Habari za majukumu wakuuu,
Kama kichwa cha habari kinavyosema,kwanini sisi watu weusi (waafrika) imekuwa ngumu waarabu kukubali tuoe binti zao hata kama tumekidhi vigezo vya dini ya kiislam?
Imekuwa ni kawaida wao kuoa kwetu bila shida kabisa, pia ikumbukwe vitabu vya dini zote zimesisitiza...