mechi na waarabu wa Sudan AL-HILAL nikalazimika kwenda kupekuwa pekuwa kwenye kumbu kumbu za CAF kama Yanga wamewahi kufanya jambo lolote dhidi ya waarabu hapo Taifa nilichokutana nacho aisee SHIKAMOO YANGA Confederation Cup 2018 Young Africans-USM Alger 2-1...
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kumbe Waarabu walikuwa watu wabaya kiasi hiki, yadumu mapinduzi matukufu ya Zanzibar

    Zanzibar, Tanzania 🇹🇿 1907 A British sailor removes the leg chains off an enslaved African man who had worn them for three years, 1907. ⁣ ⁣ The photos were taken by Joseph Chidwick who was serving aboard the HMS Sphinx at the time. The men shown in the photos had escaped from a slave-trading...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Waarabu, Wazungu na Waafrika utaiona hapa

    Wazungu wanafanya ushoga na usagaji. Ni dhambi mbaya. Lakini wanafanya na wanaweka wazi tu kuwa wanafanya. Hili jambo halihalalishi ila wanaonesha kuwa responsible. Uwazi Ni utamaduni wa wazungu kwa asilimia kubwa. Hata suala la mahusiano ya kimapenzi. Wazungu wapo wazi sana. Mtoto akifika miaka...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Palestine utafanywa na Urusi sio Marekani wala Waarabu

    Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini. Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waarabu wa Dubai Port kuwang'oa TICTS bandarini

    Ni wazi Ticts hana chake tena bandarini na hii ni baada ya kampuni ya waarabu wa Dubai Port kufanikiwa kuwashawishi watawala ili wawape Mkataba wa kushusha na kupakia makasha shughuli ambayo Ticts walikuwa wanaifanya hapo awali. NB: Ile picha ya mama pale Burj inaendelea kulipa.
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Luis Jose anabaguliwa na Waarabu?

  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

    Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa. hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Waarabu na Wayahudi kuungana na kubuni NATO yao, ndio imekuwa mbinu za kujilinda sasa

    Waarabu wameona hamna namna ya kumtegemea Urusi tena kwa aibu aliyo onyesha kule Ukraine, wameanza kukubali kuingia muungano wa kulindana na NATO. =================== Late last week, the king of Jordan made headlines when he told journalists that he would support a military alliance in the...
  10. Akotia

    JamiiForums Tanzania Kwanini nashindwa kuwachukia Waarabu

    Habari wakuu, Mi nimzaliwa wa kwanza Kwa single mother(Mkristo) ambaye alikua anafanya kazi za ndani Kwa wa'arabu(DSM). Mama yangu aliofanya kazi Kwa wale waarabu ikiwemo, kuwaanda watoto shule, kuwapikia familia na wafanyakazi, kusafisha nyumba na kuhakikisha usalama wa nyumba(wakisafiri)...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tubadlike: Tunapoteza asili yetu kwa kuwaiga vitu vingi wazungu na waarabu kwa kujidanganya ni dini

    Haijalishi ni Ukristo au uislamu, hizi dini sio kwajili ya wazungu na waarabu kama watu wengi wanavyodhani, hizi dini ni kwajili ya mtu yoyote sehemu yoyote duniani. kumekuwa na mazoea mabovu tangu zamani ya wanaoabudu hizi dini kwa kudhani kwamba ili kuabudu dini ya kiisalamu inabidi uige ige...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wakiona Wanaijeria wanapiga hatua wanalalamika kuibiwa fursa ila hawalalamiki kuhusu Wahindi, Waarabu, Wachina, n.k?

    Hii ipo sehemu nyingi sana, nimepigwa na butwaa imefika mpaka marekani kwa sasa ambako wamarekani weusi wanalalamika wanaijeria wanaiba kazi zao, cha kushangaza wamarekani weusi wengi hata elimu za kuajiriwa kwenye kazi wanazoomba wanaijeria hawana. Unakuta mtu analalamika mnaijeria anaiba...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

    Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi? Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Matajiri Wahindi na Waarabu watufundishe weusi kuhusu mirathi na mali kugawana bila ugomvi. Yasijirudie ya Mengi na Mama Lwakatare mbeleni

    Habari wadau. Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi. Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao Ila sisi weusi kila tajiri...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huyu dogo anafanana na wale waarabu wa Kariakoo

  16. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ukiacha Wazungu, Waafrika tunafuata kwa uvumbuzi, Waarabu na Wahindi ni kelele tu. Macho madogo ndio bure kabisa.

    Ukikaa nao watakwambia Algebra mara hivi mara vile lakini waarabu hawana mchango mkubwa sana hapa duniani, na wenzao wahindi wamo humohumo, hamna kitu. Wamegundua vitu vichache sana hapa duniani kwa hiyo ni sahihi kabisa kusema kwa hapa duniani mchango wao katika uvumbuzi ni negligible...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Darfur: Takribani watu 168 wauawa na 98 wajeruhiwa katika mapigano kati ya Waarabu na wasio Waarabu

    Shirika la misaada katika eneo lenye vita la Darfur, limesema Aprili 24 2022 yaliibuka mapigano kati ya waarabu na wasikuwa waarabu magharibi mwa Darfur, na kusababisha vifo na majeruhi Inaripotiwa kuwa mapigano hayo yalianza Aprili 21 kwa mauaji ya watu wawili na mshambuliaji asiyejulikana...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

    Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
  19. Buenos Aires

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Arab teams katika ushindi wa leo

    Nina matumaini makubwa na hawa majirani zetu na ndugu zetu waliopo ndani ya bara la Afrika, Algeria, Morocco, Tunisia na Egypt, naimani nao watafika mbali na kutukndolea machungu. I wish all the best to all four teams from North africa, tunawapenda pia.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya waarabu wa Oman kusifika kwenye diplomasia na mapatano?

    Inakuwaje wanajamvi! Oman Arabs ama waarabu wa Omani wana sifa moja kubwa sana katika mashauriano, upatanishi na diplomasia. Wanatumika na kuhitajika sana kwenye nyanja hizo. Tunaona hata mateka na wafungwa wa magharibi Iran hata kwa wataliban Oman inatumika kama 'Mabrokers' pande zote mbili...
Back
Top Bottom