Mfalme wa Saudi Arabia ashukuru Morocco kwa kuwawakilisha waarabu kwenye kombe la dunia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,671
48,445
Juzi mchezaji wa Morocco alisema ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya waarabu na nchi za kiislamu, naye mfalme wa Arabia ameshukuru Morocco kwa kuwaakilisha waarabu vyema....

Waafrika tuache makelele haya mambo hayatuhusu, hata maustadhi waarabu wa Bongo ambao hupenda kushobokea waarabu asili wajue kwenye hili hawana cha kujivunia.

Sema najaribu kuwaza hapa timu nyingine ingeshinda na kusema kombe ni kwa ajili ya Wakristo, hivi kungekalika?

RIYADH: Saudi Arabia’s Crown Prince Mohammed bin Salman has sent his best wishes to the Moroccan team after they became the first African nation to make it to the last four of a World Cup.

The Arab team will play France on Wednesday for a place in the World Cup Final in Qatar against either Argentina or Croatia.

Morocco booked their place in the showdown following their historic 1-0 victory over Portugal on Saturday.

And during a telephone call with King Mohammed VI on Monday, the crown prince said the team’s achievement was guaranteed to make every Arab happy.

He wished the Moroccan national team further success in the competition, and King Mohammed thanked him for his warm sentiments.
 
Mwisho wa siku bado wapo ndani ya Bara la Afrika, na hata hiyo nafasi ya kushiriki wameipatia Afrika.

Hivyo sioni tatizo kwa upande wao kujiona Waarabu ndani ya Bara la Afrika.

Kwa hivyo wazungu walio Afrika Kusini watakua sahihi kusema ushindi wowote wao ni kwa ajili ya mataifa ya wazungu, sijui maustadhi huwa mumerogwa na nani hadi kutetea kila ujinga unaofanywa na mwarabu.
 
kwa hivyo wazungu walio Afrika Kusini watakua sahihi kusema ushindi wowote wao ni kwa ajili ya mataifa ya wazungu, sijui maustadhi huwa mumerogwa na nani hadi kutetea kila ujinga unaofanywa na mwarabu.
Sisi Waarabu huwa tunawachukulia nyinyi watu wenye ngozi nyeusi, kama watumwa wetu tu! Hivyo hatuwezi kuwa na nyinyi kwenye daraja moja.

Sisi Wamorocco ni Waarabu na Waislam! Na siyo watumwa na makaffirs kama nyinyi weusi.
 
Hili kombe la dunia la awamu hii kufanyika qatar imekuwa kama jukwaa la kuutangaza uislam duniani. Walimwengu hawana muda kutaka kujua uislam ni nini zaidi ya kuujua ni utamaduni wa kiarabu.
Iko sawa,
Wana haki ya kuutangaza Uislamu.
Wana haki ya kufurahia timu ya Waarabu kufika nusu fainali ya kombe la dunia toka dunia iumbwe.
Wana haki ya kufurahia kama nchi ya Kiislamu (hata kama hawafuati sharia) kwa mala ya kwanza wanafika nusu fainali.

Slogan yao ya, 'ni ushindi kwa waarabu na waislamu' ni sahihi kabisa.

Ni muda wao muafaka wa kufurahia hiyo rekodi. Leo nawatakia ushindi mnono dhidi ya Ufaransa.

Ni muda wa Waarabu na Waislamu kufurahia mafanikio ya mchezo wa mpira wa miguu.
 
Iko sawa,
Wana haki ya kuutangaza Uislamu.
Wana haki ya kufurahia timu ya Waarabu kufika nusu fainali ya kombe la dunia toka dunia iumbwe.
Wana haki ya kufurahia kama nchi ya Kiislamu (hata kama hawafuati sharia) kwa mala ya kwanza wanafika nusu fainali.

Slogan yao ya, 'ni ushindi kwa waarabu na waislamu' ni sahihi kabisa.

Ni muda wao muafaka wa kufurahia hiyo rekodi. Leo nawatakia ushindi mnono dhidi ya Ufaransa.

Ni muda wa Waarabu na kufurahia mafanikio ya mchezo wa mpira wa miguu.
Kwani sharia zetu sisi Wafia dini toka Mchambawima zinasemaje, kwamba mpira si haramu
 
Sielew kwanini hii imekua big deal em tuwaache kama walivyo. Mbona sikusikia Brazil, Argentina ama Uruguay wakisema they are doing it for their South America?

Kila mtu apambane na taifa lake jamani tuacheni shobo. I wish tungeacha kuongelea hii kitu maana ndio tunawafanya na wao wazidi kutuprovoke zaidi
 
Sisi Waarabu huwa tunawachukulia nyinyi watu wenye ngozi nyeusi, kama watumwa wetu tu! Hivyo hatuwezi kuwa na nyinyi kwenye daraja moja.

Sisi Wamorocco ni Waarabu na Waislam! Na siyo watumwa na makaffirs kama nyinyi weusi.
Hata kwenye kutawadha, hatutaki kutawadha sehemu moja na ninyi weusi.
 
Morocco ni waarabu na ni waislamu pure kabisa , waarabu ni moja ya watu wanaopitia msoto mkuu duniani hapa, wanavurugwa Sana na nchi za magharibi na wanakumbana na kila Aina ya kadhia , wanauliwa na kutukanwa Sana , hata hvyo bado wanapambana , kwenye soka miaka mingi wamekuwa wakidharaulika , hvyo kupitia Morocco wanafurahia na wao , tatizo linakuja Kwa Sisi ngozi nyeusi , tunaona nongwa kwao kusema hvyo ,

Kwanza mipaka ya mabara ilipangwa na wanadamu na inaweza ikavunjwa mda wowote ,

Sisi watu weusi tumejaa fitina , kusalitiana , na kudharauliana , wazungu wanatugeuza watakavyo na wenzetu kabisa waliopo madarakani wanakuwa vibaraka Kwa wageni , alaf Leo unalia Nye Nye Nye Nyeeee...tupambaneni na Hali zote
 
Back
Top Bottom